Mkabila,mkanda,mbaguzi, hao 84% nidyo wako chato kwenye uwanja wa ndege, mbuga ya wanyama ya kulazimisha kila kitu chato kweli ndiyo wapo hao watanzania 84% tutamkumbuka kama ndiyo rais wa hovyo kuwahi kutokea ktk nchi hiiNi sawa, hata mimi najua alikua mwamba kwa watanzania 84%.
Nyie 16% rais wenu yuko ubelgiji🙄🙄
kweli gap linaonekana maana tulipotea kweli kweli, mtu mkabila na mkanda mkubwa aligawa nchi yetu na ndiyo maana kuna mikoa walifanya sherehe kubwa sana kushurkuru, watu walipotea alikua kama yy ndiyo kila kituSSH amepokea kijiti toka kwa mwamba Mzee baba JPM aliyekua machine kweli kweli lazima gap lake lionekane.....
Atabaki kuwa shujaa na rais wa karne