Beaking News ITV na Radio One leo mchana, Jairo amesimamishwa kazi, CAG atafanya uchunguzi wa kifedha Wizarani hapo kuthibitisha kama mashtaka dhidi ya Jairo apelekwe kwa pirato.
Beaking News ITV na Radio One leo mchana, Jairo amesimamishwa kazi, CAG atafanya uchunguzi wa kifedha Wizarani hapo kuthibitisha kama mashtaka dhidi ya Jairo apelekwe kwa pirato.
rais umenisononesha kwenye bbc
ama kweli kabla hujafa hujaumbika, rais wetu nilimsikia akijibu swali la mtangazaji bbc kuwa yeye hana uwezo wa kumwambia mungu anyeshe mvua ili tupate umeme!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
kwani uganda, kenya rwanda, burundi na nchi tunazopakana wao wana uwezo wa kumwambia mungu?
hivi nchi za uarabuni ambako hawana hata mito napengine mvua kutonyesha mbona wana umeme wa uhakika?
ati wanao ona kuna haja ya kuamua vinginevyo waje na ushauri nao wataufuata! Kama wafanyakazi wanakula mshahara kutokana na kazi hiyo iweje watu wa nje ya wizara kuja kushauri ama tanesco na serikali wote wana mapungufu ya kufikiri?
pengine nimeona amejidhihirisha ulimwenguni kuwa viongozi tz wana uwezo mdogo wa kuamua mambo ya nchi yao.
chadema hii nchi jamaa imesha washinda, msitegemee irudi ktk hali ya kawaida. Si mnaona jk amemfanyaje katibu wa aizara ya nishati na madini aliyesababisha bajeti kuahirishwa??. San asana kwa mahojiano ya jana alikuwa akimtetea. Mpaka sasa ninavyo andika hapa tunatumia jenerator na umeme hakuna.
watanzania tumepigika sana!
Govt ya bongo lala, sasa hiyo mikwala mbuzi ya mara hoo makaa ya mawe mchuchuma, mara hoo Kiwira, mara hoo umeme wa upepo hoo wa jua, kumbe hakuna kitu!!!!!!!!!!!! Hawa wamechoka hata akili hazifikiri tena, ndio maana wanaona nafuu kuhonga bunge kupitisha bajeti badala ya kuwapa Watanzania mkakati wa umeme tufanyeje????????? Bora wote wakajiudhuru maana mkubwa wao hana majibu wakati yeye ni Raisi wa nchi!!!!!!!!!Yatakuwa kama ya kashfa ya Rada, serikali ikisema mwenye ushahidi awapelekee? walio ajiliwa kwa shughuli za ushahidi + Prosecutors wao wanapokea mishahara ya nini?
mpaka ashuke malaika atwambie chukueni hatua vinginevyo sisi ni wadanganyika..yaaan kama la umeme litapita wallah nitaamini kwamba tumelogwa na kikombe cha babu kinahitajika kitaifa..
Yaani ulitegemea jibu tofauti na alilotoa??
Yaani ulitegemea jibu tofauti na alilotoa??
Rahisi wa ccm.
Akirudi lazima apitilize kwenda bagamoyo au lugoba. Akapewe pete mpya ya njano.
Mi niko serious, we fikiria mjamaa aliacha mgao umepamba moto, akaenda Sauzi kwenda kula bata ya birth day ya Mandela na kujifanya ansign deal la uwekezaji.-Kwenye giza la nchi ya TZ, hapa kuna utupu sana kwenye hii ofc!!!!!!!!!!!!Tulianzisheni hata leo mimi nipo tayri
Hivi kuna mtu hajui kuwa hatuna rais?