Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,485
- 2,391
Subiri siku ifike kama ulivyosemaNangoja kwa hamu sana hapo tarehe 30 Juni, when the BOT report that president Samia Hassan ordered for will finally be handed over to her, nasubiri sana kuona kitakachotokea kwa watakaotajwa, na pia kama wahusika watatajwa wazi bila Rais Samia kuficha majina yao, na sababu waziri wa fedha wakati wa hiko kipindi ashapandishwa cheo sasa yeye ndie no 2 serikalini na hakuna vile hii wizi ulifanyika bila yeye i-kufahamu, kujua na most likery kushiriki.
Nangoja kuona kama mama atamchukulia hatua za kisheria bila uoga wala mapendeleo, tena nangoja kuona kama aliyekuwa pay master general at the time, the nephew of jiwe who must have been involved virtue of him being the pmg, if legal actions will be taken against him, and also if the billlions looted in this short period of time will be recorved and brought back to the public purse, nasubiri kwa hamu sana, hii ndio itakuwa thibitisho kuu kama mama atatenda haki kwa walipa kodi wa Bongo.
Nawasilisha hoja.