King Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2023
- 2,330
- 3,274
Kama kila rais anayekalia Mungu atapokea kilio chenu si itafika muda kiti cha urais kitakosa mtu, make wote tutakiogopa sasa Nani atakuwa tayari kufa?Mungu atapokea kilio chetu.
Kama kila rais anayekalia Mungu atapokea kilio chenu si itafika muda kiti cha urais kitakosa mtu, make wote tutakiogopa sasa Nani atakuwa tayari kufa?Mungu atapokea kilio chetu.
Lina atarekebisha na yupo kimyaMKUU ACHA JAZBA...
MUNGU AMLINDE...
Atarekebisha hili mapema lieleweke.
Nilisema afute Sasa si baada ya kuwa ni mkataba wa ovyoTuwe na akiba ya maneno
![]()
Tuwe na akiba ya maneno kuhusu IGA na DP World
Wasalaam wana zengwe Hili suala la IGA na DP World limeleta mijadala mingi na kauli nyingi kinzani, gombeshi na chongeshi. Ata mimi nimeandika nyuzi hii ikiwa ya tatu, lakini yote ikiwa katika kuchakata uhalali na ukubalifu wa IGA na DP World. Kitu kikubwa ambacho bado naamini kina tunza...www.jamiiforums.com
Mzee Nina pambana na maisha yangu . Hata ingekuwa mkataba ni mkataba mzuri Bado nawajibika kufanya kazMkuu mama samia hawezi kukuletea debe la unga,pambana
Hoja sio ubaguzi Wala udini hoja ni mkataba wa ovyoMikataba tafuta mwanasheria akae na wewe akupe shule kifungu kwa kifungu ili hii chuki yako ipungue.
Nchi imekuwa na marais sita na wawili wametoka visiwani wanne wametoka huku bara. Pengine ni mpango wa Mungu kwa Samia kuwa rais mwaka juzi baada ya kifo cha JPM.
Alitaka kutukumbusha maana pana ya demokrasia na sio huu ubinafsi wetu sisi watu wa huku bara, kujiona muda wote tuna haki kwa sababu ya ukubwa wa eneo letu.
Mungu anazo njia zake za kuongea na binadamu na zina ukuu usioelezeka. Hizi kelele zote ni chuki tu na zinaonyesha namna gani tusivyo na uvumilivu.
Yale yale Maneno ya Mwalimu Nyerere kwamba muungano ndio unaoshikilia uwepo wa TZ. Na tusijidanganye kudhani kuwa roho ya kibaguzi ya kumbagua Rais Samia, itaishia kwake tu, tutamnyooshea vidole rais wa Tanganyika kama leo tunavyomnyooshea SSH.
Muda si mrefu..Lina atarekebisha na yupo kimya
Kwaiyo huko kupambana kulinda rasilimali ndo unapambania humu.Mkuu Mama Samia hawezi kukulindia rasilimali za taifa tupambane.
Uelewa wako wewe una matatizo Tafuta mwanasheria mwenye uelewa mpana wa mikataba akupe shule.Hoja sio ubaguzi Wala udini hoja ni mkataba wa ovyo
Tupambanie wapi.Kwaiyo huko kupambana kulinda rasilimali ndo unapambania humu.
Invest acha kulaani Rais Ile ni taasisi,je wewe unatenda mema kila siku yaliyo mema,Kwa mambo yanayoendelea hasa mikataba ya ovyo iliyo ingiwa huu wa kuuza bandari zetu zote Kwa waarabu haikubaliki na hata mbuga zetu kiufupi hili jambo naomba kusema tu limekuondolea sifa kabisa ya kuwa mgombea wa 2025. Watanganyika wana hasira Kali na wewe.
Ukitaka watu warudishe imani kwako ni kuachana na hii mikataba na rudisha nchi kwenye misingi yake ya kulinda Mali zetu.
Mikataba mizuri ni ile yenye faida Kwa Taifa.
Uchawa unakutesa. Unamtegemea mwanadamuHawezi kuondoka