Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,653
- 49,644
Hawana shukrani wananchi. Mpaka wanawake wenzake wanamdhihaki.Hii sasa ndio inaitwa Blue Monday kama hujawahi kuisikia au kuifahamu ndio hii sasa
Hawana shukrani wananchi.
Mpaka wanawake wenzake wanamdhihaki.
Dawa ni kuwaongoza kwa mkono wa chuma kama alivyofanya Magufuli
Ni vigumu kuamini kuwa unayemsema alikuwa ni makamu wa Rais. Alijua na kubariki kila kilichokua kikiendelea serikalini. Alikaa kwenye vikao vyote vya maamuzi vya baraza la mawaziri na kupitisha maazimio yote yaliyoletwa mbele yao.Hi!
Tulipitia kipindi kigumu kiuchumi, kijamii na kisiasa kwa miaka 6 mfululizo.
Sasa RAIS SAMIA wakazie hawa wananchi. Hawana kumbukumbu za mateso waliyopewa na mtangulizi wako ambayo hayakuwa na sababu.
Angezingatia sheria za kodi leo tusingekuwa na tozo, maana tozo ni kupora wanyonge pesa zao wasiweze kujiwekea walau akiba kidogo.Hi!
Tulipitia kipindi kigumu kiuchumi, kijamii na kisiasa kwa miaka 6 mfululizo.
Kila mmoja shahidi, vyuma vilikaza sana. Wananchi hali ngumu, watumishi taabani.
Furaha ya wananchi ilikuwa kusikia kiongozi ametumbuliwa, wananchi waliaminishwa pesa zao zilikuwa zimeibwa na viongozi mafisadi na wafanyabiashara matajiri ingawa kila walipobanwa viongozi hao na wafanyabiashara hali zao wananchi hazijawahi kuwa nzuri.
Amekuja Samia katika kipindi kigumu cha COVID-19 baadaye Ukraine War lakini anajitahidi kuwapigania wananchi.
Kafanya mambo makubwa katika kipindi kigumu lakini shukrani hapewi. Ni Rais ambaye wananchi wamempuuza licha ya utu wake.
Sasa Rais Samia wakazie hawa wananchi. Hawana kumbukumbu za mateso waliyopewa na mtangulizi wako ambayo hayakuwa na sababu.
Waminye vizuri kwenye kodi. Sheria za kodi zizingatiwe. Wafanyabiashara kama hawatoi risiti weka ndani au wapige fidia. Wananchi kama hawadai risit wafungwe.
😅😅Hii sasa ndio inaitwa Blue Monday kama hujawahi kuisikia au kuifahamu ndio hii sasa
unaposema wananchi wamempuuza unamaanisha nini? au ulitaka wambebe migongoni mwao?Hi!
Tulipitia kipindi kigumu kiuchumi, kijamii na kisiasa kwa miaka 6 mfululizo.
Kila mmoja shahidi, vyuma vilikaza sana. Wananchi hali ngumu, watumishi taabani.
Furaha ya wananchi ilikuwa kusikia kiongozi ametumbuliwa, wananchi waliaminishwa pesa zao zilikuwa zimeibwa na viongozi mafisadi na wafanyabiashara matajiri ingawa kila walipobanwa viongozi hao na wafanyabiashara hali zao wananchi hazijawahi kuwa nzuri.
Amekuja Samia katika kipindi kigumu cha COVID-19 baadaye Ukraine War lakini anajitahidi kuwapigania wananchi.
Kafanya mambo makubwa katika kipindi kigumu lakini shukrani hapewi. Ni Rais ambaye wananchi wamempuuza licha ya utu wake.
Sasa Rais Samia wakazie hawa wananchi. Hawana kumbukumbu za mateso waliyopewa na mtangulizi wako ambayo hayakuwa na sababu.
Waminye vizuri kwenye kodi. Sheria za kodi zizingatiwe. Wafanyabiashara kama hawatoi risiti weka ndani au wapige fidia. Wananchi kama hawadai risit wafungwe.
Haina haja mkuu,wanasema hivi kufanya jambo jema halifanyi wewe kupendwa bali linaweza kuletea chuki zaidi..Hi!
Tulipitia kipindi kigumu kiuchumi, kijamii na kisiasa kwa miaka 6 mfululizo.
Kila mmoja shahidi, vyuma vilikaza sana. Wananchi hali ngumu, watumishi taabani.
Furaha ya wananchi ilikuwa kusikia kiongozi ametumbuliwa, wananchi waliaminishwa pesa zao zilikuwa zimeibwa na viongozi mafisadi na wafanyabiashara matajiri ingawa kila walipobanwa viongozi hao na wafanyabiashara hali zao wananchi hazijawahi kuwa nzuri.
Amekuja Samia katika kipindi kigumu cha COVID-19 baadaye Ukraine War lakini anajitahidi kuwapigania wananchi.
Kafanya mambo makubwa katika kipindi kigumu lakini shukrani hapewi. Ni Rais ambaye wananchi wamempuuza licha ya utu wake.
Sasa Rais Samia wakazie hawa wananchi. Hawana kumbukumbu za mateso waliyopewa na mtangulizi wako ambayo hayakuwa na sababu.
Waminye vizuri kwenye kodi. Sheria za kodi zizingatiwe. Wafanyabiashara kama hawatoi risiti weka ndani au wapige fidia. Wananchi kama hawadai risit wafungwe.
Wanasumbua sana hawa team JiweWanaolalamika kwenye mtandao na kakikundi fulani kadogo kalikuwa na maslahi binafsi na mwendazake!!
Usione thread za malalamiko ukahisi ni watu wote wanalalamika!! Nakuhakikishia hako kakikundi hakana hata watu zaidi 20,000 kati ya watu 60+ Ml ya watanzania!!
Rais aache kuwaangalia watanzania wote hao kwa sababu ya wapuuzi wachache waiokuwa wamezoea kula kwa dhuluma?
Rais Samia Suluhu amefanya maendeleo makubwa sana Tanzania anajua wapingaji wapo na sisi tusiopinga maendeleo tupo lakini hawezi kufata mawazo yako ya kipuuzi eti kuwaminya watanzania yeye lengo lake ni kuwainua watanzania kwenye maendeleo na sio kuwadidimizaHi!
Tulipitia kipindi kigumu kiuchumi, kijamii na kisiasa kwa miaka 6 mfululizo.
Kila mmoja shahidi, vyuma vilikaza sana. Wananchi hali ngumu, watumishi taabani.
Furaha ya wananchi ilikuwa kusikia kiongozi ametumbuliwa, wananchi waliaminishwa pesa zao zilikuwa zimeibwa na viongozi mafisadi na wafanyabiashara matajiri ingawa kila walipobanwa viongozi hao na wafanyabiashara hali zao wananchi hazijawahi kuwa nzuri.
Amekuja Samia katika kipindi kigumu cha COVID-19 baadaye Ukraine War lakini anajitahidi kuwapigania wananchi.
Kafanya mambo makubwa katika kipindi kigumu lakini shukrani hapewi. Ni Rais ambaye wananchi wamempuuza licha ya utu wake.
Sasa Rais Samia wakazie hawa wananchi. Hawana kumbukumbu za mateso waliyopewa na mtangulizi wako ambayo hayakuwa na sababu.
Waminye vizuri kwenye kodi. Sheria za kodi zizingatiwe. Wafanyabiashara kama hawatoi risiti weka ndani au wapige fidia. Wananchi kama hawadai risit wafungwe.
Sure umenena vyema Rais Samia Suluhu hawezi kutuacha wananchi wake eti kisa kuna wachache tu wanaopinga sisi tunachujua Tanzania ni salama na Samia na Rais hawezi kua na mawazo mganzo kama ya huyu jamaaWanaolalamika kwenye mtandao na kakikundi fulani kadogo kalikuwa na maslahi binafsi na mwendazake!!