Siasa ndio zimetuleta hapa huwezi kuukimbia ukweli. Hata jukwaa hili ni la siasa na ndio maisha yetu . Siasa safi huleta maisha nafuu, siasa mbovu hule TOZO na Dhiki.Wewe upo kisiasa mimi siko huko. Mama kasema ukweli, nchi yetu itajengwa na sisi wenyewe, watoto wetu tumewazaa wenyewe na tutawasomesha sisi wenyewe. Hiyo ya kutegemea mfadhili nao ulikuwa upumbavu tu kama upumbavu mwingine, na pia ni laana kuishi kwa kudra za watu wengine.
Aiseeh![emoji24][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1921005
Mnachekeshaga mashabiki wa vyama vya siasa!Siasa ndio zimetuleta hapa huwezi kuukimbia ukweli. Hata jukwaa hili ni la siasa na ndio maisha yetu . Siasa safi huleta maisha nafuu, siasa mbovu hule TOZO na Dhiki.
TOZO ni UFISADI na Haramu. Wananchi kwa nini waumizwe.
Miaka 60 Nchi inaongozwa na GENGE la CCM ikiwa na Raslimali chungu mzima, ziko wapi, wameiba kina Magufuli raslimali zote.
Sasa tunaumiza wananchi mnawaita wanyonge na mnawataka wawe wazalendo. Huku watawala toka enzi za Mkapa , Kikwete na Magufuli wakifanya wizi wa raslimali. na Samia sasa anaona aumize tu wanyonge.
CCM imepoteza uhalali wa kuongoza Nchi. Anachofanya Samia na WAHUNI wenzie ni UGAIDI.
wakati anatoka madarakani kikwete kulikua na uhaba wa pesa pia je, nae alikua na sera mbaya za kiuchumi?Namwonea huruma Rais Samia. Namwunga mkono katika mengi. Aliponikwaza ni kwenye kesi ya kumbambikia Mbowe. Lakini najua siyo maagizo yake.
Naelewa shida kubwa ya upungufu mkubwa wa fedha aliokutana nao kutokana na sera mbaya za uchumi alizokuwa amezianzisha marehemu.
Rais Samia hana namna, la sivyo mambo mengi yatasimama. Wakati tukiendelea kutozana ili kuokoa jahazi, juhudi kubwa zielekezwe kwenye kubadilisha sera na sheria ili zivutie na kuimarisha uwekezaji.
Swali fikirishi je tozo za simu kitakuwa chanzo cha uhakikka cha ingizo la fedhaRais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi eneo la Tegeta Mkoani Dar es Salaam amesema Tozo zitaendelea kuwepo na hataki kuficha hilo
Amesema, "Tuliweka tozo kwenye mambo ya fedha za mitandao, yamepigiwa kelele sana, nimesikia. Nimekaa na Wataalamu tumepunguza 30%. Miezi miwili tuliyoanza nayo tumekusanya kama Bilioni 60 na zimepelekwa kujenga Vituo 220 vya Afya"
Ameongeza, "Januari tuna wimbi kubwa la Watoto wanataka kuingia Sekondari, lakini wapya wanaoingia Darasa la Kwanza. Hakuna wa kutujengea ni sisi wenyewe. Fedha zitakazokusanywa Septemba na Oktoba zitaenda kujenga madarasa zaidi ya 500"
Ngoja nimtafute Bashe au Slaa niwaulizeYeye mshahara wake unakatwa kodi?
iRais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi eneo la Tegeta Mkoani Dar es Salaam amesema Tozo zitaendelea kuwepo na hataki kuficha hilo
Amesema, "Tuliweka tozo kwenye mambo ya fedha za mitandao, yamepigiwa kelele sana, nimesikia. Nimekaa na Wataalamu tumepunguza 30%. Miezi miwili tuliyoanza nayo tumekusanya kama Bilioni 60 na zimepelekwa kujenga Vituo 220 vya Afya"
Ameongeza, "Januari tuna wimbi kubwa la Watoto wanataka kuingia Sekondari, lakini wapya wanaoingia Darasa la Kwanza. Hakuna wa kutujengea ni sisi wenyewe. Fedha zitakazokusanywa Septemba na Oktoba zitaenda kujenga madarasa zaidi ya 500"
Tunaomba vunja baraza la mawaziri na kumteu waziri mmzoefu wa fedhaRais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi eneo la Tegeta Mkoani Dar es Salaam amesema Tozo zitaendelea kuwepo na hataki kuficha hilo
Amesema, "Tuliweka tozo kwenye mambo ya fedha za mitandao, yamepigiwa kelele sana, nimesikia. Nimekaa na Wataalamu tumepunguza 30%. Miezi miwili tuliyoanza nayo tumekusanya kama Bilioni 60 na zimepelekwa kujenga Vituo 220 vya Afya"
Ameongeza, "Januari tuna wimbi kubwa la Watoto wanataka kuingia Sekondari, lakini wapya wanaoingia Darasa la Kwanza. Hakuna wa kutujengea ni sisi wenyewe. Fedha zitakazokusanywa Septemba na Oktoba zitaenda kujenga madarasa zaidi ya 500"
Punguzo la TOZO linaanza kutumika lini mbona bado hazijapungua??Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi eneo la Tegeta Mkoani Dar es Salaam amesema Tozo zitaendelea kuwepo na hataki kuficha hilo
Amesema, "Tuliweka tozo kwenye mambo ya fedha za mitandao, yamepigiwa kelele sana, nimesikia. Nimekaa na Wataalamu tumepunguza 30%. Miezi miwili tuliyoanza nayo tumekusanya kama Bilioni 60 na zimepelekwa kujenga Vituo 220 vya Afya"
Ameongeza, "Januari tuna wimbi kubwa la Watoto wanataka kuingia Sekondari, lakini wapya wanaoingia Darasa la Kwanza. Hakuna wa kutujengea ni sisi wenyewe. Fedha zitakazokusanywa Septemba na Oktoba zitaenda kujenga madarasa zaidi ya 500"
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi eneo la Tegeta Mkoani Dar es Salaam amesema Tozo zitaendelea kuwepo na hataki kuficha hilo
Amesema, "Tuliweka tozo kwenye mambo ya fedha za mitandao, yamepigiwa kelele sana, nimesikia. Nimekaa na Wataalamu tumepunguza 30%. Miezi miwili tuliyoanza nayo tumekusanya kama Bilioni 60 na zimepelekwa kujenga Vituo 220 vya Afya"
Ameongeza, "Januari tuna wimbi kubwa la Watoto wanataka kuingia Sekondari, lakini wapya wanaoingia Darasa la Kwanza. Hakuna wa kutujengea ni sisi wenyewe. Fedha zitakazokusanywa Septemba na Oktoba zitaenda kujenga madarasa zaidi ya 500"
Ile ilikuwa geresha tu! Akienda Congo atumie ndege ya rais.Bado hajaenda Congo?
Kikwete alipoingia alikuta hazina ina akiba ya $5 bilioni. Huyu amekuta account ikiwa na zero balalnce.wakati anatoka madarakani kikwete kulikua na uhaba wa pesa pia je, nae alikua na sera mbaya za kiuchumi?
hili taifa linaumwa kuanzia viongozi hadi wanananchi
Safi Sana napenda Rais mkweli mda wa propaganda wakati pesa inatakiwa ulienda na Mwendazake.Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi eneo la Tegeta Mkoani Dar es Salaam amesema Tozo zitaendelea kuwepo na hataki kuficha hilo