Ng'wale
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 4,688
- 3,395
Nadhani kwa sababu ya mahaba ya CCM na JPM na huyo Sabaya, hukuchukua muda kuyajua mabaya ya Sabaya. Tulia uyajue vizuri utaona ni haki kwa Sabaya kuonja mkono wa sheria kwa mafunzo kwa wengine. Mama Samia ni mama, hadi ameamuru sheria ichukue mkondo, kuna makubwa anayo juu ya huyu mtu wenu.Inawezekana Kuna makosa aliyafanya akiwa ofisini sawa lakini naona Kama Kuna visasi vinalipwa dhidi yake.kwa sababu tukifuatilia kwa umakini kwenye hii nchi hakuna mwenye madaraja ambae hayatumii vibaya Ila tunaishi kwa kuvumiliana na busara tu.