Rais wa Awamu ya 5, my NINJA on his GOOD day..!!

Rais wa Awamu ya 5, my NINJA on his GOOD day..!!

Juliana Shonza

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
2,009
Reaction score
1,609
CPfkXQ6WoAAnNKd.jpg

Up.....

CPfkXSHWcAAOSkU.jpg

Down........

Kampeni za mwaka huu zimekuwa na muda mwingi wa ku-relax kwa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi, Ninja Dr John Pombe Magufuli kwa sababu amegundua jambo moja la ukweli kuwa anapambana na wapinzani DHAIFU kuwahi kutokea katika uchaguzi wowote tangu kuanza kwa chaguzi za vyama vingi hapa nchini.

1. Uhakika wa mtandao makini wa CHAMA, watendaji, viongozi na wanachama ambao wamejipanga kuhakikisha CCM inapata kura za kishindo. Kazi ya Kinana iliyodumu miaka 2 imesafisha njia kwa Magufuli.

2. Mafanikio ya Serikali ya awamu ya nne katika miundombinu, Afya (mifuko ya bima ya Afya), teknolojia ya Mawasiliano na kadhalika. Wosia wa Baba wa Taifa bado unakumbukwa na watanzania wengi na wanaufanyia kazi.

3. Rekodi zake za utendaji, uchapakazi na UADILIFU zimeendelea kumuhakikishia kura za kutosha...amewafikia watanzania wengi kuliko mgombea wowote yule..Sera na Ilani inayoeleweka na namna anavyoiwasilisha imempa uhakika na kueleweka zaidi. Seen is believing, Kilometa alizosafiri, mikutano anayofanya kwa siku, TV, Redio na Mitandao vyote vinampa milage Magufuli..

4. UDHAIFU wa Upinzani, kashfa za Rushwa za wagombea na mchakato mzima wa kupata mgombea, kuuza Chama, Vita ya majimbo na kata, Mizozo, migogoro na kujiuzulu kwa Slaa, Lipumba, Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu NCCR, Misumali ya Zitto, Mchange wanayoielekeza kwa Sumaye na Lowassa imeendelea kuwamaliza wapinzani...

5. AFYA.....AFYA.....AFYA..!!!
 
Huyo ni Rais wako na wenzako wa Chama cha Mashoga.. Tafuta mtoto kwanza, zile mimba ulizotoa Mabibo utazikumbuka
 
unatafuta U-DC kwa nguvu sana,ungekuwa mrembo ungefikiriwa na serikali ya UKAWA,lakini umejiharibu sana na mikorogo hauna tena mvuto,kakojoe ulale
 
Atakapopata stress tarehe 26-10-2015 ndipo atakapo shauriwa na madaktari wake aendeleze mazoezi ya push-ups
 
Wewe na yeye wote mnaonekana HAMNAZO!
 
unatafuta U-DC kwa nguvu sana,ungekuwa mrembo ungefikiriwa na serikali ya UKAWA,lakini umejiharibu sana na mikorogo hauna tena mvuto,kakojoe ulale

Piga kelele mpaka Koo likupasuke Magufuli tayari kazi amemaliza sasa ansubili tu kuapishwa
Capture.PNG
 
kuna vingi vya kumuomba mungu kabla ya kumuomba utajiri hili suala la afya ni muhimu pia kwa wananchi Taifa likiwa na kiongozi mgonjwa Taifa zima watu wataugua mambo yatasimama maamuzi hayataimamiwa vizuri ikiwa tuna kiongozi na amri jeshi mkuu mgonjwa!
 
unatafuta U-DC kwa nguvu sana,ungekuwa mrembo ungefikiriwa na serikali ya UKAWA,lakini umejiharibu sana na mikorogo hauna tena mvuto,kakojoe ulale
Hahahah brother naona umeishiwa amneno, you are talkin nonsense
 
CPfk17HWwAACus1.jpg:large


report hii hapa tuisome pia kwa umakini tunawapiga Kwenye Report na pia na PushUps
 
unatafuta U-DC kwa nguvu sana,ungekuwa mrembo ungefikiriwa na serikali ya UKAWA,lakini umejiharibu sana na mikorogo hauna tena mvuto,kakojoe ulale
Masikini BAVICHA...ndio maana wanashindana kwa mitindo huru na urembo...wanajua Serikali yao ikiingia madarakani sifa ni kuwa MREMBO...Duh
 
Huyo ni Rais wako na wagumba wenzako... Tafuta mtoto kwanza kabla hujajutia mimba ulizozitoa pale Mabibo.
 
Na bado. Maneno yameisha. Mh alianza kwa kujijenga yeye kama yeye na si CCM. anaogopa kuitaja CCM. Baadae alirukia ajenda za Wapinzani za MABADILIKO na M4C bado speed hapandi. Gari limekwama.

Sasa anazidisha vionjo ni zamu ya Push Up baadae atarudia kucheza tena Dansi yaani ngoma mbichi.

Hii ni aina nyengine ya dhihaka kwa watanzania.

kujifurahisha huku ama kweli WATAISOMA NAMBA.

Masikini. Anaugumia maumivu kwa mbwembwe za muda. Asanteni
 
CPfkXQ6WoAAnNKd.jpg

Up.....

CPfkXSHWcAAOSkU.jpg

Down........

Kampeni za mwaka huu zimekuwa na muda mwingi wa ku-relax kwa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi, Ninja Dr John Pombe Magufuli kwa sababu amegundua jambo moja la ukweli kuwa anapambana na wapinzani DHAIFU kuwahi kutokea katika uchaguzi wowote tangu kuanza kwa chaguzi za vyama vingi hapa nchini.

1. Uhakika wa mtandao makini wa CHAMA, watendaji, viongozi na wanachama ambao wamejipanga kuhakikisha CCM inapata kura za kishindo. Kazi ya Kinana iliyodumu miaka 2 imesafisha njia kwa Magufuli.

2. Mafanikio ya Serikali ya awamu ya nne katika miundombinu, Afya (mifuko ya bima ya Afya), teknolojia ya Mawasiliano na kadhalika. Wosia wa Baba wa Taifa bado unakumbukwa na watanzania wengi na wanaufanyia kazi.

3. Rekodi zake za utendaji, uchapakazi na UADILIFU zimeendelea kumuhakikishia kura za kutosha...amewafikia watanzania wengi kuliko mgombea wowote yule..Sera na Ilani inayoeleweka na namna anavyoiwasilisha imempa uhakika na kueleweka zaidi. Seen is believing, Kilometa alizosafiri, mikutano anayofanya kwa siku, TV, Redio na Mitandao vyote vinampa milage Magufuli..

4. UDHAIFU wa Upinzani, kashfa za Rushwa za wagombea na mchakato mzima wa kupata mgombea, kuuza Chama, Vita ya majimbo na kata, Mizozo, migogoro na kujiuzulu kwa Slaa, Lipumba, Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu NCCR, Misumali ya Zitto, Mchange wanayoielekeza kwa Sumaye na Lowassa imeendelea kuwamaliza wapinzani...

5. AFYA.....AFYA.....AFYA..!!!

Wanasema ukidhani umesimama angalia usianguke.

Kwangu mimi vyama viwili CCM na CDM wametupa wezi,Magufuli anatakiwa kutueleza kinagaubaga zile bilioni 262 za makandarasi hewa alilipwa ngapi??Kivuko kibovu cha mwaka 1970 cha bilioni 8 na je nyumba za serikali inakuwaje,leo tunalipa zaidi ya serikali ilizopata wakati wa kuuza nyumba.

Kama usafi mdogo wangu huyu pia hana labda usafi wa kupikwa.Na kama Magufuli MSAFI mimi ni MTAKATIFU.
 
We ma...ku unatafuta cheo kwa nguvu lkn wapi ushararuliwa kama samaki geuzwa pande zote umeliwa lakini wapi....pumb@ff kbsa
Mchumia tumbo njaa kali weee.. Juliana Shonza
 
Last edited by a moderator:
Ninja wa wapinzani hapakazitu urais tayari ushaenda Chama xha Mapinduzi

20150922001125.jpg
Hawana tena jipya upinzani sasa magufuli ajihakikishia ushindi oct 25
 
Lowassa na Chadema na hadithi ya Kula Ugali kwa picha ya Samaki. Walifanya kosa kubwa kisiasa kushindwa kuitumia siku ya Uzinduzi kuieleza kwa mapana ilani ya Chadema ambayo mgombea urais atainadi ili wananchi waliowengi waielewe kwa kina na mwisho washindanishe sera. Wao mgombea akasimama Dk 10 na sekunde 47 kushawishi apewe nchi wakati kule Marekani Obama alizungumza masaa takribani manne akiwaeleza wamarekani Mabadiliko anayotaka kuyasimamia.


Kibaya zaidi haijaonekana popote ilani yao zaidi ya kuambiwa ipo website. kuutafuta urais bila ilani halisi ni sawa na Kula Ugali kwa Picha ya Samaki. Hii tu lilikuwa bao la mapema kabisa. Bao la pili ni Afya za wagombea, Magufuli amemuacha sana Lowassa bao la pili, Uwezo wa kuyaelewa matatizo na kueleza njia za kuyatatua Magufuli amemudu zaidi ya Lowassa bao la tatu, Timu inayoratibu kampeni na namna wanavyohakikisha mgombea wao anafahamika na kusikilizwa au kufuatiliwa na wananchi wengi zaidi, pamoja na kumtangaza zaidi mgombea hasa mabango n.k Magufuli amemzidi sana Lowassa hilo la nne la tano wakapigwa kwenye kuaminiwa kwa wagombea kutokana na uadilifu na uchapakazi wao hapa Magufuli akafunga goli safi kabisa la tano hivyo jamaa Oktoba wategemee Ubao Kusomeka CCM 5 CHADEMA 0.


AKASIMAMIE BIASHARA ZAKE NA AKAIANGALIE AFYA YAKE.
 
Huyo ni Rais wako na wagumba wenzako... Tafuta mtoto kwanza kabla hujajutia mimba ulizozitoa pale Mabibo.

Wewe ni kichaa tena umetoroka milembe watanzania hatuko hivyo nahisi wewe umetoka jehanamu kuku wa mdondo wewe
Magufuli ndiyo rais wetu
20150921211938.jpg
 
Back
Top Bottom