Watatimuliwa tuu kwani itakuwa mara ya kwanza? Nguvu gani ambayo huwa unaziona wewe tuu?Njooni na utatuzi wa kudumu ikiwa mnaona machinga hawachangii pato la taifa. Sio hizo ngonjera za majukwaani. Ukitaka kuona nguvu ya machinga, watimueni. Mimi nasubiri kuona hizo siku saba mlizotoa.
..... kwa bahati mbaya wewe hauko kwenye hiyo nafasi. Hiyo ngekewa ilimuangukia yeye na hayo ndio madhaifu yake.Ni vyema Rais Samia wakati wa kutoa maelekezo yake awe anakuwa wazi nini hasa anataka na atoe kauli zenye nguvu ili ujumbe ufike kwa nguvu pia kwa wahusika wote wa pande mbili.
Leo wakati anatoa hotuba yake mara baada ya kuwaapisha Mawaziri na Mwanasheria mkuu wa Serikali alitoa neno kuhusu hili saga la Wamachinga linaloendelea.
Ameonesha hafurahishwi na biashara hiyo inavyofanyika kiholela na inavyovuruga biashara zinazolipa kodi. Lakini aka sugar-coat maneno yake na sijajua ni intentionally au accidentally..Mhe.Rais amesema wapangwe na nguvu isitumike,watolewe kwa amani.
Kitu ambacho hakiwezekani kirahisi hivyo kwa hawa watu na pia kauli hiyo inawapa watekelezaji wakati mgumu na pia kauli hii haiwaandani Wamachinga kutoka sehemu hizo kwa haraka kwa kuhofia matumizi ya nguvu.
Mimi naona ilibidi aseme yafuatayo;
✓ Biashara holela ni marufuku nchini. Watu watafanya biashara kwenye maeneo rasmi tu.
✓ Walioko maeneo yasiyo rasmi kama vile kwenye road reserves,mbele ya fremu za biashara za watu wengine hawaruhusiwi kuendelea na biashara maeneo hayo.
✓ Maafisa wa mipango Miji na Majiji wataelekeza ni maeneo gani rasmi ya kufanya biashara na atakaye kaidi "NGUVU" zaidi itatumika..deadline iwekwe watu wajiandae kuhama.
======
Kauli yake ya leo bado itawapa watekelezaji wakati mgumu..Wamachinga hawa hawataondoka maeneo hayo bila nguvu kubwa kutumika kwa watakaokaidi.
Well said na huo ndio ukweli, hizi kauli za nataka sitaki na kukwepa lawama na kuwatetea watendaji kwamba "hoi mimi sikusema hivyo"!!! HazifaiNi vyema Rais Samia wakati wa kutoa maelekezo yake awe anakuwa wazi nini hasa anataka na atoe kauli zenye nguvu ili ujumbe ufike kwa nguvu pia kwa wahusika wote wa pande mbili.
Leo wakati anatoa hotuba yake mara baada ya kuwaapisha Mawaziri na Mwanasheria mkuu wa Serikali alitoa neno kuhusu hili saga la Wamachinga linaloendelea.
Ameonesha hafurahishwi na biashara hiyo inavyofanyika kiholela na inavyovuruga biashara zinazolipa kodi. Lakini aka sugar-coat maneno yake na sijajua ni intentionally au accidentally..Mhe.Rais amesema wapangwe na nguvu isitumike,watolewe kwa amani.
Kitu ambacho hakiwezekani kirahisi hivyo kwa hawa watu na pia kauli hiyo inawapa watekelezaji wakati mgumu na pia kauli hii haiwaandani Wamachinga kutoka sehemu hizo kwa haraka kwa kuhofia matumizi ya nguvu.
Mimi naona ilibidi aseme yafuatayo;
✓ Biashara holela ni marufuku nchini. Watu watafanya biashara kwenye maeneo rasmi tu.
✓ Walioko maeneo yasiyo rasmi kama vile kwenye road reserves,mbele ya fremu za biashara za watu wengine hawaruhusiwi kuendelea na biashara maeneo hayo.
✓ Maafisa wa mipango Miji na Majiji wataelekeza ni maeneo gani rasmi ya kufanya biashara na atakaye kaidi "NGUVU" zaidi itatumika..deadline iwekwe watu wajiandae kuhama.
======
Kauli yake ya leo bado itawapa watekelezaji wakati mgumu..Wamachinga hawa hawataondoka maeneo hayo bila nguvu kubwa kutumika kwa watakaokaidi.
Hao unaowasema waliongoza kwa kufuata misingi ya sheria na katiba ya nchi au waliongoza kwa utashi na hisia binafsi.Ukishaweka utashi binafsi kwenye uongozi badala ya sheria na taratibu zilizoko lazima mambo yaende ndivyo sivyo.Mi naon huyu mtengeneza filamu yetu ya kitalii amalize aondoke aseee asijejikuta anagundua kivutio kingine cha utalii ambacho ni kiumbe cha pekee dunia chenye mwili kama wa binadam kinachopatikana tanzani ambacho kinaitwa MTANZANIA. Kwani ndio binadam wa kwanza asiejua hata yeye anataka nini☻
Alikiwepo mwenye msimamo na asie na huruma hatukumuelewa
Amekuja mwenye huruma na matumzi ya lugha nyepesi napo hatumuelewi
Aseee
Wewe unadhani ajui kuhusu hizo kauli zake ? Hiyo ndiyo mafisadi walio kubuu wanavyo fanya awatoi kauli madhubuti sababu wao wenyewe ni wanafiki wanaogopa kujifunga kwa kauli zao maana mafisadi siku zote awapendi kujibana kwa maneno ya vinywa vyao wewe ukujifunza kwa kikwete ambaye ndiyo kielelezo cha ufisadi hapa tanzaniaNi vyema Rais Samia wakati wa kutoa maelekezo yake awe anakuwa wazi nini hasa anataka na atoe kauli zenye nguvu ili ujumbe ufike kwa nguvu pia kwa wahusika wote wa pande mbili.
Leo wakati anatoa hotuba yake mara baada ya kuwaapisha Mawaziri na Mwanasheria mkuu wa Serikali alitoa neno kuhusu hili saga la Wamachinga linaloendelea.
Ameonesha hafurahishwi na biashara hiyo inavyofanyika kiholela na inavyovuruga biashara zinazolipa kodi. Lakini aka sugar-coat maneno yake na sijajua ni intentionally au accidentally..Mhe.Rais amesema wapangwe na nguvu isitumike,watolewe kwa amani.
Kitu ambacho hakiwezekani kirahisi hivyo kwa hawa watu na pia kauli hiyo inawapa watekelezaji wakati mgumu na pia kauli hii haiwaandani Wamachinga kutoka sehemu hizo kwa haraka kwa kuhofia matumizi ya nguvu.
Mimi naona ilibidi aseme yafuatayo;
✓ Biashara holela ni marufuku nchini. Watu watafanya biashara kwenye maeneo rasmi tu.
✓ Walioko maeneo yasiyo rasmi kama vile kwenye road reserves,mbele ya fremu za biashara za watu wengine hawaruhusiwi kuendelea na biashara maeneo hayo.
✓ Maafisa wa mipango Miji na Majiji wataelekeza ni maeneo gani rasmi ya kufanya biashara na atakaye kaidi "NGUVU" zaidi itatumika..deadline iwekwe watu wajiandae kuhama.
======
Kauli yake ya leo bado itawapa watekelezaji wakati mgumu..Wamachinga hawa hawataondoka maeneo hayo bila nguvu kubwa kutumika kwa watakaokaidi.
Ujui tabia za mafisadi ,tabia moja ya fisadi ni kutoeleweka hiyo ndiyo tofauti ya wazarendo na mafisadihahahah Mkuu pole leo kama Machinga wangetolewa nilikuwa nakuletea zawadi pale Azam .. pole kwa kukosa zawadi.
Kwenye hili la machinga wewe unasema hivyo kwakuwa huna la kupoteza kabisa, huna ndugu machinga wala hawakugusi wala kukunufaisha kwa lolote.
Kwa Samia yeye swala la machinga linamgusa sana na litamgusa kwa kila njia ambayo itatumika maana itakuwa na matokeo moja kwa moja kwake kuliko yeyote yule.
Rais Samia ujamuelewa kwakuwa wewe unataka aseme moja kwa moja kuwa hataki kuwaona kwenye hayo maeneo kitu ambacho hakiwezekani kabisa.
Rais Samia anajaribu kutaka kuonekana mwema na kila mtu ndio maana umeshindwa kumuelewa lakini kwa kauli yake iko wazi kuwa hawataki wamachinga uko mtaani na ameeleza wazi lakini anajificha ficha kwakuwa anaogopa kuonekana mbaya.
Rais anatakiwa kuwa na msimamo wa wazi kwenye kila jambo sio kukaa katikati kama anavyofanya Rais Samia.
wewe siyo Samia na wla Samia si weweNi vyema Rais Samia wakati wa kutoa maelekezo yake awe anakuwa wazi nini hasa anataka na atoe kauli zenye nguvu ili ujumbe ufike kwa nguvu pia kwa wahusika wote wa pande mbili.
Leo wakati anatoa hotuba yake mara baada ya kuwaapisha Mawaziri na Mwanasheria mkuu wa Serikali alitoa neno kuhusu hili saga la Wamachinga linaloendelea.
Ameonesha hafurahishwi na biashara hiyo inavyofanyika kiholela na inavyovuruga biashara zinazolipa kodi. Lakini aka sugar-coat maneno yake na sijajua ni intentionally au accidentally..Mhe.Rais amesema wapangwe na nguvu isitumike,watolewe kwa amani.
Kitu ambacho hakiwezekani kirahisi hivyo kwa hawa watu na pia kauli hiyo inawapa watekelezaji wakati mgumu na pia kauli hii haiwaandani Wamachinga kutoka sehemu hizo kwa haraka kwa kuhofia matumizi ya nguvu.
Mimi naona ilibidi aseme yafuatayo;
✓ Biashara holela ni marufuku nchini. Watu watafanya biashara kwenye maeneo rasmi tu.
✓ Walioko maeneo yasiyo rasmi kama vile kwenye road reserves,mbele ya fremu za biashara za watu wengine hawaruhusiwi kuendelea na biashara maeneo hayo.
✓ Maafisa wa mipango Miji na Majiji wataelekeza ni maeneo gani rasmi ya kufanya biashara na atakaye kaidi "NGUVU" zaidi itatumika..deadline iwekwe watu wajiandae kuhama.
======
Kauli yake ya leo bado itawapa watekelezaji wakati mgumu..Wamachinga hawa hawataondoka maeneo hayo bila nguvu kubwa kutumika kwa watakaokaidi.
Ni vyema Rais Samia wakati wa kutoa maelekezo yake awe anakuwa wazi nini hasa anataka na atoe kauli zenye nguvu ili ujumbe ufike kwa nguvu pia kwa wahusika wote wa pande mbili.
Leo wakati anatoa hotuba yake mara baada ya kuwaapisha Mawaziri na Mwanasheria mkuu wa Serikali alitoa neno kuhusu hili saga la Wamachinga linaloendelea.
Ameonesha hafurahishwi na biashara hiyo inavyofanyika kiholela na inavyovuruga biashara zinazolipa kodi. Lakini aka sugar-coat maneno yake na sijajua ni intentionally au accidentally..Mhe.Rais amesema wapangwe na nguvu isitumike,watolewe kwa amani.
Kitu ambacho hakiwezekani kirahisi hivyo kwa hawa watu na pia kauli hiyo inawapa watekelezaji wakati mgumu na pia kauli hii haiwaandani Wamachinga kutoka sehemu hizo kwa haraka kwa kuhofia matumizi ya nguvu.
Mimi naona ilibidi aseme yafuatayo;
✓ Biashara holela ni marufuku nchini. Watu watafanya biashara kwenye maeneo rasmi tu.
✓ Walioko maeneo yasiyo rasmi kama vile kwenye road reserves,mbele ya fremu za biashara za watu wengine hawaruhusiwi kuendelea na biashara maeneo hayo.
✓ Maafisa wa mipango Miji na Majiji wataelekeza ni maeneo gani rasmi ya kufanya biashara na atakaye kaidi "NGUVU" zaidi itatumika..deadline iwekwe watu wajiandae kuhama.
======
Kauli yake ya leo bado itawapa watekelezaji wakati mgumu..Wamachinga hawa hawataondoka maeneo hayo bila nguvu kubwa kutumika kwa watakaokaidi.
Tangu lini ccm wanategemea kura zilizopigwa na wananchi?!!tena wamachinga?!!unatania weweUnadhani yeye na chama chake hawapendi kura za machinga? Lazima waache kauli zinaelea hewani ili kesho likibuma wapate upenyo wa kutokea.
Jamaa anahisi mbinu ni kusubiria kura za wamachinga😅!!! CCM ina mbinu nyingi mbadala ndio maana still iko madarakaniTangu lini ccm wanategemea kura zilizopigwa na wananchi?!!tena wamachinga?!!unatania wewe