Tanza kwabza
Member
- Jul 28, 2019
- 7
- 4
Tuna Imani nawe chapa kazi mh rais nchi ipo kwenye mikono salama na kazi iendeleeRais Samia Suluhu Hassan akiwa Chekereni, Arusha amewaambia wananchi kuwa wanaotumbuliwa ni wale legelege ambao sio wachapakazi
Amesema vijana wachapakazi ambao matunda yao yanaonekana hawawezi kutumbuliwa akimtolea mfano waziri Jumaa Awezo