From Sir With Love
JF-Expert Member
- Sep 13, 2010
- 2,076
- 3,797
Hiyo laki nne unaitoa wapi? Ni jumla ya watumishi wote walioajiriwa kwenye private na public sector ambao wanakatwa PAYE?Hilo kundi dogo unalolisema ndiyo walipa kodi wa uhakika, na ndiyo fedha zao za mafao zinatumika kwenye miradi mingi ya hovyo na isiyo ya hovyo.
Kaa chini upige hesabu zako ndiyo utaelewa. Chukua makusanyo yote ya kodi kwa nchi nzima kwa mwezi, na utoe matumizi. Jibu utakalolipata ndipo shida ilipo.