Rais umenisononesha kwenye BBC News

Huyo ndie JK bana. Wengine walimchagua eti sababu ni handsome...haya sasa..................
 
Huyo ndie JK bana. Wengine walimchagua eti sababu ni handsome...haya sasa..................

Kwa sana tu. Mpaka sasa mmeshindwa kuonesha ni nini kimoja ambacho Kikwete hajakifanya kwa manufaa ya Tanzania. Leta kimoja tukijadili, kama hauna kaa kimya.
 
Yaani ulitegemea jibu tofauti na alilotoa??

Jaman, ivi hamjawai kumuona kikwete akilalamika? Natamani kujua huwa anamlalamikia nani, kwa sasa nataman sana Tuwe na rais afu tubadilishe jina nchi.
 
Jaman, ivi hamjawai kumuona kikwete akilalamika? Natamani kujua huwa anamlalamikia nani, kwa sasa nataman sana Tuwe na rais afu tubadilishe jina nchi.

Anawalalamikia watanzania wavivu ambao kila siku mnangoja kufanyiwa tu.
 
Back
Top Bottom