Rais Samia Suluhu, matatizo waliyonayo Watanzania ni ajira kwanza na siyo nyongeza kwa watumishi wa umma ambao ni 0.6% ya Watanzania

Acha uongo wewe si mfuasi wa mama Samia, wewe ni mfuasi kindakindaki wa jiwe na umeibuka humu wakati wake hilo moja,

Pili, Kwanini timu jiwe hampendi wenzenu kupewa nyongeza ya mshahara? Hilo ni takwa la kisheria.

Ajira mpya isiwe mbadala wa wenzenu kuacha kuongezewa mshahara.

Mama afanye jitihada ya kufufua uchumi wa sekta binafsi maana ndio inaajiri watu wengi, wataobaki wataajiriwa serikali, watakaobaki watajiajiri kama uchumi utakua stimulated.
Ulichotakiwa kufanya ni ku-click jina langu, then angalia nimejiunga lini na post na replies zangu zilianza lini na zilihusu nini.
Kipindi Cha JK nilikuwa pamoja na JK, kipindi Cha JPM nilikuwa pamoja na JPM na kipindi hiki Cha mama nipo pamoja na Mama Samia
 
Ni roho mbaya na ujinga pale mtu ambaye hana kazi hataki mwenye kazi aongezewe mshahara... Watz tunatamaduni ya kusaidiana kifamilia au kirafiki... Ukiwa na ndugu au rafiki mwenye mshahara mdogo nan atamsaidia mwenzie
 
Me naona hao walioajiriwa nao ni ndugu zetu na watz wenzetu kwa hio wakiongezewa mishahara wanatusaidia hata sisi wa mtaani kujiajiri coz wanaeza kutukopesha au kutupa mtaji...
Hahahahahah mbongo akukopeshe tu kizembe!? 😂😂😂. Kuna jamaa wao wanaliaga ugumu tu toka enzi za Jakaya za kutapanywa mihela wao dah maisha magumu sana mdogo wangu,,,ila anabadili mipira kila siku hakupi hata sh.10
 
Ni roho mbaya na ujinga pale mtu ambaye hana kazi hataki mwenye kazi aongezewe mshahara... Watz tunatamaduni ya kusaidiana kifamilia au kirafiki... Ukiwa na ndugu au rafiki mwenye mshahara mdogo nan atamsaidia mwenzie
Unajua kawaida ya maisha yule ambaye yuko on an advantaged side huwa hamthaminigi ambaye yuko on a disadvantaged side! Tabia ni ile ile tu ya mtu anaeingiza 22M per months ila anaona mtu anaestruggle kupata hata milo miwili kwa siku anafaa kuendelea kuchangia hela ati kodi ya uzalendo kila siku!

Maisha yetu yamejawa na ubinafsi sana yani! Ila ungalikuwa uko kwenye msoto na unaona kabisa mambo hayaendi ungetamani hata upewe hata kazi yenye mshahara mdogo tu! Huna mtaji na unasimangwa hapo unapoishi full stressed na huna karama ya biashara au passion hio maana sio kila mtu anaweza biashara
 
Walioajiriwa wenye kudai nyongeza ya mshahara hawazidi laki sita lakini ukiwakuta JF wanavyotetea ugali wao utadhani wapo milioni 30!.
 
Mama Samia Mimi ni mfuasi wako mtiifu na naapa kukufuata na kukupigania kwa Hali yoyote, sutakubali nikiona ukitukanwa au kubagazwa.

Leo Kuna Jambo naliona linataka kufanywa Kama ni ajenda ya kitaifa huku uhalisia unakataa.

Swali la kujiuliza mama, je watumishi wa umma wapo wangapi? Ukweli mama watukishi wa umma wapo wachache Sana ni sawa na 0.6% ya Watanzania wote.

Ila kundi la ambao hawana ajira ni kubwa Sana kuliko idadi ya watumishi waliopo, hivyo ni Bora ukaliangalia Hilo kundi kuliko wale ambao hawana kabisa ajira.

Najua kazi ya serikali sio kuajiri kila Mtu, Ila Kama utaweza kuwaongezea Hawa waliopo basi ni Bora ukaacha na badala yake utumie hiyo nyongeza kuajiri wapya.

Ni bora kidogo kinachokwenda kwa wengi kuliko kingi kinachobaki kwa wachache.

Hesabu ndogo:
Watumishi wapo takribani laki 4,
Tuseme kila mtumishi ana wategemezi 10
400,000 × 10 = 4,000,000
Mil 4 ni sawa na 6.6% ya watanzania wote(mil 60), hivyo bado pamoja na kuweka wategemezi Kuna 93% ya Watanzania haiguswi na watumishi wa umma.

Hivyo mama Samia naomba uangalie hii asilimia kubwa ya watanzania ndio uanze nayo kushugulikia matatizo yao.

Asilimia kubwa ya watanzania wanategemea kilimo wapo 65% ya watanzania wote, hivyo:
  • Boresha kilimo kwa kupata pembejeo kwa Bei ya chini, wapate soko la nje la kutosha la mazao gao
  • Wapate miundombinu rafiki ya kusafirisha mazao gao
  • Wapate huduma ya uhakika ya maji na umeme, sehemu nyingi vijijini hakuna kabisa huduma ya Maji Safi na salama
Hilo kundi kubwa linahitahi uhakika wa matibabu wanapoumwa.

Mama Samia hili kundi kubwa la Watanzania halipo mitandaoni hivyo ni ngumu wao kuona wakilalamilia hayo mitandaoni badala yake kundi dogo kabisa ndio kila siku linalia na kuongezewa mshahara.
Acha ushamba watu wameajiriwa toka 2015 hakuna nyongeza then unaleta utopolo kijani
 
Jiwe mwenyewe hakutengeneza ajira. Mbona hukumwambia?
 
Hakuna nchu inayoweza kuahiri raia wake wote,tuache kampeni za kijinga
 
Acha roho mbaya bwana mdogo, utapata ugonjwa wa moyo bure...pole
 
Hilo kundi dogo unalolisema ndiyo walipa kodi wa uhakika, na ndiyo fedha zao za mafao zinatumika kwenye miradi mingi ya hovyo na isiyo ya hovyo.

Kaa chini upige hesabu zako ndiyo utaelewa. Chukua makusanyo yote ya kodi kwa nchi nzima kwa mwezi, na utoe matumizi. Jibu utakalolipata ndipo shida ilipo.
Watumishi wa serikali hawalipi kodi.
 
Mama Samia Mimi ni mfuasi wako mtiifu na naapa kukufuata na kukupigania kwa Hali yoyote, sutakubali nikiona ukitukanwa au kubagazwa.

Leo Kuna Jambo naliona linataka kufanywa Kama ni ajenda ya kitaifa huku uhalisia unakataa.

Swali la kujiuliza mama, je watumishi wa umma wapo wangapi? Ukweli mama watukishi wa umma wapo wachache Sana ni sawa na 0.6% ya Watanzania wote.

Ila kundi la ambao hawana ajira ni kubwa Sana kuliko idadi ya watumishi waliopo, hivyo ni Bora ukaliangalia Hilo kundi kuliko wale ambao hawana kabisa ajira.

Najua kazi ya serikali sio kuajiri kila Mtu, Ila Kama utaweza kuwaongezea Hawa waliopo basi ni Bora ukaacha na badala yake utumie hiyo nyongeza kuajiri wapya.

Ni bora kidogo kinachokwenda kwa wengi kuliko kingi kinachobaki kwa wachache.

Hesabu ndogo:
Watumishi wapo takribani laki 4,
Tuseme kila mtumishi ana wategemezi 10
400,000 × 10 = 4,000,000
Mil 4 ni sawa na 6.6% ya watanzania wote(mil 60), hivyo bado pamoja na kuweka wategemezi Kuna 93% ya Watanzania haiguswi na watumishi wa umma.

Hivyo mama Samia naomba uangalie hii asilimia kubwa ya watanzania ndio uanze nayo kushugulikia matatizo yao.

Asilimia kubwa ya watanzania wanategemea kilimo wapo 65% ya watanzania wote, hivyo:
  • Boresha kilimo kwa kupata pembejeo kwa Bei ya chini, wapate soko la nje la kutosha la mazao gao
  • Wapate miundombinu rafiki ya kusafirisha mazao gao
  • Wapate huduma ya uhakika ya maji na umeme, sehemu nyingi vijijini hakuna kabisa huduma ya Maji Safi na salama
Hilo kundi kubwa linahitahi uhakika wa matibabu wanapoumwa.

Mama Samia hili kundi kubwa la Watanzania halipo mitandaoni hivyo ni ngumu wao kuona wakilalamilia hayo mitandaoni badala yake kundi dogo kabisa ndio kila siku linalia na kuongezewa mshahara.
Mkuu punguza roho mbaya hacha watu wapate stahiki zao, lazima kuajili huku ukiboresha maslai ya wale ulionao,
 
Mama Samia hili kundi kubwa la Watanzania halipo mitandaoni hivyo ni ngumu wao kuona wakilalamilia hayo mitandaoni badala yake kundi dogo kabisa ndio kila siku linalia na kuongezewa mshahara.
 
Acha uchawi wewe mleta mada!

Vyote vinahitajika, Yaani Ajira na Masilahi bora ya wafanyakazi, na ndiyo maana Rais anafanyia kazi vyote!
 
Karudi baba mmoja toka safari ya mbali.
kavimba yote mapaja na kutetemeka mwili.
......

watoto wakaja ili kumtaka hali,wakataka na kauli iwafae maishani.

kama mnataka mali mtayapata shambani.
 
Back
Top Bottom