Rais Samia Suluhu tumsamehe Sabaya, inatosha

Umetufanyia mengi tutakukumbuka sana sisi tuliodhulumiwa na kupolwa haki zetu hakika ulisimama nasi
Biashara za ma gendo zilizo dhulum watu
Huku kwetu mkulugenzi na dc wake wanashilikiana kukwepa majukum ww uliweza kumuwajibisha hata mkulugenzi wako! ukatatua migogoro sugu kama ya ardhi na mengineyo ama hakika aliye kuweka hapo alikufahamu fika
Mimi nakufananisha na nabii yesu yaliyo kupata ni sawa kabisa na yaliyo mpata yesu ushupavu wako msimamo wko ujasili wako ndio unao kughalim leo sabaya hukumuonea mtu isipokuwa alitenda kosa
Leo wasio haki wameungana dhidi yako wameishi kukuzushia sasa wamefanikisha adhima yao
Sasa sijui ni viongozi gani tuwatakao sisi
Viongoziwatakao tuvusha sisi
nihawa wanasiasa wanafiki wenye uongo na maneno ya kutudanganyia kila wakati!
Kama mungu anatupa watu wenye nia udhalendo ushupavu wa kusimamia haki na sheria tunataka nini sisi!
Sabaya mungu atakulipia DUA ZETU ZIKAWE MBELE YAKO AMIIN
Kmmk
 
Hakuna mtu wa Hai ambae tofauti ya R na L , kuporwa aseme kupolwa....big No kajipange. Ukora wenu sasa basi
 
Umetufanyia mengi tutakukumbuka sana sisi tuliodhulumiwa na kupolwa haki zetu hakika ulisimama nasi
Biashara za ma gendo zilizo dhulum watu
Huku kwetu mkulugenzi na dc wake wanashilikiana kukwepa majukum ww uliweza kumuwajibisha hata mkulugenzi wako! ukatatua migogoro sugu kama ya ardhi na mengineyo ama hakika aliye kuweka hapo alikufahamu fika
Mimi nakufananisha na nabii yesu yaliyo kupata ni sawa kabisa na yaliyo mpata yesu ushupavu wako msimamo wko ujasili wako ndio unao kughalim leo sabaya hukumuonea mtu isipokuwa alitenda kosa
Leo wasio haki wameungana dhidi yako wameishi kukuzushia sasa wamefanikisha adhima yao
Sasa sijui ni viongozi gani tuwatakao sisi
Viongoziwatakao tuvusha sisi
nihawa wanasiasa wanafiki wenye uongo na maneno ya kutudanganyia kila wakati!
Kama mungu anatupa watu wenye nia udhalendo ushupavu wa kusimamia haki na sheria tunataka nini sisi!
Sabaya mungu atakulipia DUA ZETU ZIKAWE MBELE YAKO AMIIN
Nyie wake zake sabaya tulieni bwana wenu anyolewe kwa chupa
 
Ubakaji ulawiti ukatili ndio utumishi?
Mshahara wa dhambi ni........
Mungu mnamtwika mizito asiyostahili
Mungu wa Kweli ndiye Huyu
Amekuja na hasira kali
dc Anavuna alichopanda
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Tuondolee upumbavu wako hapa!!! 😫😫😫😫
Umetufanyia mengi tutakukumbuka sana sisi tuliodhulumiwa na kupolwa haki zetu hakika ulisimama nasi
Biashara za ma gendo zilizo dhulum watu
Huku kwetu mkulugenzi na dc wake wanashilikiana kukwepa majukum ww uliweza kumuwajibisha hata mkulugenzi wako! ukatatua migogoro sugu kama ya ardhi na mengineyo ama hakika aliye kuweka hapo alikufahamu fika
Mimi nakufananisha na nabii yesu yaliyo kupata ni sawa kabisa na yaliyo mpata yesu ushupavu wako msimamo wko ujasili wako ndio unao kughalim leo sabaya hukumuonea mtu isipokuwa alitenda kosa
Leo wasio haki wameungana dhidi yako wameishi kukuzushia sasa wamefanikisha adhima yao
Sasa sijui ni viongozi gani tuwatakao sisi
Viongoziwatakao tuvusha sisi
nihawa wanasiasa wanafiki wenye uongo na maneno ya kutudanganyia kila wakati!
Kama mungu anatupa watu wenye nia udhalendo ushupavu wa kusimamia haki na sheria tunataka nini sisi!
Sabaya mungu atakulipia DUA ZETU ZIKAWE MBELE YAKO AMIIN
 
Kwakuwa umeandika ' mungu ' katika ' Headline ' yako nakubaliana nawe, ila ungeandika ' Mungu ' hapo ' ningekushukia ' vibaya sana kwa Kumtetea Kwako huyo ' Gaidi Mwandamizi ' wa Maisha ya Watanzania huko Hai Mkoani Kilimanjaro na hata Arusha pia.

Huyu mungu anayetajwa hapa atakuwa Amadioha!
 
Umetufanyia mengi tutakukumbuka sana sisi tuliodhulumiwa na kupolwa haki zetu hakika ulisimama nasi
Biashara za ma gendo zilizo dhulum watu
Huku kwetu mkulugenzi na dc wake wanashilikiana kukwepa majukum ww uliweza kumuwajibisha hata mkulugenzi wako! ukatatua migogoro sugu kama ya ardhi na mengineyo ama hakika aliye kuweka hapo alikufahamu fika
Mimi nakufananisha na nabii yesu yaliyo kupata ni sawa kabisa na yaliyo mpata yesu ushupavu wako msimamo wko ujasili wako ndio unao kughalim leo sabaya hukumuonea mtu isipokuwa alitenda kosa
Leo wasio haki wameungana dhidi yako wameishi kukuzushia sasa wamefanikisha adhima yao
Sasa sijui ni viongozi gani tuwatakao sisi
Viongoziwatakao tuvusha sisi
nihawa wanasiasa wanafiki wenye uongo na maneno ya kutudanganyia kila wakati!
Kama mungu anatupa watu wenye nia udhalendo ushupavu wa kusimamia haki na sheria tunataka nini sisi!
Sabaya mungu atakulipia DUA ZETU ZIKAWE MBELE YAKO AMIIN
Sema nitakukumbuka. Usiseme tutakukumbuka. Jisemee nafsi yako wacha wengine wajisemee kivyao. Mimi natamani ahukumiwe na kulaaniwa kwa matendo yake ya kinyama.
 
Masumbwe ni House boy wa Sabaya,anahitaji nauli arudi kwao,asilete ungese hapa wa kumtetea huyo jambazi sugu aliyeumiza watu.

Masumbwe ukiuua kwa upaga nawe utauawa kwa upanga,yanayomtokea sabaya ni zao la alichokuwa anawatednea wanaamu wenzake akiamini mwendazake atadumu milele,leo mwendazake hayupo na moto anauona
 
Umetufanyia mengi tutakukumbuka sana sisi tuliodhulumiwa na kupolwa haki zetu hakika ulisimama nasi
Biashara za ma gendo zilizo dhulum watu
Huku kwetu mkulugenzi na dc wake wanashilikiana kukwepa majukum ww uliweza kumuwajibisha hata mkulugenzi wako! ukatatua migogoro sugu kama ya ardhi na mengineyo ama hakika aliye kuweka hapo alikufahamu fika
Mimi nakufananisha na nabii yesu yaliyo kupata ni sawa kabisa na yaliyo mpata yesu ushupavu wako msimamo wko ujasili wako ndio unao kughalim leo sabaya hukumuonea mtu isipokuwa alitenda kosa
Leo wasio haki wameungana dhidi yako wameishi kukuzushia sasa wamefanikisha adhima yao
Sasa sijui ni viongozi gani tuwatakao sisi
Viongoziwatakao tuvusha sisi
nihawa wanasiasa wanafiki wenye uongo na maneno ya kutudanganyia kila wakati!
Kama mungu anatupa watu wenye nia udhalendo ushupavu wa kusimamia haki na sheria tunataka nini sisi!
Sabaya mungu atakulipia DUA ZETU ZIKAWE MBELE YAKO AMIIN
Ona hili bwabwa mchelemchele lilivyoandika uharo! Na bado utammiss pale atakapolambwa miaka 30 ya kuanzia Kisha kunyongwa kwa mauaji ya yule binti aliyembaka na kumtupa porini ndio ummiss vizuri!
Nyumba ndogo unateseka ukiwa gesti gani mliyokuwa mnakutana?
Amteteaye mwenye dhambi naye ni mkosefu! Unahitaji Toba Tena ya kufungwa siku 40.
 
Umetufanyia mengi tutakukumbuka sana sisi tuliodhulumiwa na kupolwa haki zetu hakika ulisimama nasi
Biashara za ma gendo zilizo dhulum watu
Huku kwetu mkulugenzi na dc wake wanashilikiana kukwepa majukum ww uliweza kumuwajibisha hata mkulugenzi wako! ukatatua migogoro sugu kama ya ardhi na mengineyo ama hakika aliye kuweka hapo alikufahamu fika
Mimi nakufananisha na nabii yesu yaliyo kupata ni sawa kabisa na yaliyo mpata yesu ushupavu wako msimamo wko ujasili wako ndio unao kughalim leo sabaya hukumuonea mtu isipokuwa alitenda kosa
Leo wasio haki wameungana dhidi yako wameishi kukuzushia sasa wamefanikisha adhima yao
Sasa sijui ni viongozi gani tuwatakao sisi
Viongoziwatakao tuvusha sisi
nihawa wanasiasa wanafiki wenye uongo na maneno ya kutudanganyia kila wakati!
Kama mungu anatupa watu wenye nia udhalendo ushupavu wa kusimamia haki na sheria tunataka nini sisi!
Sabaya mungu atakulipia DUA ZETU ZIKAWE MBELE YAKO AMIIN
kwani majambazi tuokaa nao mtaani na wachawi huwa hawa jitolei,mfano misiba,kusaidia,michango.
leo jf mmejazana kikundi cha wafu kumtetea mtu ambaye sijui hata hayo maeneo mlikuwepo
 
Luka 22:54-71 BHND​

Mtumishi mmoja wa kike alipomwona Petro ameketi karibu na moto, akamkodolea macho, akasema, “Mtu huyu pia alikuwa pamoja na Yesu.” Lakini Petro akakana akisema, “Wee! Simjui mimi.” Baadaye kidogo, mtu mwingine akamwona Petro, akasema, “Wewe ni mmoja wao.” Lakini Petro akajibu “Bwana wee; si mimi!” Kama saa moja baadaye, mtu mwingine akasisitiza, “Hakika huyu alikuwa pamoja naye; ametoka Galilaya ati.” Lakini Petro akasema, “Bwana wee; sijui hata unachosema!”
Huyu bwana watakuwa genge moja na Sabaya
 
Rais wangu, maelezo haya hayakusudii kukushawishi kuharibu utawala wa sheria wala kuingilia shughuli za Mahakama. Hayakusudii kukwamisha uchunguzi uliobakia, unaondelea isipokuwa kuweka kumbukumbu za matendo MEMA machache ya watu waovu. Biblia inasema; Mtume Paulo alikua jambazi, haramia na muuaji mkubwa lakini baada ya kujaribiwa akalishika neno na kutubu kisha aligeuka mhubiri aliyezunguka kila kona ya Macedoni kuhubiri neno la Mungu. Kupitia kwa mtu mbaya, muovu, muuaji na haramia watu wa Mungu wengi waliokoka, Dunia ikapata nafuu. Tumpatie Sabaya nafasi ye kutubu, arudishe chenye kustahili kisha ahubiri matendo mema katika nchi.

Rais wangu, ninakiri kwamba nilishiriki kumshtaki Sabaya kwako kwa sababu matendo yake yalivuka mipaka na hakunisikiliza kila nilipomshauri. Rafiki yangu mmoja amenishauri, "Menuka usiandike chochote kumtetea Sabaya watu watakuona 'kigeugeu' ila tumuombee". Mtihani huu umenishinda, nimekumbuka habari za Yesu alipowaombea msamaha watesi wake, "Baba wasamehe kwa kuwa hawajui walitendalo", nikakumbuka tena maneno niliyofundishwa katika imani yangu "samehe 7×70" nikaona ninayo nafasi ya kumuombea msamaha Sabaya. Nimeamua kuandika, ukimya katika wakati wenye kuhitaji sauti ni dhambi kubwa.

Sabaya alitenda makosa, pengine makubwa lakini ni nani kati yetu mwenye kujihesabia haki? Ni nani kati yetu aliye mkamilifu? Bila shaka hakuna hata mmoja. Sisi sote ni wenye mapungufu, wengi tulihitaji Sabaya aadhibiwe kwa kufutwa kazi ili ajifunze lakini adhabu hii imekua kubwa mno kwake. Kila nikifikiria namna uchunguzi wa makosa yake ulivyokua wa haraka kuliko hata Mkurugenzi wa TPA, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Buhigwe, Sengerema na Temeke waliomtangulia kusimamishwa kazi kwa makosa kama yake, ninaingiwa na wasiwasi kidogo!! Hofu yangu tusije kutumia makosa yake kulipa kisasi. Sabaya alistahili adhabu lakini hii ni kubwa mno, itawaumiza wengi.

Rais wangu, ninazo sababu MBILI kubwa za kuomba tumpunguzie adhabu Sabaya;

1. Kesi ya Sabaya imegeuzwa kuwa kesi ya JPM.

Niseme ukweli wa Mungu, hii ndio sababu kubwa imenifanya nijiingize katika jambo hili. Hii ndio sababu kubwa imenisukuna niandike ushauri wangu huu. Kwangu jambo lolote lenye kuingizwa JPM kwa namna ya kumdhalilisha na kumdhihaki linaiacha bila choice yoyote zaidi ya kumtetea. Nimekusudia kuwa mtetezi wa JPM katika maisha yangu yote kwa sababu yeye hana ulimi huo tena, hawezi kujitetea kwa lolote. Ninamtetea sasa kwa sababu wakati wa uhai wake katika madaraka nilimsema, nikamkosoa kwa lugha zote akanivumilia.

Watu wabaya wanatumia makosa ya Sabaya kumchafua JPM, kumdhihaki na kuumiza utu wake. Wanasema ndiye aliyemtuma kutenda makosa hayo, kwamba ndiye aliempa kibri nk. Kwangu hili ni kosa kubwa, JPM died for this country, amekufa kwa ajili ya Tanzania hapaswi kudhihakiwa kwa namna yoyote ile. Ukiwaondoa waliokufa vitani Uganda, mtu mwingine aliyekufa uwanja wa mapambano peke yake kwa ajili ya nchi hii ni JPM.

Huyu ametoa maisha yake kwa ajili ya Tanzania, tusipomheshimu na kuthamini mchango wake tutakosa watu wenye kujitoa kwa ajili ya nchi hii. HAPANA!! Makosa ya JPM wakati wa uhai wake yabaki kama udhaifu wa kibinadamu, kuendelea kuyatumia kama silaha ya kuumiza wengine ni kosa. Rais wangu, kama kosa la Sabaya litaendelea kutumiwa kuumiza heshima ya JPM, kudhihaki mchango wake katika nchi hii, kusema kweli wengi tutasimama na Sabaya ili kumtetea JPM. To me, JPM ni shujaa mwenye kuhitaji heshima ya mwisho juu katika nchi yetu. Ni kwa sababu hii naomba tumsamehe Sabaya ili tulinde taswira ya JPM inayofungamanishwa naye!!

2. Kesi ya Sabaya imegeuzwa kuwa KISASI chake kwa Ubunge wa Freeman Mbowe (Hai).

Rais wangu, Sabaya hakua Mbunge, hakuuchukua Ubunge wa Freeman Mbowe akaupeleka nyumbani kwake bali aliurudisha kwenye Chama chetu baada ya miaka mingi. Katika hilo CCM imenufaika kuliko yeye na kwa vyovyote vile haikubaliki kesi yake kugeuzwa kisasi kwake kwa Ubunge wa mtu mwingine. CCM inawajibika moja kwa moja kubeba dhamana hii. Vitabu vyetu vinasema jukumu namba moja la Mwanachama na Kiongozi wa CCM ni kuhakikisha CCM inashika dola.

Tulishakubaliana kwenye kushika dola CCM hatuna cha msamalia mtume. Sabaya alitimiza wajibu wake ilivyompasa, hapaswi kubebeshwa msalaba wote. Ni kweli katika kutenda hayo alifanya makosa kadhaa yenye kustahili adhabu lakini sio hii. Hii ni kubwa mno, kwa sababu hii hapaswi kuachiwa mzigo huu peke yake. Wenzetu wanaitumia vibaya kesi ya Sabaya kukiumiza Chama chetu, kwakweli; wenye Chama hatuwezi kukaa pembeni. Sabaya akifungwa Jela, akaumizwa vibaya Ubunge wa Hai utaonekana kuwa chanzo, hili ni kosa.

Rais wangu, Sabaya amekosa lakini mtoto akijisaidia kwenye kiganja cha mkono hatukati mkono, tunakosha na sabuni maisha yanaendelea. Ulipowaapisha Makatibu Tawala wa Mikoa, ulisema na umekua ukisema mara nyingi. Sheria inapaswa kusimamiwa kwa 70% wakati 30% zinahitaji busara na hekima. Tutumie hizo 30% kumaliza jambo hili, kosa la Sabaya limegeuzwa kuwa kosa la wengi.
Tusimame na wengi!!
MenukaJr,
Da'slama.
Sabaya asamehewe kwa sababu ya JPM na CCM!!?? johnthebaptist sweettablet Crimea magu2016 MSAGA SUMU jingalao Magonjwa Mtambuka
 
jambo hili limegubikwa na mambo mengi sana mchanganyiko, yapo ya kweli na pia yapo ya uongo, mengine yamezushwa kutokana na chuki binafsi n.k

Hata kwenye utawala wa makaburu waliwafanyia watu weusi mambo mengi ya ovyo na Mandela alipo kuw Rais alikuwa na uwezo wa kulipiza kwa yale yote aliyo fanyiwa yeye na watu wake lkn aliwasamehe makaburu wote.

Msamaha ni jambo la msingi sana kuliko hata sheria.

msamaha na maridhiano unaponya zaidi kuliko sheria.

sheria huzidisha visasi zaidi.
Hakuna msamaha ili iwe fundisho kwa wote wenye Tania za kishenzi wakipata madaraka
 
Sabaya alitenda makosa, pengine makubwa lakini ni nani kati yetu mwenye kujihesabia haki? Ni nani kati yetu aliye mkamilifu? Bila shaka hakuna hata mmoja. Sisi sote ni wenye mapungufu, wengi tulihitaji Sabaya aadhibiwe kwa kufutwa kazi ili ajifunze lakini adhabu hii imekua kubwa mno kwake. Kila nikifikiria namna uchunguzi wa makosa yake ulivyokua wa haraka kuliko hata Mkurugenzi wa TPA, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Buhigwe, Sengerema na Temeke waliomtangulia kusimamishwa kazi kwa makosa kama yake, ninaingiwa na wasiwasi kidogo!! Hofu yangu tusije kutumia makosa yake kulipa kisasi. Sabaya alistahili adhabu lakini hii ni kubwa mno, itawaumiza wengi.
Kama mawazo yako ndiyo haya, basi tufunge magereza maana hata waliomo tumewahukumu au siyo? Hata waliomo wana mapungufu kama sisi. Sabaya naye aende akaungane na waliomo huko magerezani
 
Alipokua analawiti na kuchukua wake za watu kwanguvu pamoja na kuchukua hela za watu kwa kisingizipo cha sherehe za miaka minne ya Jiwe alikua hajui kama ni makosa? amevuna alichopanda wala hastahili huruma na kupigiwa debe humu
 
Back
Top Bottom