Beginning
JF-Expert Member
- Aug 21, 2023
- 879
- 2,361
Ukitaka watu wawe na imani na serikali yako.
Kwanza: Hoja zote zikiwemo zilizotolewa na Taasisi yenye influence kubwa kama Tec zijibiwe kwa hoja.
Pili: Usikubali uhuru wa Vyombo vya Habari kuingiliwa kwenye hili suala,vyombo vya habari vifanye kazi yake kwan interference yoyote kutoka serikalin inaongeza mashaka zaidi kuhusu DPW.
Tatu: Hata kama mtashindwa kurudia matapishi yenu kwenye mkataba na DPW bac fanyeni marekebisho kwenye vipengele vyenye utata ikiwemo idadi ya bandar atakazopewa awekeze.
Point to ponder: surrendering is not the best way to live but as by now,it is the only way to live nothing else works.