britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 17,209
- 41,779
Hivi Tangu lini amekuwa akielezwa ukweli?Rais Wangu na Mwenyekiti wa chama changu kwanza Pole kwa kazi nzito unazofanya
Kuhusu mauaji wanaokupa Report wamekudanganya! Clip ya Slaa kuhusu Chadema kuteka katibu wake ni jambo la kisiasa na muda huo alikuwa akitetea nafasi yake!
Pili Polisi wanaua kila siku watu ambao hawana hatia
Narudia Nataka niandike jambo kwa uwakilishi au uwasilishaji wake uwe wa kwamba mods hawataondoa Uzi !
Ila Polisi baadhi
1. Matapeli
2. Majambazi
3. Wezi
4. Wauaji
wanatumia nafasi yao kufanya hayo juu
TIMU ILOKUZUNGUKA INAKU MISLEAD
JANA IKABIDI ULIYOYASEMA KWA MANENO WENYE HEKIMA WAKAYAHARIRI UPYA KWENYE PRESS RELEASE NOTE!
Britanicca
Mbona mnashupalia kua anadanganywa??? Nyie hamuamin kama samia ndo anatuma watu waue wapinzani wake?! Is Samia an Angel kwamba tuseme anadanganywa yeye hawezi agiza watu wafanye vile?!Rais Wangu na Mwenyekiti wa chama changu kwanza Pole kwa kazi nzito unazofanya
Kuhusu mauaji wanaokupa Report wamekudanganya! Clip ya Slaa kuhusu Chadema kuteka katibu wake ni jambo la kisiasa na muda huo alikuwa akitetea nafasi yake!
Pili Polisi wanaua kila siku watu ambao hawana hatia
Narudia Nataka niandike jambo kwa uwakilishi au uwasilishaji wake uwe wa kwamba mods hawataondoa Uzi !
Ila Polisi baadhi
1. Matapeli
2. Majambazi
3. Wezi
4. Wauaji
wanatumia nafasi yao kufanya hayo juu
TIMU ILOKUZUNGUKA INAKU MISLEAD
JANA IKABIDI ULIYOYASEMA KWA MANENO WENYE HEKIMA WAKAYAHARIRI UPYA KWENYE PRESS RELEASE NOTE!
Britanicca
Nafikiri maana yake ni kuwa wanamdanganya na kumtisha ili akubaliane nao kuwa njia pekee ya kudeal na hao wabaya wake ni kuwateka na kuwaua.Mbona mnashupalia kua anadanganywa??? Nyie hamuamin kama samia ndo anatuma watu waue wapinzani wake?! Is Samia an Angel kwamba tuseme anadanganywa yeye hawezi agiza watu wafanye vile?!
Mshaingia hofu mbuzi nyie,uhuru hamuuweziBimkubwa anaingizwa chaka kiboya sana na yeye anajaa mazima
Hapana bhana,Yeye ndo anaruhusu kila kitu acheni kusingizia watu wasio husika….And if so si Ajiudhuru?!Nafikiri maana yake ni kuwa wanamdanganya na kumtisha ili akubaliane nao kuwa njia pekee ya kudeal na hao wabaya wake ni kuwateka na kuwaua.
Ukiandika hizo nondo yenye vitu hivyo utapeli, ujambazi, wizi na uuaji nitag na mods wakae kizalendo zaidiRais Wangu na Mwenyekiti wa chama changu kwanza Pole kwa kazi nzito unazofanya
Kuhusu mauaji wanaokupa Report wamekudanganya! Clip ya Slaa kuhusu Chadema kuteka katibu wake ni jambo la kisiasa na muda huo alikuwa akitetea nafasi yake!
Pili Polisi wanaua kila siku watu ambao hawana hatia
Narudia Nataka niandike jambo kwa uwakilishi au uwasilishaji wake uwe wa kwamba mods hawataondoa Uzi !
Ila Polisi baadhi
1. Matapeli
2. Majambazi
3. Wezi
4. Wauaji
wanatumia nafasi yao kufanya hayo juu
TIMU ILOKUZUNGUKA INAKU MISLEAD
JANA IKABIDI ULIYOYASEMA KWA MANENO WENYE HEKIMA WAKAYAHARIRI UPYA KWENYE PRESS RELEASE NOTE!
Britanicca
UNAPOTEZA MUDA WAKO BURE KUSHAURI WAPUMBAVU MAY BE YOUR ONE OF THEMRais Wangu na Mwenyekiti wa chama changu kwanza Pole kwa kazi nzito unazofanya
Kuhusu mauaji wanaokupa Report wamekudanganya! Clip ya Slaa kuhusu Chadema kuteka katibu wake ni jambo la kisiasa na muda huo alikuwa akitetea nafasi yake!
Pili Polisi wanaua kila siku watu ambao hawana hatia
Narudia Nataka niandike jambo kwa uwakilishi au uwasilishaji wake uwe wa kwamba mods hawataondoa Uzi !
Ila Polisi baadhi
1. Matapeli
2. Majambazi
3. Wezi
4. Wauaji
wanatumia nafasi yao kufanya hayo juu
TIMU ILOKUZUNGUKA INAKU MISLEAD
JANA IKABIDI ULIYOYASEMA KWA MANENO WENYE HEKIMA WAKAYAHARIRI UPYA KWENYE PRESS RELEASE NOTE!
Britanicca
Una hoja vipi kuhusu kesi ya ugaidi ya Mbowe alidanganywa huyo Bibi Hassan abebe mzigo wake kwa kadri ya Mungu wake , shetani wake na akili zake hamna kisingizio amejawa na ulafi wakati anapaswa kuondoka next year afuate katiba CCM ilimpa 10 years aondokeMbona mnashupalia kua anadanganywa??? Nyie hamuamin kama samia ndo anatuma watu waue wapinzani wake?! Is Samia an Angel kwamba tuseme anadanganywa yeye hawezi agiza watu wafanye vile?!
Rais Wangu na Mwenyekiti wa chama changu kwanza Pole kwa kazi nzito unazofanya
Kuhusu mauaji wanaokupa Report wamekudanganya! Clip ya Slaa kuhusu Chadema kuteka katibu wake ni jambo la kisiasa na muda huo alikuwa akitetea nafasi yake!
Pili Polisi wanaua kila siku watu ambao hawana hatia
Narudia Nataka niandike jambo kwa uwakilishi au uwasilishaji wake uwe wa kwamba mods hawataondoa Uzi !
Ila Polisi baadhi
1. Matapeli
2. Majambazi
3. Wezi
4. Wauaji
wanatumia nafasi yao kufanya hayo juu
TIMU ILOKUZUNGUKA INAKU MISLEAD
JANA IKABIDI ULIYOYASEMA KWA MANENO WENYE HEKIMA WAKAYAHARIRI UPYA KWENYE PRESS RELEASE NOTE!
Britanicca
Wanaofanya hivyo wanafanya makusudi maana wanajua hana tabia ya kufuatilia, kufanya followups au kuchunguza yeye mwenyewe nje na vyombo vyakeBimkubwa anaingizwa chaka kiboya sana na yeye anajaa mazima