Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,590
- 6,957
Ukishawaelewa Watanzania unabaki tu kustaajabu kuwa kuna watu waoga na wanyonge kama hawa duniani tena ambao hawaishi misituni bali wana access na dunia inavyokwenda.
Aliyetupumbaza anahitaji kupewa Nobel Peace Prize maana labda ameepusha maafa mengi.
Hapa dawa ni kuandama tu sisi ni vijana wa kizazi kipya lazima tuchukue maamuzi,tukiachana na maswala ya vifurushi kuwa ghali kuna mahitaji mengine muhimu ya binadamu kama mafuta ya kula yamepanda mara bili zaidi ya hapo awali.maisha yamekuwa magumu sana tofauti na hapo awali na serikali ipo kimya tu. Nini maana ya kuwa kiongozi? Sisi wananchi tunateseka huku
Pia hili swala la facebook, instagram na WhatsApp aliangalia maana zina zima pasipo taarifaBandugu kwema?
Kama kichwa cha habari kinavosomeka apo juu, naomba mh Rais aingilie kati suala hili otherwise tutasusia ama kuandamana.
Wamepunguza MB gharama imebakia ileile ya mwanzo, maana yake nini kutukomoa ama ninii!!! Kana vipi na gharama za kununua vifurushi zipungue.
Hii siyo haki aisee, nimeruka mkojo nakanyaga maavi(nimehama Tigo sababu ya vifurushi kupanda bei na mtandao kukwamakwama, clips zinatake time kufunguka, nimehamia haloteli nako nikadhani kuna unafuu upande wa internet kama ilivyo apo mwanzo,,,aisee nimejiunga GB za kutosha bandugu, dakika chache and internet iko very very slow, inakwama, nilikuwa nacheki game ya Spain na Italy mwishoe nikaamua kughaili tu π‘
Halotel na mitandao yote Mungu anawaona. Nikisema nirudi Tigo nakutana na bei kubwa za vifurushi, dahh akili imesizi hapa.
MUHESHIMIWA RAIS INGILIA KATI SUALA HILI.
Mkuu, wewe hauoni kuna collusion? Haiwezekani makampuni yote yafanye jambo moja la hovyo kwa wakati mmoja kama hivi. Gharama zimeongezeka kuliko uhalisia wa maisha ya Watanzania (na hakuna sababu yoyote ya msingi ya ongezeko hili la gharama na kuwekwa vifurushi vya ajabu ajabu) na wanatunyima fursa ya kupashana na kupata habari.Pale biashara inapochukua mkondo wake mnakimbilia serikali kama watoto wadogo wanaokimbilia baba zao ili wapate huduma za bure?
Yaani makampuni ya simu yashushe bei kuwapa nyie huduma on their expense sababu kuna mwanadamu mwenye IQ ndogo kama wewe alieoko pale Magogoni kaamu kulazimisha?
Yaani wanadamu hii experience ya kutaka kulelewa kama wazazi sijui itaisha lini?
Be a man,lipia huduma zako unazotumia,hutaki,zima simu fanya mambo mengine.
Kazi ya serikali hapa sio kuamua bei za kuuza bidhaa za watu zisizowahusu,wao ni kuchunguza kama kuna crime yeyote ya collusion au crime to defraut customers na kuchukulia hatua watu na sio upumbavu wa kupangia watu wauze bidhaa zao eti kwa bei Samia alizoona yeye kwenye ubongo wake binafsi!
Sijui lini tutafika aisee...Kenya wanaendelea ila wapo hatua mbele kadhaa yetu
Useless nation,useless people who run to a human being like them to request them to steal from the companies and give them for free!
Na kama unashangilia hili,kuna siku the same government will come and confiscate your own wealth pia and distribute to others and for themselves pia kama viongozi....when that time comes,huna haki ya kulalamika!
What a stupid communism
Siyo upole! mkuu mm nadhani watz wengi ni waoga sanaaaa! Tunaogopa polisi balaaaπππWatanzania upore umepitiriza. Nchi zingine mbona wangeandamana
Siyo upole! mkuu mm nadhani watz wengi ni waoga sanaaaa! Tunaogopa polisi balaaaπππ
Karibu ttclBandugu kwema?