Hivi kweli mlitegemea nini zaidi kutoka kwa Samia? Mtu unavuna ulichopanda. Huyu siyo mtu wa kufanya research na sidhani hata kama huwa ana tabia ya kujisomea mambo muhimu. Huyu ni wale watu wanakesha kusoma Mange kaposti nini au Diamond kalala na nani! Samahani sana lakini ndiyo ukweli wenyewe. Na mbaya zaidi siku hizi wasaidizi wa rais huchukuliwa wenye vilaza wa ndiyo yes ndiyo.... wanaogopa kuchukuwa watu wenye akili.