Ndugu usiwe na hasira kiasi hicho.Kwa hiyo Dr. Merdad Kalemani, Dr. Leonard Chamuriho, Innocent Bashungwa, Dr. Alexander Kyaruzi, Dr. Tito Mwinuka, Dr. Philemon Sengati, ni legelege?
Halafu wazanzibari & islamic wenzake na team msoga anaowateua ndio strong!
Wakina Batilda Buriani, January Makamba, Mwanaid Maajar, Sophia Mjema, Omari Makungu, Mustafa Umande, Omari Issa, Hassan Seif, Maharage Chande, na kadhalika
.
.
.
.
.
Samia usiwafanye watanzania wajinga (your watched)
Just take everything normal and easy, don't stress yourself, usipende makuu.
Kama yako ipo ipo kama haipo haipo.