Rais Samia: "Ukiwapa serikali hao wataunda chama"

Mvuta bangi at least anajielewa.

Mpelekee leo karatasi ya mkataba kukodi shamba lake usionyeshe ukomo wake uone kama atakubali,hao unaohisi wana akili wao wanaishi zama za mawe kusaini mikataba ya milele.
Amkeni
Your browser is not able to display this video.
 
Tundu hataki maridhiano na CCM toka mwanzo, huyu Rais anaongea matope kiasi kikubwa hivi. Yeye kalelewa vizuri na wazazi wake ndio wamemfundisha aibe mali ya Watangamyika awape Waarabu. Ama kafundishwa kuwa mkatili kwa Wamasai. Huyu Mama Abdul hana jipya.
 
Hii ni hotuba au mipasho?
 
Chama kinachosubiri Mdude Nyagali atoe tamko ni mfu, tena kinaongozwa na very low energy and mediocre IQ.
How on earth Mdude_Nyagali mvuta bangi ndiye anatangaza maandamano mbele ya viongozi wake wakiwa wana hangaikia michepuko?
Na hii ndio iq kubwa uliyonayo ya kujadili person life badala ya hot issues and challenges with way forward unahangaika na upuuzi! And you call yourself a great thinker! Pathetic!
 
Chama kinachosubiri Mdude Nyagali atoe tamko ni mfu, tena kinaongozwa na very low energy and mediocre IQ.
How on earth Mdude_Nyagali mvuta bangi ndiye anatangaza maandamano mbele ya viongozi wake wakiwa wana hangaikia michepuko?
Huwa unavuta naye bangi? Kama kweli huwa unavuta naye, basi yumkini wewe utakuwa unamdhulumu mwenzako. Maana kwa vyovyote itakuwa wewe unavuta mara kumi yake!!
 
Inaonekana wewe ni mwenyeji Sana huko rumande za magereza na polisi Hadi unajua mnavyofanyiwa! Hongera mwenyeji wa mahabusu!
 
Kuna watu wamezaliwa kuwa wabishi na kuona wafanyacho wenzao ni hamna kitu
 
Chama kinachosubiri Mdude Nyagali atoe tamko ni mfu, tena kinaongozwa na very low energy and mediocre IQ.
How on earth Mdude_Nyagali mvuta bangi ndiye anatangaza maandamano mbele ya viongozi wake wakiwa wana hangaikia michepuko?
Wewe usiyevuta bange umesaidia nini kubust mchakato wowote nchi hii ?!. Ni rahisi kubeza huku mchango wako ukiwa zero.
Bora hata ya Nyangali, ambaye kupitia kwake tunaelewa si kila amri ya police ni ya kutii .
 
Chandema badilikeni endesheni siasa za kistarabu au basi muwe na fronts tofauti tofauti kulingana na hadhi ya kiongozi haiwezekani mwenyekiti na makamu wake woongoze front ya matusi/distraction.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…