Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,445
- 7,813
Rais Samia: Tunataka Mwanza iwe kitovu cha biashara nchi za maziwa makuu, lazima tuiendeleze Mwanza iwe kitovu majirani wasitupite. Yale yote yaliyopangwa na serikali ya Mkoa wafuateni nayo, Serikali kuu tuko nyuma yenu tunakwenda kumaliza shida zilizobakia.
Najua kuna ahadi ya mpendwa wetu Marehemu ya barabara km 12.4, niwaahidi tunakwenda kuifanyia kazi, atakuja mkandarasi.Najua katika maeneo yenu umeme unakatika mara kwa mara, jawabu ya hili ni kuja kuongeza nguvu na kujenga kituo kidogo cha kufua umeme ndani ya mji wa Mwanza, tutamtaka waziri wa Nishati aje kuondosha tatizo.