Rais Shein akagua gwaride rasmi siku ya EID

Rais Shein akagua gwaride rasmi siku ya EID

Zanziba sio nchi ni sawa tu na mkuu wa mkoa ila wao wanajiita wanzanzibari na nchi yao inaitwa zanzibar lakini hawana hata passport ya hiyo nchi yao inayotambuliwa kimataifa
 
Tukienda hivi nina wasiwasi iko siku tutamwona Mufti au Ponda nao wakikagua Geshi Fulani
 
hahaaha kafiri ni yule ambaye hajaamini dini ya Mungu sasa umeitwa jina lako umekuwa mkali kama moto hahahaha, haya kamwambie baba askofu atoe tamko kuhusu ww kuitwa kafiri kama yeye, na nyerere pia na mkapa pia
 
zanzibar ni nchi kwa mujibu wa katiba ya znz, shein kukagua gwaride ktk sikukuu ya idd ni utaratibu waliojiwekea wenyewe wa znz kwa kuwa 99%9 ni waislam.


Watanzania tunaamin katika umoja na usawa sio uwingi. Swali

Atafanya hivyo pia siku ya pasaka?
 
Jamani si walikuwa katika ibada? yaani askariwa waislamu na kiongozi muislamu, wacheni uchochezi.
 
Jamani si walikuwa katika ibada? yaani askariwa waislamu na kiongozi muislamu, wacheni uchochezi.


Tatizo mkuu
Uchochezi wa akina ponda, Farrid na wafuasi wao kwa nadharia potofu na hewa ya mfumo kristo ambayo haipo kabisa. Sasa huo nao tuuitaje ni mfumo gan huo?
 
Tatizo mkuu
Uchochezi wa akina ponda, Farrid na wafuasi wao kwa nadharia potofu na hewa ya mfumo kristo ambayo haipo kabisa. Sasa huo nao tuuitaje ni mfumo gan huo?
Mmmm huo, huo, huo mfumoooooo. Duhhhh
 
Kwa znz sishangai maana
99.9 ni waislam na znz inaserekali inayojitegemea na kujiamulia mambo yake.

Huku kwetu tanganyika ndio kuna balaa kubwa mnalolifumbia macho,

mbona ofisi za serekali zinapambwa na miti na mataa siku ya krismas?

Mbona jpili tunapumzika wakati ijumaa kazi kama kawaida?

Mbona shule za serekali zinakuwa na likizo wakati wa pasaka na wakati wa sikukuu ya krismas?

Hayo yote yanafanyika bara ambapo waislam na wakristo ni wengi na serekali haina dini.

Hayo hamyaoni au yako sawa?
 
Mkuu hata mie niliona jana ITV Dr. Shein akikagua gwaride na kupigiwa wimbo wa "taifa" huku akiwa amevaa kanzu na koti.. Cikuielewa.. But mambo mengi yanayotokea "zimbabwe" na Pemba huwa siyaelewi ciku hizi..

kweli? duuuhh hii sasa kali....sherehe ya dini inaingilianaje na sherehe ya kitaifa au kwa vile zenji ni kisiwa cha kiislam?
 
Mbona kawaida sana kwa zanzibar, tangu enzi za mwalimu siku ya idd rais wa zanzibar huwa anakagua gwaride. Pia ofisi ya kadhi iko chini ya ofisi ya Rais. Mahakama ya kadhi zanzibar iko chini ya serikali and so on.
 
Back
Top Bottom