Rais Samia umeanza kutuangusha kabla ya siku 100 za uongozi wako

Nimesikiliza Hotuba ya mama huko Kenya naweza kusema.

Mama sio mzuri wa hoja nzito, ni mwepesi wa Ku Give In.

Anasema Wakenya waje Tanazania kuwekeza kwenye madini, Mkenya Gani anamtaji wa kuja kuwekeza kwenye Madini, Kama Mwekezaji mkubwa wa madini?

Mama anadanganywa na watu wake wa Karibu kwa udhaifu wake wa ndiyo ndiyo, Hivi ina maana mama hasomagi Takwimu za Dunia kuwa Tanzania kuna Mabilionea(USD Millionaires) wengi kuliko Kenya?

Mama anasema Tanzania ina ardhi Kubwa ana wakaribisha Wakenya, Je anajua uhaba wa Ardhi Kenya ni kwa sababu ya familia chache zenye nguvu kisiasa kuhodhi ardhi?
Mama anajua kuwa Wakenya zaidi ya asilimia 80 hawana ndoto wala hawataweza kabisa kujenga wala kumiliki Nyumba zao kipindi chote cha maisha yao?,

Mama anasahau hoja kuwa Tanzania ina watu wengi (Soko Kubwa), Huduma za Kijamii na mahitaji yote ya msingi kufanya biashara ni conducive Tanzania kuliko Kenya?

Mana anasahau au aliona aibu kusema mazingira mazuri yaliyopo kenya kwa wafanya biashara ni urahisi wao kutoa Rushwa kuliko Tanzania?

Mzee Mangula tunaomba Mlisisitize Bunge limchunge huyu Mama, na 2025 mfanye uchaguzi upya.
Nyie MATAGA acheni Mama afanye kazi aliyoshindwa mtangulizi wake na uchumi ukaporomoka!
 
Nimesema Tanzania ina Mabilionea wengi kuliko Kenya (Dollar Millionaires wengi), Kwa nini hawa tusiwasisitize.

Unatakiwa uwe na mtaji wa zaidi ya TSH Billioni 500 ndio uhesabiwe wewe ni Mwekezaji mkubwa wa Madini
Kwahiyo waliowekeza Tanzania kwenye madini wote ni wamiliki wa us dollar 500 million

Hebu acha utoto basi kulinganisha utajiri na mtaji

Elimu yako ina shida kubwa
 
Nimesikiliza Hotuba ya mama huko Kenya naweza kusema.

Mama sio mzuri wa hoja nzito, ni mwepesi wa Ku Give In.

Anasema Wakenya waje Tanazania kuwekeza kwenye madini, Mkenya Gani anamtaji wa kuja kuwekeza kwenye Madini, Kama Mwekezaji mkubwa wa madini?

Mama anadanganywa na watu wake wa Karibu kwa udhaifu wake wa ndiyo ndiyo, Hivi ina maana mama hasomagi Takwimu za Dunia kuwa Tanzania kuna Mabilionea(USD Millionaires) wengi kuliko Kenya?

Mama anasema Tanzania ina ardhi Kubwa ana wakaribisha Wakenya, Je anajua uhaba wa Ardhi Kenya ni kwa sababu ya familia chache zenye nguvu kisiasa kuhodhi ardhi?
Mama anajua kuwa Wakenya zaidi ya asilimia 80 hawana ndoto wala hawataweza kabisa kujenga wala kumiliki Nyumba zao kipindi chote cha maisha yao?,

Mama anasahau hoja kuwa Tanzania ina watu wengi (Soko Kubwa), Huduma za Kijamii na mahitaji yote ya msingi kufanya biashara ni conducive Tanzania kuliko Kenya?

Mana anasahau au aliona aibu kusema mazingira mazuri yaliyopo kenya kwa wafanya biashara ni urahisi wao kutoa Rushwa kuliko Tanzania?

Mzee Mangula tunaomba Mlisisitize Bunge limchunge huyu Mama, na 2025 mfanye uchaguzi upya.
Maza ni Mzanzibar hata akisikia una hekari 2 anaona una ardhi kubwa mno maana kule na viraka hawana ardhi
 
Wafia Jiwe mtateseka sana mfuateni kaburini

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Umetoa angalizo zuri, si la kupuuzwa
Nimesikiliza Hotuba ya mama huko Kenya naweza kusema.

Mama sio mzuri wa hoja nzito, ni mwepesi wa Ku Give In.

Anasema Wakenya waje Tanazania kuwekeza kwenye madini, Mkenya Gani anamtaji wa kuja kuwekeza kwenye Madini, Kama Mwekezaji mkubwa wa madini?

Mama anadanganywa na watu wake wa Karibu kwa udhaifu wake wa ndiyo ndiyo, Hivi ina maana mama hasomagi Takwimu za Dunia kuwa Tanzania kuna Mabilionea(USD Millionaires) wengi kuliko Kenya?

Mama anasema Tanzania ina ardhi Kubwa ana wakaribisha Wakenya, Je anajua uhaba wa Ardhi Kenya ni kwa sababu ya familia chache zenye nguvu kisiasa kuhodhi ardhi?
Mama anajua kuwa Wakenya zaidi ya asilimia 80 hawana ndoto wala hawataweza kabisa kujenga wala kumiliki Nyumba zao kipindi chote cha maisha yao?,

Mama anasahau hoja kuwa Tanzania ina watu wengi (Soko Kubwa), Huduma za Kijamii na mahitaji yote ya msingi kufanya biashara ni conducive Tanzania kuliko Kenya?

Mana anasahau au aliona aibu kusema mazingira mazuri yaliyopo kenya kwa wafanya biashara ni urahisi wao kutoa Rushwa kuliko Tanzania?

Mzee Mangula tunaomba Mlisisitize Bunge limchunge huyu Mama, na 2025 mfanye uchaguzi upya.
 
Sasa wakija bila hela tutawarudisha kwao, Mimi nikikukaribisha kwangu ukija utafata vigezo na mashariti yangu sasa hapo kuna shida gani? Kuwakaribisha kuwekeza na wakiwa wanajua ni hela itakayohitajika? Nakumbuka hata malls zilikuwa zinachangamshwa na uwepo wao wa kufungua supermarket na ajira sasa hivi malls zimepoa kweli sasa Kama kwa vitu vidogo Kama supermarket hatuna mitaji ndo maana mama Samia anawaita waje wawekeze ila vigezo na mashariti vitafuatwa hapo jukwaani siyo sehemu ya kuhutubia vigezo wakati watakao hitaji kuwekeza watapewa miongozo na mashariti yakufuatwa.
Mall karibu zote zimefungwa
 
Kwa hiyo ulitaka aseme wakenya wasije kuwekeza kwa kuwa hawana uwezo ?

Yani mimi nikikuambia karibu uje ununue magari kwangu kwa kuwa huna uwezo wa kununua gari utaona nimekosea sana kusema karibu ati kwa kuwa uwezo huna ?

Mama amesema yuko sahihi mlango kaufungua kwa mwenye uwezo atakuja kuwekeza,

Hapa unataka kusema kuwa mama amewakataza matajiri wa tanzania wasiwekeze kwenye madini kwa kuwa amesema kenya waje kuwekeza ?

Kama hujakusudia kusema hivyo naomba niambie umekusudia nini ?

Kwa maana wakenya wakija tanzania wasipate ardhi kwa sababu kuna familia chache kule kenya zimehodhi ardhi ?

Kuna uhusiano gani baina ya huyu mkenya anaetafuta hapa tanzania na hizo familia chache zilizohodhi ardhi ?
1. Moja Wakenya hawana uwezo kuliko Watanzania kuwekeza kwenye miradi mikubwa kuliko Tanzania, hoja ni takwimu za Dollar millionares ni Wengi Tanzania kuliko Kenya, Hawajaenda Kenya sababu Tanzania na SADC kuna Soko ni sehemu nzuri kuliko Kuelekea Juu ya Tanzania.

Hapa mama anawaita wakenya kuja kufanya kazi za umachinga na mama ntilie, anatujazia mizigo

Kuhusu Ardhi, Ardhi ndio msingi wa Uhuru na Kielelezo cha Taifa, Kama watu wachache wanamiliki Ardhi maana yake wanamiliki msingi wa uchumi wa Taifa, Sisi Ardhi yetu ni kwa ajili ya Watanzania Kwanza, Kwa nini utoe Ardhi yako kama bargain item?
 
Sielewi watu wanaomchukia mama hadi saiz wanatumia kigezo gani..mbona hotuba niliisikiliza na ilikua nzuri
 
Tuletee list ya matajiri 50 wa east Africa tuone wakenya na watanzania wapo wangapi?

Mimi nakushauri Fanya utafiti kama wakina Ridhiwani waliweza kuwekeza kwenye madini

Wakina Hassan joho watashindwa.?

Fanya utafiti wa kutosha kama hauna utafiti nyamaza.

Ndugu yangu hawa ni matajiri 20 Africa, Kenya hakuna Tanzania wapo
 
Hapa mama anawaita wakenya kuja kufanya kazi z
Watanzania ambao wanafanya kazi za kubangaiza nje ya tanzania mfano huo umachinga unawaathiri vipi watu wa nchi hizo ?
Kuhusu Ardhi, Ardhi ndio msingi wa Uhuru na Kielelezo cha Taifa, Kama watu wachache wanamiliki Ardhi maana yake wanamiliki msingi wa uchumi wa Taifa, Sisi Ardhi yetu ni kwa ajili ya Watanzania Kwanza, Kwa nini utoe Ardhi yako kama bargain item?
Bado hujanielewesha hawa wachache wanadhambi gani ya kuja kumiliki maeneo hapa tanzania kwa kufuata taratibu za hapa badala yake uwahusishe na hao wachache ?

Sisi Ardhi yetu ni kwa ajili ya Watanzania Kwanza, Kwa nini utoe Ardhi yako kama bargain item?
Bargain item inakuwaje ?
 
Tuletee list ya matajiri 50 wa east Africa tuone wakenya na watanzania wapo wangapi?

Mimi nakushauri Fanya utafiti kama wakina Ridhiwani waliweza kuwekeza kwenye madini

Wakina Hassan joho watashindwa.?

Fanya utafiti wa kutosha kama hauna utafiti nyamaza.

A recent wealth report by Knight Frank shows the tally of Tanzania’s super-rich stood at 5,668 at the end of 2019 compared to Kenya’s 2,942.

This includes 5,553 who are dollar millionaires - worth Sh100 million and above, another 114 billionaires, worth Sh3 billion and above and one that is worth over Sh100 billion.

Kenya has 2,900 dollar millionaires, 42 individuals worth $30 million and above and none in the category of dollar-billionaire, according to the 2020 Wealth Report by property management firm Knight Frank.
 
Back
Top Bottom