Ukitaka watu warudishe imani kwako ni kuachana na hii mikataba na rudisha nchi kwenye misingi yake ya kulinda Mali zetu.Kwa mambo yanayoendelea hasa mikataba ya ovyo iliyo ingiwa huu wa kuuza bandari zetu zote Kwa waarabu haikubaliki na hata mbuga zetu kiufupi hili jambo naomba kusema tu limekuondolea sifa kabisa ya kuwa mgombea wa 2025. Watanganyika wana hasira Kali na wewe.
Ukitaka watu warudishe imani kwako ni kuachana na hii mikataba na rudisha nchi kwenye misingi yake ya kulinda Mali zetu.
Mikataba mizuri ni ile yenye faida Kwa Taifa.
Aisee sidhani.. Sina hakika! Japo natamani iwe hivyoMKUU ACHA JAZBA...
MUNGU AMLINDE...
Atarekebisha hili mapema lieleweke.
Kwani ni dhambi kuongea kwa jazba.Ameandika kwa jazba
Si adabu kumfokea RaisiKwani ni dhambi kuongea kwa jazba.
Kwani ni adabu wao kutufokea sisi? Ni adabu wao kutuibia sisi? Ni adabu wao kisaini mikataba kimangungomangungo? Ukijiheshimu na kuheshimu utaheshimiwa.Si adabu kumfokea Raisi
una ushahidi umeibiwa au una ongea mambo kwa hisia?Kwani ni adabu wao kutufokea sisi? Ni adabu wao kutuibia sisi? Ni adabu wao kisaini mikataba kimangungomangungo? Ukijiheshimu na kuheshimu utaheshimiwa.
Bila shaka wewe ni Mmakunduchi!Mama anaupiga mwingi sana. Mama mitano tena
Kama we ni Mahakama niite nikudhibitishie.una ushahidi umeibiwa au una ongea mambo kwa hisia?
Mkuu Mama Samia hawezi kukulindia rasilimali za taifa tupambane.Mkuu mama samia hawezi kukuletea debe la unga,pambana
Mwondoe wewe basiTutakuwa tumechelewa wakuu, aondoka mwaka huu huu
Kwa hiyo....Aonyeshe nia ya kusikiliza na kurekebisha, mkuu wa nchi kutamka ametia pamba masikioni ni matusi kwa wananchi
Mtaishia hayo hayo nyuma ya keyboardYaani hata sasa hatakiwi kukalia kiti kwa dharau hizi
Eti adhibitiwe!HATOGOMBEA,
Adhibitiwe uharibifu usizidi kuanzia sasa kuelekea huko.
Hawezi kuondoka2025 Mbali Bora aondoke hata kesho.