Vipi ungependa awamininie risasi?Japokuwa inaweza kuwa ni kushukuru sababu umewashtukia mapema kabla hawajapata kuchafua hali ya usalama wa nchi.
Lakini Mama Samia tambua kabisa Chadema ni genge la wasaka njururu kupitia siasa.
Na kama ukilegeza zaidi yale yalimkuta Jakaya mpaka akina hayati Mwangosi na yule kijana machinga aliyefariki Morogoro yatatokea.
Kuwa kama Hayati Magufuli hakuna kucheka na watu wasio na nia njema na taifa letu.
Kidogo tu umelegeza wakafanya mikutano ya ndani na kijiziara cha kidijatari. Tayari wanataka kukutia vidole machoni ili wakujaribu.
My take; Tusikubali kupelekwa na wanasiasa waganga njaa ambao hawana lolote mkichwa.
Watu wanadai katiba mpya,watu wanaadai utwala wa sheria na kufuata katiba.Vitisho vya nini?
Taratibu tutamuelewa Tundu Lissu,Raisi Samia alikuwa namba 2 wa Magufuli na hawezi akayatupa yote kuna machache atachukua na mojawapo ni hili la kuanza kutumia vitisho!!