Richard spencer
JF-Expert Member
- Feb 22, 2021
- 1,183
- 1,889
Sio afoke bali atoe maagizo yanayoeleweka. Kama sisi huku bado hatujamuelewa hao watendaji watatekeleza nini? Anasema "wamachinga wapangwe vyema" jiulize kuwapanga vyema ndio vipi wakati wanamaeneo rasmi tayari, ni ama atoe amri ya kuwaondoa au awaache sio kutoa maagizo yasiyoeleweka.Mnataka afoke foke kama yule kichaa aliyekuwa mtaani kwenu.