Rais Samia: Wanufaika wa TASAF wamefikia 6,983,665

Aachane Tu Na Kampeni...Tumuapishe Pesa Zikafanye Mambo Ya Maana..Kuliko Kuendelea Kusikiliza Mambo Ya Kawaida Mnoo Kutoka Kwenye Kinywa Cha Mgombea Wa Chama Cha Mapinduzi..Ni Aibu Kwa Kweli ​
 
Akiongea kwenye mkutano wa kampeni wa Tanganyika Packers, Rais Samia Suluhu Hassan alisema:

Umasikini haujaisha, Tanzania yetu inapaswa kuwa na familia zenye furaha na usalama wa kifedha. Hivyo nashukuru Mpango wa TASAF, ambao umeongeza idadi ya kaya walengwa kutoka 876,440 mwaka 2021 hadi 1,371,916 mwaka huu wa 2025.

Rais Samia aliongeza kuwa hatua hii ya Serikali inapanua wigo wa msaada kwa wananchi, kwani jumla ya wanufaika wa TASAF kufikia mwaka 2024 walifikia watu 6,983,665. "Hii ni fursa kwa familia nyingi kupata msaada wa kijamii, kuhakikisha watoto wanapata elimu, na kuwa na afya bora. Ni mwongozo wa taifa kuelekea ustawi wa kila kaya," alisema.

Wakazi walioshiriki mkutano huo walisifia jitihada za Serikali, wakisema kuwa mpango wa TASAF umekuwa tumaini halisi kwa kaya masikini. Kwa wengi, si tu msaada wa kifedha, bali ni dira ya matumaini inayowaunganisha na fursa za maendeleo, ikiwaleta karibu zaidi na maisha bora.

Rais Samia aliwahakikishia wananchi kuwa Serikali itadumisha na kuendeleza sera zinazosaidia kaya masikini, kuhakikisha mpango wa TASAF unaendelea kufanikisha ustawi wa kijamii kwa kila kona ya nchi

Kwa wananchi wengi, TASAF si tu mpango wa kifedha, bali ni dira ya matumaini inayowaunganisha na fursa za maendeleo.
​
Maana yake maskini wanaongezeka. Duuuh!!
 
Haya mambo sio ya kujisifia hata kidogo

Hii inaonesha idadi ya masikini, ambao wamechukuliwa kwenye Kila kaya

Iwapo utafanya Hesabu za kawaida kaya 1 inabeba wanafamilia 5

6,983,665 x 5 ~ roughly unapata 35,000,000

Yaani familia zinazoishi Chini ya kipato cha Dola 1 Kwa Siku 🙌
 
Maana yake maskini wanaongezeka. Duuuh!!
Siyo Jambo la kufurahia. AN INCREASE IN NUMBER THE POORS IN TANZANIA IS DIRECT PROPORTIONAL TO THE INCREASE IN SIZE AND NUMBERS OF THE THEFT OF OUR NATURAL RESOURCES AND PUBLIC FUNDS !
 
Akiongea kwenye mkutano wa kampeni wa Tanganyika Packers, Rais Samia Suluhu Hassan alisema:

Umasikini haujaisha, Tanzania yetu inapaswa kuwa na familia zenye furaha na usalama wa kifedha. Hivyo nashukuru Mpango wa TASAF, ambao umeongeza idadi ya kaya walengwa kutoka 876,440 mwaka 2021 hadi 1,371,916 mwaka huu wa 2025.

Rais Samia aliongeza kuwa hatua hii ya Serikali inapanua wigo wa msaada kwa wananchi, kwani jumla ya wanufaika wa TASAF kufikia mwaka 2024 walifikia watu 6,983,665. "Hii ni fursa kwa familia nyingi kupata msaada wa kijamii, kuhakikisha watoto wanapata elimu, na kuwa na afya bora. Ni mwongozo wa taifa kuelekea ustawi wa kila kaya," alisema.

Wakazi walioshiriki mkutano huo walisifia jitihada za Serikali, wakisema kuwa mpango wa TASAF umekuwa tumaini halisi kwa kaya masikini. Kwa wengi, si tu msaada wa kifedha, bali ni dira ya matumaini inayowaunganisha na fursa za maendeleo, ikiwaleta karibu zaidi na maisha bora.

Rais Samia aliwahakikishia wananchi kuwa Serikali itadumisha na kuendeleza sera zinazosaidia kaya masikini, kuhakikisha mpango wa TASAF unaendelea kufanikisha ustawi wa kijamii kwa kila kona ya nchi

Kwa wananchi wengi, TASAF si tu mpango wa kifedha, bali ni dira ya matumaini inayowaunganisha na fursa za maendeleo.
​
Hili nalo ni la kujivunia?
 
Kwahiyo tunafurahia masikini kuendelea kuwepo. Kwasababu tsh 17,500 kwa miezi mitatu ni dharau kwa raia. Tena wanakuwa wamefanya kazi kubwa sana
 
Huu ni ujinga,badala ya kushanga kwanini idadi inaongeza ninyi mnajisifu kwa kuongezeka idadi which means kiwango cha umasikini kinaongezeka badala ya kupungua
 
Back
Top Bottom