blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 10,475
- 12,634
πππππKUDEMKA ni hulka yake huyo.
πππππKUDEMKA ni hulka yake huyo.
Hivi wewe unaakili kweli? Kama kila mtu aliyekuwepo pale amgetaka kuongea na Rais wangetumia siku ngapi kukamilisha ndio maana kukawekwa wawakilishi wetu. Kwa akili hizi ndio maana hatujielewi tunataka nini.Binafsi nlijiandaa sana kuja kuongea na Mh. Rais nimweleze changamoto na masuluhisho kadhaa kwa baadhi ya changamoto tulizo nazo vijana mitaani.
Achana na mawaziri hawa wahajui changamoto zetu sababu hawajavaa viatu vyetu. Mimi sikuja na chama chochote. Nlikuja na hoja na naona ntaondoka nazo kama nlivyokuja nazo.
Nliamini tunakuja zungumza na Rais wetu. Kumbe tunakuja elezewa mambo kadhaa na watu kadhaa
your name is reflected you
Halafu mtawaambia mtawakopesha mikopo yenye riba nafuu au siyo?CHADEMA embu tuandae kongamano la vijana haraka..
Leo tumeokotwa...!
Tumepigwa...!
Ha ha ha ila JK muonekano ulimbeba sana!Kaka acha tu, Kikwete alivyokuwa anagombea urais kwa mara ya kwanza alikuwa na miaka 54, wakati ule alikuwa anasifiwa kuwa ni bonge la kijana! Hivyo usishangae kumsikia Polepole akijisifia ni kijana mdogo sana.
Na mashati yao ya kijaniLazima ufahamu kuwa mahali popote viongozi wa CCM wakitia timu mambo yameharibika!
We kilaza sijui hata kama unaelewa unachoandika. Hujielewi unataka nini na unadhani wote hawajielewi kama wewe kilaza.Hivi wewe unaakili kweli? Kama kila mtu aliyekuwepo pale amgetaka kuongea na Rais wangetumia siku ngapi kukamilisha ndio maana kukawekwa wawakilishi wetu. Kwa akili hizi ndio maana hatujielewi tunataka nini.
your name is reflected you
Kwenye siasa uyo Ni kijana mdogo sana.ila mtaani ameshazeekaKaka acha tu, Kikwete alivyokuwa anagombea urais kwa mara ya kwanza alikuwa na miaka 54, wakati ule alikuwa anasifiwa kuwa ni bonge la kijana! Hivyo usishangae kumsikia Polepole akijisifia ni kijana mdogo sana.
Ukiwapanga kikwete na polepole halafu ukaita mtoto wa darasa la tatu akuonyeshe mbabu ni nani na kijana ni nani? Bila kupepesa macho yule mtoto, babu atamsonta polepole na kijana atampoint kikwete.Kaka acha tu, Kikwete alivyokuwa anagombea urais kwa mara ya kwanza alikuwa na miaka 54, wakati ule alikuwa anasifiwa kuwa ni bonge la kijana! Hivyo usishangae kumsikia Polepole akijisifia ni kijana mdogo sana.
Toka lini chizi akawa na maarifa?We kilaza sijui hata kama unaelewa unachoandika. Hujielewi unataka nini na unadhani wote hawajielewi kama wewe kilaza.
Ujima na usanii si aliondoka nao dhalimu wako na sasa tuko vizuri au?Ule ni usanii kama usanii mwingine. Na kama kweli ile ndio namna ya kiongozi kuongea na watu ili kujua matatizo yao, basi ni njia ya kijima kweli kweli.
Mambo yaliharibika pale tulipoigawanya Tanzania kuwa ya vyama vya siasa na CCM kujimilikisha nchi hii.Ukisikia Rais anataka kuongea na wazee wa Dar,wanaenda wanaccm,ukisikia ataongea na kinamama wa Tanzania wanaenda UWT,vijana nao wakiitwa utawakuta UVCCM wamejazana nasi tunaridhika,ilhali huo ni ubaguzi wa wazi wazi na wakienda hushangilia na kuchezeshwa singeli badala ya kujenga hoja za kitaifa. Unakuta tunanadiwa Ilani ya Uchaguzi ya chama nasi tumeridhika.Shame on us!Lazima ufahamu kuwa mahali popote viongozi wa CCM wakitia timu mambo yameharibika!