Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,091
- 8,243
Hana uwezo, alikuwa anabebwa na binamu yake, madhaifu yake yalifichwa kwa nguvu kubwaKwahiyo kama ni wewe utamnyoma kazi ndugu yako kama uwezo anao
Hana uwezo, alikuwa anabebwa na binamu yake, madhaifu yake yalifichwa kwa nguvu kubwaKwahiyo kama ni wewe utamnyoma kazi ndugu yako kama uwezo anao
WTF...?Oweso hamfikii Kalemani hata robo
Na miwani zake zile kama fundi saaBinamu wa JPM hamna kitu, Waziri gani kazubaa namna Ile?
Huyu bibi simpendi aisee😂😂😂Awesso ni mswahili mwenzetu na ndugu katika imani
Yeye amesema anakupenda?!!🤣🤣Huyu bibi simpendi aisee😂😂😂
Upuuzi na ushuzi huuKwa hiyo Dr. Merdad Kalemani, Dr. Leonard Chamuriho, Innocent Bashungwa, Dr. Alexander Kyaruzi, Dr. Tito Mwinuka, Dr. Philemon Sengati, ni legelege?
Halafu wazanzibari & islamic wenzake na team msoga anaowateua ndio strong!
Wakina Batilda Buriani, January Makamba, Mwanaid Maajar, Sophia Mjema, Omari Makungu, Mustafa Umande, Omari Issa, Hassan Seif, Maharage Chande, na kadhalika
.
.
.
.
.
Samia usiwafanye watanzania wajinga (your watched)
Oweso hamfikii Kalemani hata robo
Utakufa utauacha udini....Naona udini unatawala awamu hii
Ushuzi mtupu....Upuuzi na ushuzi huu
Duh...udini umeanza?! Ngoja nikae pembeni Kwanza nikichungulia mpambano huu...Kwa hiyo Dr. Merdad Kalemani, Dr. Leonard Chamuriho, Innocent Bashungwa, Dr. Alexander Kyaruzi, Dr. Tito Mwinuka, Dr. Philemon Sengati, ni legelege?
Halafu wazanzibari & islamic wenzake na team msoga anaowateua ndio strong!
Wakina Batilda Buriani, January Makamba, Mwanaid Maajar, Sophia Mjema, Omari Makungu, Mustafa Umande, Omari Issa, Hassan Seif, Maharage Chande, na kadhalika
.
.
.
.
.
Samia usiwafanye watanzania wajinga (your watched)
Wewe jamaa Automata umejaa ujinga sana....unapenda mambo ya kipumbavu ya UDINI....una tatizo gani?!!!Kwa hiyo Dr. Merdad Kalemani, Dr. Leonard Chamuriho, Innocent Bashungwa, Dr. Alexander Kyaruzi, Dr. Tito Mwinuka, Dr. Philemon Sengati, ni legelege?
Halafu wazanzibari & islamic wenzake na team msoga anaowateua ndio strong!
Wakina Batilda Buriani, January Makamba, Mwanaid Maajar, Sophia Mjema, Omari Makungu, Mustafa Umande, Omari Issa, Hassan Seif, Maharage Chande, na kadhalika
.
.
.
.
.
Samia usiwafanye watanzania wajinga (your watched)
Kuupiga mwingi kwa Kalemani inaelekea ndiko kulimponza kwani alikuwa anapata umaarufu huku akiwanyima watu kufanya biashara na serikali kupitia wizara nyeti...we want to do business bwana...tumeshaongea tayari na balozi wa Marekani...tutafanya biashara ...Hahah Sisi tunajua wachapakazi kazi tunaiona huku kitaa. Aweso anakuja ila bado Kalemani alikuwa anaupiga mwingi.
Anavaaga masuruali yake ya kushonesha, makubwa balaa, not presentable at allNa miwani zake zile kama fundi saa
Aisei...hii mbaya sana na si heshima hata kidogo.Huyu bibi ni mpumbavu sana