LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 26,983 Reaction score 41,600 Nov 10, 2024 #61 Gabeji said: Mkuu mshana mbona umenitumia picha ya Raisi? Click to expand... mshana jr kuna uzi ameushusha, una mafumbomafumbo
Gabeji said: Mkuu mshana mbona umenitumia picha ya Raisi? Click to expand... mshana jr kuna uzi ameushusha, una mafumbomafumbo
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 26,983 Reaction score 41,600 Nov 10, 2024 #62 Optimist_Tz said: Mbona uzi wa Tanzia ya Huyo jamaa haijafunguliwa humu JF ili wanaomjua watujuze ilikuwaje maana anaonekana alikuwa bado kijana jamani?! Tangu Jana kila nikitafuta uzi siuoni au wanasubiri hadi mwili utakapoletwa nchini kesho kutwa ?! Click to expand... unasoma jf ipi, mbona uzi upo?
Optimist_Tz said: Mbona uzi wa Tanzia ya Huyo jamaa haijafunguliwa humu JF ili wanaomjua watujuze ilikuwaje maana anaonekana alikuwa bado kijana jamani?! Tangu Jana kila nikitafuta uzi siuoni au wanasubiri hadi mwili utakapoletwa nchini kesho kutwa ?! Click to expand... unasoma jf ipi, mbona uzi upo?
Brain Kingdom JF-Expert Member Joined Nov 10, 2022 Posts 7,004 Reaction score 14,551 Nov 10, 2024 #63 Achana nae kakimbia aibu ikiwezana apotelee huko huko
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 57,606 Reaction score 91,425 Nov 10, 2024 #64 Mtajua ikiwa wenyewe wataamua kuwajulisha
Gabeji JF-Expert Member Joined Sep 10, 2024 Posts 2,107 Reaction score 3,029 Nov 10, 2024 Thread starter #65 Pang Fung Mi said: Achana nae kakimbia aibu ikiwezana apotelee huko huko Click to expand... Ni muhimu kujua mkuu,
Pang Fung Mi said: Achana nae kakimbia aibu ikiwezana apotelee huko huko Click to expand... Ni muhimu kujua mkuu,
S sem2708 JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,820 Reaction score 4,968 Nov 10, 2024 #66 Labda alipotoka Cuba ameenda marekani kusubiria uapisho wa Donald Trump ili kuepuka gharama za usafiri
Labda alipotoka Cuba ameenda marekani kusubiria uapisho wa Donald Trump ili kuepuka gharama za usafiri
Gabeji JF-Expert Member Joined Sep 10, 2024 Posts 2,107 Reaction score 3,029 Nov 10, 2024 Thread starter #67 Yoda said: Mtajua ikiwa wenyewe wataamua kuwajulisha Click to expand... Sawa mkuu
Gabeji JF-Expert Member Joined Sep 10, 2024 Posts 2,107 Reaction score 3,029 Nov 10, 2024 Thread starter #68 sem2708 said: Labda alipotoka Cuba ameenda marekani kusubiria uapisho wa Donald Trump ili kuepuka gharama za usafiri Click to expand... Inawezekana
sem2708 said: Labda alipotoka Cuba ameenda marekani kusubiria uapisho wa Donald Trump ili kuepuka gharama za usafiri Click to expand... Inawezekana
Optimist_Tz JF-Expert Member Joined Jan 11, 2024 Posts 1,678 Reaction score 1,995 Nov 10, 2024 #69 1000 digits said: Juzi tu alikua CUBA. Atarudi akimaliza ziara yake. Ila Waziri Mchangarawe amelitupukiza Taifa kwenye chuki kubwa sana. Waziri Mchangarawe ni adui wa haki Duniani kote kama alivyo shetani. Kila dua anapaswa kutajwa na kulaaniwa sambamba na sheitwani. Click to expand... LOTH HEMA said: unasoma jf ipi, mbona uzi upo? Click to expand... Kumbe ?! Ngoja niangalie vizuri @ Mwaya. ππ
1000 digits said: Juzi tu alikua CUBA. Atarudi akimaliza ziara yake. Ila Waziri Mchangarawe amelitupukiza Taifa kwenye chuki kubwa sana. Waziri Mchangarawe ni adui wa haki Duniani kote kama alivyo shetani. Kila dua anapaswa kutajwa na kulaaniwa sambamba na sheitwani. Click to expand... LOTH HEMA said: unasoma jf ipi, mbona uzi upo? Click to expand... Kumbe ?! Ngoja niangalie vizuri @ Mwaya. ππ
B M F ICONIC JF-Expert Member Joined Jan 28, 2019 Posts 966 Reaction score 1,870 Nov 10, 2024 #70 Tupo tuna shoot Royal Tour psrt 2. Ila fununu mlizo anzisha hii movie tutauza sana
Brain Kingdom JF-Expert Member Joined Nov 10, 2022 Posts 7,004 Reaction score 14,551 Nov 10, 2024 #71 Gabeji said: Ni muhimu kujua mkuu, Click to expand... Achana nae kasabibisha aibu ya kijinga na kijima hovyo sana, hafai hata kurudi abaki huko huko
Gabeji said: Ni muhimu kujua mkuu, Click to expand... Achana nae kasabibisha aibu ya kijinga na kijima hovyo sana, hafai hata kurudi abaki huko huko
MADAM T JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 6,220 Reaction score 3,917 Nov 10, 2024 #72 Mbaga Jr said: Zile habari za kusema makamu wa rais Mpango yuko wapi ziliishia wapi Anyway, hv msibani napo hua kuna posho? Click to expand... Mbona illishia vizuri, tulijua kuwa anaumwa na yeye mwenyewe akakiri.
Mbaga Jr said: Zile habari za kusema makamu wa rais Mpango yuko wapi ziliishia wapi Anyway, hv msibani napo hua kuna posho? Click to expand... Mbona illishia vizuri, tulijua kuwa anaumwa na yeye mwenyewe akakiri.
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 26,983 Reaction score 41,600 Nov 10, 2024 #73 Optimist_Tz said: Kumbe ?! Ngoja niangalie vizuri @ Mwaya. Click to expand...
Blender JF-Expert Member Joined Mar 5, 2022 Posts 6,190 Reaction score 9,930 Nov 10, 2024 #74 Gabeji said: Ni muhimu kujua walipo viongozi wetu Click to expand... Sasa kama wao ,wanakuficha mwanachi usijue , Ina wana missions
Gabeji said: Ni muhimu kujua walipo viongozi wetu Click to expand... Sasa kama wao ,wanakuficha mwanachi usijue , Ina wana missions
Blender JF-Expert Member Joined Mar 5, 2022 Posts 6,190 Reaction score 9,930 Nov 10, 2024 #75 MADAM T said: Mbona illishia vizuri, tulijua kuwa anaumwa na yeye mwenyewe akakiri. Click to expand... Mkuu, Hivi ni Kwa nn,aliibukia kanisani na sio eneo lake la kazi
MADAM T said: Mbona illishia vizuri, tulijua kuwa anaumwa na yeye mwenyewe akakiri. Click to expand... Mkuu, Hivi ni Kwa nn,aliibukia kanisani na sio eneo lake la kazi
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 31,196 Reaction score 18,224 Nov 10, 2024 #76 Gabeji said: Bila shaka ni wazima wa afya njema?! View attachment 3148547 Napenda kujua kwa sasa alipo Saisi mama Samia, yupo cuba bado au amerudi Tanzania? Kikatiba nina haki kujua Rais alipo. Mnao juu taarifa tafadhali tuambieni. Mungu ibariki Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji Click to expand... Kila akisaifiri mnapiga kelele Asiposafiri mnapiga kelele
Gabeji said: Bila shaka ni wazima wa afya njema?! View attachment 3148547 Napenda kujua kwa sasa alipo Saisi mama Samia, yupo cuba bado au amerudi Tanzania? Kikatiba nina haki kujua Rais alipo. Mnao juu taarifa tafadhali tuambieni. Mungu ibariki Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji Click to expand... Kila akisaifiri mnapiga kelele Asiposafiri mnapiga kelele
Nandagala One JF-Expert Member Joined Aug 19, 2020 Posts 2,455 Reaction score 2,888 Nov 10, 2024 #77 Gabeji said: Bila shaka ni wazima wa afya njema?! View attachment 3148547 Napenda kujua kwa sasa alipo Saisi mama Samia, yupo cuba bado au amerudi Tanzania? Kikatiba nina haki kujua Rais alipo. Mnao juu taarifa tafadhali tuambieni. Mungu ibariki Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji Click to expand... Mama Mitano tena, na TUNATOA FOMU MOJA TU...π€£π€£π€£πππππ
Gabeji said: Bila shaka ni wazima wa afya njema?! View attachment 3148547 Napenda kujua kwa sasa alipo Saisi mama Samia, yupo cuba bado au amerudi Tanzania? Kikatiba nina haki kujua Rais alipo. Mnao juu taarifa tafadhali tuambieni. Mungu ibariki Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji Click to expand... Mama Mitano tena, na TUNATOA FOMU MOJA TU...π€£π€£π€£πππππ
mcTobby JF-Expert Member Joined Feb 16, 2018 Posts 6,631 Reaction score 18,669 Nov 10, 2024 #78 Naamini huu uzushi tu wa kimtandao tu na wenyewe utapita.
Mtili wandu JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 9,293 Reaction score 12,875 Nov 10, 2024 #79 Kumekuchaaaa kumekuchaaaaa nasema
Goldnessa JF-Expert Member Joined Apr 30, 2021 Posts 449 Reaction score 1,252 Nov 10, 2024 #80 Huenda yupo likizo ya mwaka,acheni chokochoko wajameni.Mungu tulindie Rais yetu mpendwa.