Wewe ni kichaa tena umetoroka milembe watanzania hatuko hivyo nahisi wewe umetoka jehanamu kuku wa mdondo wewe
Magufuli ndiyo rais wetu
View attachment 289797
We pumb@#$ kaa kimya tutaonana Oct...Wewe ni kichaa tena umetoroka milembe watanzania hatuko hivyo nahisi wewe umetoka jehanamu kuku wa mdondo wewe
Magufuli ndiyo rais wetu
View attachment 289797
Unandika utumboNinja wa wapinzani hapakazitu urais tayari ushaenda Chama xha Mapinduzi
View attachment 289796
Hawana tena jipya upinzani sasa magufuli ajihakikishia ushindi oct 25
Rais wa makahaba na wagumba kama wema sepetu na shonza juliana
Piga kelele mpaka Koo likupasuke Magufuli tayari kazi amemaliza sasa ansubili tu kuapishwa
View attachment 289794
Mngese weweMimi niliposikia mgombea wetu kajinyea stendi ya Chato tu basi nikaamua kuhamia kwa Magufuli
Hii report inanichanganya, labda nifafanuliwe kidogo. Miye najua kuwa katika uchaguzi ujao atasmimama mgombea MMOJA WA Urais/Ubunge/ Udiwani kupitia CDM/CUF/NLD/ MCCR na umoja huo ndio UKAWA, kwa maana hiyo sikutarajia kuona hivyo vyama vikichuana na vyama vingine ikiwemo tena UKAWA !!!!![]()
report hii hapa tuisome pia kwa umakini tunawapiga Kwenye Report na pia na PushUps
![]()
Up.....
![]()
Down........
Kampeni za mwaka huu zimekuwa na muda mwingi wa ku-relax kwa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi, Ninja Dr John Pombe Magufuli kwa sababu amegundua jambo moja la ukweli kuwa anapambana na wapinzani DHAIFU kuwahi kutokea katika uchaguzi wowote tangu kuanza kwa chaguzi za vyama vingi hapa nchini.
1. Uhakika wa mtandao makini wa CHAMA, watendaji, viongozi na wanachama ambao wamejipanga kuhakikisha CCM inapata kura za kishindo. Kazi ya Kinana iliyodumu miaka 2 imesafisha njia kwa Magufuli.
2. Mafanikio ya Serikali ya awamu ya nne katika miundombinu, Afya (mifuko ya bima ya Afya), teknolojia ya Mawasiliano na kadhalika. Wosia wa Baba wa Taifa bado unakumbukwa na watanzania wengi na wanaufanyia kazi.
3. Rekodi zake za utendaji, uchapakazi na UADILIFU zimeendelea kumuhakikishia kura za kutosha...amewafikia watanzania wengi kuliko mgombea wowote yule..Sera na Ilani inayoeleweka na namna anavyoiwasilisha imempa uhakika na kueleweka zaidi. Seen is believing, Kilometa alizosafiri, mikutano anayofanya kwa siku, TV, Redio na Mitandao vyote vinampa milage Magufuli..
4. UDHAIFU wa Upinzani, kashfa za Rushwa za wagombea na mchakato mzima wa kupata mgombea, kuuza Chama, Vita ya majimbo na kata, Mizozo, migogoro na kujiuzulu kwa Slaa, Lipumba, Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu NCCR, Misumali ya Zitto, Mchange wanayoielekeza kwa Sumaye na Lowassa imeendelea kuwamaliza wapinzani...
5. AFYA.....AFYA.....AFYA..!!!
Hii report inanichanganya, labda nifafanuliwe kidogo. Miye najua kuwa katika uchaguzi ujao atasmimama mgombea MMOJA WA Urais/Ubunge/ Udiwani kupitia CDM/CUF/NLD/ MCCR na umoja huo ndio UKAWA, kwa maana hiyo sikutarajia kuona hivyo vyama vikichuana na vyama vingine ikiwemo tena UKAWA !!!!