britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 17,178
- 41,625
Kitendo cha Sheikh kusimama na kusema mtu yaani Lissu anyongwe halafu ukakaa kimya bila kukemea pale pale inaleta picha mbaya
1. Rais ni National comforter
2. Rais ni Miezi wa nchi
3. Rais anapaswa kuunganisha watu si kuachia chuki zikaenea,
Mheshimiwa Mwenyekiti wa CCM pale Kawe ilikuwa ni fursa ya kuchukua sifa kwa kutamka kwamba angalau tusimnyonge mtu bila ushahidi, Lakin uka-smile
Hatujakaa Sawa ukaona kijana wa UVCCM anasema Lissu apotezwe maana watanzania wapo 63M hivyo kumnyonga Lissu haipunguzi lolote
Kauli hizo si SALAMA
Britanicca