Rais wa Awamu ya 5, my NINJA on his GOOD day..!!

Rais wa Awamu ya 5, my NINJA on his GOOD day..!!

attachment.php

rasi mwai kibaki wakati anaapishwa kushika wadhifa wa urais kenya alikuwa na miaka 77 akiwa hawezi kusimama, amevunjika mguu na matatizo kibao ya afya. Lakini ndio aliweka msingi wa uchumi unaopaa katika nchi ya kenya.

Safari hii hatudanganyiki tu8nataka mabadiliko ya kuitoa ccm madarakani na si vinginevyo, mambo mengine baadaye.

S & L wanalala.jpganasinziaa.PNGanasinzia.jpg

sawa lakini sijawahi kumuona mwai kibaki akilala muda wa kazi, tena mbele ya watu. Wakitegemea yeye ndiye awe mzungumzaji mkuu
 
Inavyoonesha kuna baadhi ya wananchi wanatarajia kuona sanduku la UKAWA wakati wa kupiga kura, sasa sijui itakuwaje, na ninavyofahamu kidemokrasia katika kuchagua, masanduku ya vyama vyote vilivyosajiliwa yatapaswa yawepo mezani, halafu ndipo mtu achague amtakaye, siyo kuwalazimisha watu wamchague mtu mmoja aliyekuwa proposed eti kisa yupo UKAWA
Hapana Mkuu, hakutakuwa na masanduku mengi ya kila chama bali litakuwa moja kwa Rais, moja kwa Mbunge na moja kwa Diwani ila karatasi za kura ndo zitakuwa na majina ya wagombea kutoka vyama vyote na UKAWA haitakuwepo kwa sababu sio chama cha siasa ila kama walivyokubaliana kutakuwa na jina moja kuwakilsha hivyo vyama shirika - CUF, CDM, NLD na NCCR ambapo wanachama wa vyama hivyo watapiga tick kwenye kibox cha huyo mgombea. Hata hicyo, UKAWA wanatakiwa kufanyia kazi utafiti wa TWEZA kwa kutoa elimu ili kuepuka watu kupaninic wasipoona neno UKAWA katika karatasi za kura.
 
Sawa, namaanisha kwa UKAWA yapo majimbo kama Segerea hawajafika muafaka ni chama kipi kisimamishe mgombea, na pia imezoelekea miongoni mwa wananchi kwamba masanduku ya kupiga kura huwa matatu kwa kila chama, leo hii mtu ambaye hajui UKAWA ni nini akienda kupiga kura asipokuta sanduku la chama chake, huoni kama UKAWA wanawachanganya raia
 
Mbwembwe nyingii mwaka huu tutaona mengi sana. Tujiulize ni nani kati ya hawa ambaye upo kwenye kusudi la Mungu?? Daudi hakutumia NGUVU kumpiga goliati alipiga kwa jiwe moja tu! Mungu kiti chako cha enzi kitawale now Tz. Sisi ni wapiga kura tuu muamuzi wa mwisho ni wewe waangalia neno lako upate kulitimiza Amen
 
Ameni,kwa mfano wa mchakato wa uchaguzi CCM utaona aliyechaguliwa na Mungu ni nani,ambaye hakutumia nguvu kubwa lakin upako ukawa upande wake tofauti na yule aliyetumia nguvu na pesa
 
Ameni,kwa mfano wa mchakato wa uchaguzi CCM utaona aliyechaguliwa na Mungu ni nani,ambaye hakutumia nguvu kubwa lakin upako ukawa upande wake tofauti na yule aliyetumia nguvu na pesa nyingi
 
Huu ni ujinga eti unapima physical fitness kwa kupiga PUSH UPS tena kwenje kampeni,Je itakuwaje akiambiwa HAJATAHIRIWA(anagovi)?
 
Huyu mtu alikuwa anaonyesha jinsi ya kufanya mapenzi hadharani mazoezi gani hayo jamani mmezidi kutudanganya watanzania.. Twaweza watakuja na takwimu za 65%uwezo wa kupiga push up...duh..sawa bwana
 
Ameni,kwa mfano wa mchakato wa uchaguzi CCM utaona aliyechaguliwa na Mungu ni nani,ambaye hakutumia nguvu kubwa lakin upako ukawa upande wake tofauti na yule aliyetumia nguvu na pesa

Yote ni sawa kutumia pesa ila Mungu anamjua mtu wake ni yupi mwenye kuongoza inchi kwa haki tu!
 
CPfkXQ6WoAAnNKd.jpg

Up.....

CPfkXSHWcAAOSkU.jpg

Down........

Kampeni za mwaka huu zimekuwa na muda mwingi wa ku-relax kwa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi, Ninja Dr John Pombe Magufuli kwa sababu amegundua jambo moja la ukweli kuwa anapambana na wapinzani DHAIFU kuwahi kutokea katika uchaguzi wowote tangu kuanza kwa chaguzi za vyama vingi hapa nchini.

1. Uhakika wa mtandao makini wa CHAMA, watendaji, viongozi na wanachama ambao wamejipanga kuhakikisha CCM inapata kura za kishindo. Kazi ya Kinana iliyodumu miaka 2 imesafisha njia kwa Magufuli.

2. Mafanikio ya Serikali ya awamu ya nne katika miundombinu, Afya (mifuko ya bima ya Afya), teknolojia ya Mawasiliano na kadhalika. Wosia wa Baba wa Taifa bado unakumbukwa na watanzania wengi na wanaufanyia kazi.

3. Rekodi zake za utendaji, uchapakazi na UADILIFU zimeendelea kumuhakikishia kura za kutosha...amewafikia watanzania wengi kuliko mgombea wowote yule..Sera na Ilani inayoeleweka na namna anavyoiwasilisha imempa uhakika na kueleweka zaidi. Seen is believing, Kilometa alizosafiri, mikutano anayofanya kwa siku, TV, Redio na Mitandao vyote vinampa milage Magufuli..

4. UDHAIFU wa Upinzani, kashfa za Rushwa za wagombea na mchakato mzima wa kupata mgombea, kuuza Chama, Vita ya majimbo na kata, Mizozo, migogoro na kujiuzulu kwa Slaa, Lipumba, Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu NCCR, Misumali ya Zitto, Mchange wanayoielekeza kwa Sumaye na Lowassa imeendelea kuwamaliza wapinzani...

5. AFYA.....AFYA.....AFYA..!!!

Kama ni hivyo basi uraisi wa merekani wangekuwa wanagombea watu wa wrestling.... unapomuona mzee anafanya mambo kama haya ili kuprove a point ujue tu huyu mzee hana busara wala hekima.. afu eti ndo awe raisi wetu.....mweee mweee mweeeeeee
 
Huu ni ujinga eti unapima physical fitness kwa kupiga PUSH UPS tena kwenje kampeni,Je itakuwaje akiambiwa HAJATAHIRIWA(anagovi)?

Unamwambia aliyekwambia hujatahiriwa-INAMA UPATE SHUGHULI.
 
Back
Top Bottom