Rais Samia: "Ukiwapa serikali hao wataunda chama"

Na wewe ungelelewa vizuri usingekuwa mke wa nne,ungekuwa na mume wa ujana wako.
 
Zamani kulikuwa na magwiji wawili wa taarab: mmama Shakira na bishoo Juma Baro. Hawa waungwana enzi hizo walikuwa maarufu kwa kutunga mashairi yenye mipasho na kuumbuana.
Kama yalivyo mashairi na ngojera ni njia za kuwasilisha ujumbe, zilizorithiwa kutoka jamii za mashariki ya kati na ukanda wa pwani ya Africa Mashariki.
Baada ya waungwana hawa wawili kupotea kwenye jukwaa la taarabu, tulipumzisha vichwa na shughuli kubwa ya kujaribu kufumbua ujumbe uliofichwa kwenye baadhi nyimbo za taarabu..... Sasa naona mtindo umerudi tena kwa ari mpya na kasi kubwa, lakini safari hii kutoka kileleni!....Du!! 🧐
 

Hiyo hotuba ya jana imedhihirisha kwamba bibi yetu ni mweupe kichwani.

Hamna kitu hapo, urais ameupata kwa kubebwa tu .
 


Mama anataka kuwalazimisha Chadema waje kwenye vikao kila siku ambavyo mpaka sasa ni kama kupoteza muda. Wameshatoa mapendekezo yao sasa kukutana kila siku kuna tija gani kwa taifa! Mama ame punic nini… fanya mabadiliko twende mbele Chadema ache waendelee kukutana na wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…