Rais Samia tunaomba umtumbue Mkuu wa mkoa wa Tabora hatoshi pale

Unadhani masikini kama wewe utapata wapi akili za kuchambua mambo Kwa umakini kama sisi matajiri wa kipato na akili
Ukitoa wewe tajiri mla gambe hebu taja tajiri yeyote anayejipinda kuandika magazeti hapa jf..

Angalizo: usimtaje Lucas Mwashambwa kisa Mnafanana miandiko😂
 
Tanzania tuna ujinga mwingi sana na mipira ambayo kila mwaka hakuna hatua tuliyopiga

Mna Uhakika mkuu wa mkoa ndo ameshiriki hili suala
 
Yaani aache kufanya mambo ya msingi asikilize timu yenye mashabiki wenye akili 2 tu, wengine wote ndio akili zao zimeoza kama hizi?
 
Yaani Rais amuondoe RC wa Tabora kisa tu Yanga.

Halafu sijui ni kwanini Yanga ni walalamishi sana na wapenda Kesi.

Utafikiri litoto pekee la mwisho la kiume kwenye familia muda wote ni kulia tu
 
Halafu vijana wa nchi hii wanapopata umaarufu kidogo basi hujaa KIBURI. Huyu Ali Kamwe naona anafuata nyayo za Manara ambaye alimkoromea live Karia na akaja kumkoromea live Askari Magereza.

Ali Kamwe angekuwa na umaarufu wa Diamond ingekuaje sijui
 
Ukitoa wewe tajiri mla gambe hebu taja tajiri yeyote anayejipinda kuandika magazeti hapa jf..

Angalizo: usimtaje Lucas Mwashambwa kisa Mnafanana miandiko😂
Wewe masikini wa akili na kipato upo busy kila siku kusoma nyuzi zangu na kujifunza maarifa mapya
 
Bwana Paul Chacha ni mkuu wa mkoa ambaye anamchafua mheshimiwa Rais Samia makusudi

Analeta ubabe wake wa Kikurya kwenye mambo ya football

Alitukana Yanga wana kiherehere na wanahonga wachezaji, ambazo hizo ni Tuhuma chafu sana alitaka ajibiwe vipi?
Yaani aje kishabiki halafu kumjibu Yanga waogope cheo chake au v8 ya serikali, hiyo ni never

Viongozi kuwa na upande sio dhambi, mbona wapo na wanaheshika kuwa wapo aidha Simba au Yanga

Waziri Mkuu Casim Majaliwa huyu anajulikana ni Simba na Kwa mamlaka yake angeweza kuwa anawaweka kizuizini viongozi wa Yanga ila yupo vizuri, anapata heshima ya mashabiki wa Simba na Yanga na hajawahi kutoa kauli za kukejeli Yanga, na pia ni mlezi wa Namungo FC

Speaker wa Bunge Tulia Akson ni kiongozi mkuu wa mhimili wa Bunge lakini hakuwahi kuongelea vibaya Yanga japo ni Shabiki wa Simba kindakindaki, Huwa anawaalika Yanga bungeni, Kwa mamlaka yake angezuia Yanga wasifike hata Bungeni

Mh Ali Zungu naibu speaker huyu ni mbunge wa Ilala, zinapotoka Simba na Yanga zipo kwenye Jimbo lake ila hajawahi kutoa kauli ya kifedhuli dhidi ya Yanga na anaheshimika vizuri tu

Jakaya Kikwete, Rais Mstaafu Huyu ni Yanga lakini hajawahi kutoa kauli ya kipumbavu au maudhi Kwa Simba, kipindi chake Simba alitawala soccer la TANZANIA lakini hakuleta hujuma na kuibeba Yanga

Mwana FA, huyu ni naibu waziri wa michezo na m Wanachama wa Simba pamoja na yote hajawahi kutoa kauli ya kipumbavu dhidi ya Yanga na anaheshimika vyema

Albert Chalamila Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam huyu ni Yanga na timu zote zinatokea mkoa wake haijawahi kutoa kauli ya kipumbavu Kwa Simba, na wanasimba wanamheshimunpamoja na kujua kama yeye ni Yanga

Jerson Musigwa, karibu wa Wizara ya Michezo huyu ni Yanga ila anaheshimika na Simba Kwa kuwa ana busara

Tabora sio timu pekee ambayo Yanga amecheza
Yanga amecheza na Namungo Lindi,
Yanga amecheza na Fountain Gate Manyara
Yanga amecheza dhidi Singida Black Star Singada
Yanga amecheza na Coast union Tanga
Yanga amecheza na Kagere sugar Kagera
Yanga amechezana prison Mbeya
Yanga mecheza na Pamba Mwanza
Yanga amecheza na Mashujaa Kigoma

Mbona huku kote watendaji wa Yanga hawakugombana na wateule wa mheshimiwa Rais

Rais Samia tengua Chacha Tabora naamini una Stock ya watendaji wengine wenye hekima na busara
Eti Rais amtengue, kwa kosa gani,?

Mheshimiwa Chacha we shikilia hapo hapo.

Uto-Sasa na hili nendeni CAS tena.
 
Mw
Halafu vijana wa nchi hii wanapopata umaarufu kidogo basi hujaa KIBURI. Huyu Ali Kamwe naona anafuata nyayo za Manara ambaye alimkoromea live Karia na akaja kumkoromea live Askari Magereza.

Ali Kamwe angekuwa na umaarufu wa Diamond ingekuaje sijui
Mwenye ile video ya manara akimkoromea askari magereza, idondoshe hapa tafadhali
 
Wewe masikini wa akili na kipato upo busy kila siku kusoma nyuzi zangu na kujifunza maarifa mapya
Weka hapa orodha ya matajiri wenye mihemko kama yako ya kuandika gazeti hapa jf ili tuwajue... tajiri asiye na utajiri na timu yako ya matajiri wenza like you wataje hapa 🐸🐸🐸wenzio
 
Bwana Paul Chacha ni mkuu wa mkoa ambaye anamchafua mheshimiwa Rais Samia makusudi

Analeta ubabe wake wa Kikurya kwenye mambo ya football

Alitukana Yanga wana kiherehere na wanahonga wachezaji, ambazo hizo ni Tuhuma chafu sana alitaka ajibiwe vipi?
Yaani aje kishabiki halafu kumjibu Yanga waogope cheo chake au v8 ya serikali, hiyo ni never

Viongozi kuwa na upande sio dhambi, mbona wapo na wanaheshika kuwa wapo aidha Simba au Yanga

Waziri Mkuu Casim Majaliwa huyu anajulikana ni Simba na Kwa mamlaka yake angeweza kuwa anawaweka kizuizini viongozi wa Yanga ila yupo vizuri, anapata heshima ya mashabiki wa Simba na Yanga na hajawahi kutoa kauli za kukejeli Yanga, na pia ni mlezi wa Namungo FC

Speaker wa Bunge Tulia Akson ni kiongozi mkuu wa mhimili wa Bunge lakini hakuwahi kuongelea vibaya Yanga japo ni Shabiki wa Simba kindakindaki, Huwa anawaalika Yanga bungeni, Kwa mamlaka yake angezuia Yanga wasifike hata Bungeni

Mh Ali Zungu naibu speaker huyu ni mbunge wa Ilala, zinapotoka Simba na Yanga zipo kwenye Jimbo lake ila hajawahi kutoa kauli ya kifedhuli dhidi ya Yanga na anaheshimika vizuri tu

Jakaya Kikwete, Rais Mstaafu Huyu ni Yanga lakini hajawahi kutoa kauli ya kipumbavu au maudhi Kwa Simba, kipindi chake Simba alitawala soccer la TANZANIA lakini hakuleta hujuma na kuibeba Yanga

Mwana FA, huyu ni naibu waziri wa michezo na m Wanachama wa Simba pamoja na yote hajawahi kutoa kauli ya kipumbavu dhidi ya Yanga na anaheshimika vyema

Albert Chalamila Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam huyu ni Yanga na timu zote zinatokea mkoa wake haijawahi kutoa kauli ya kipumbavu Kwa Simba, na wanasimba wanamheshimunpamoja na kujua kama yeye ni Yanga

Jerson Musigwa, karibu wa Wizara ya Michezo huyu ni Yanga ila anaheshimika na Simba Kwa kuwa ana busara

Tabora sio timu pekee ambayo Yanga amecheza
Yanga amecheza na Namungo Lindi,
Yanga amecheza na Fountain Gate Manyara
Yanga amecheza dhidi Singida Black Star Singada
Yanga amecheza na Coast union Tanga
Yanga amecheza na Kagere sugar Kagera
Yanga amechezana prison Mbeya
Yanga mecheza na Pamba Mwanza
Yanga amecheza na Mashujaa Kigoma

Mbona huku kote watendaji wa Yanga hawakugombana na wateule wa mheshimiwa Rais

Rais Samia tengua Chacha Tabora naamini una Stock ya watendaji wengine wenye hekima na busara
We bwege mkuu wa mkoa ni mtu mkubwa, yuko pale kwa niaba ya Rais, mlivyo hamna adabu mtakuja kumtukana ht Rais kisa ushabiki. Tabora ni mkoa wake kiutawala lazima mumheshimu. Katoto km Ally Kamwe ni wa kumtukana RC? Kwanza ht kiumri ni km babake, hii nchi mnataka kuipeleka wapi nyie vitoto vyenye laana? Utafikiri mmezaliwa jalalani. Umeandika matope nyambaf we
 
Back
Top Bottom