Rais Samia Suluhu Hassan, sambaratisha Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu

Wanabodi Shaloom!

Ninakuomba kama itakupendeza futilia mbali Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu ili fedha za umma zinazoteketea kuligharamia zitumike kwingine. Ni kitengo cha upigaji.

Nikukumbushe: mwaka 2005 baada ya Jakaya kuingia madarakani ndipo kitengo hiki kiliundwa mahsusi kumpa Salvatory Rweyemamu ulaji kwa kazi kubwa aliyoifanya kumpamba Jakaya na kuwachafua wapinzani wake kupitia gazeti la RAI Nguvu ya Hoja.

Nafasi za Ubunge, Uwaziri, U-DC au RC hazikuonekana "kumtosha" Salva ndipo alipopendekeza kuwepo na Kurugenzi hiyo ili asafiri na Rais popote duniani na posho ya dola 6700 kwa siku kwa kila safari nje ya nchi.

Rais Magufuli alipoingia naye akaridhi kitengo hiki cha upigaji hela za umma akimweka Gerson Msigwa ambaye naye akawaalika "washikaji" wake kujazana hapo bila kazi maalum zaidi ya kupiga hela. Ofisi ina watu 13 lakini uliza kazi ya kila mmoja ni nini?

Magufuli alisambaratisha kitengo cha Jikoni-Ikulu iliyokuwa na watu zaidi ya 100 akisema, "nitapikiwa na mke wangu". Kilikuwa cha upigaji sawa na hii Kurugenzi.

Unajiuliza Rais anaye Katibu wake, Mwandishi wake wa Habari, Mpigapicha, nini kazi ya Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu? Hivi kuandika barua za teuzi na tenguzi ni za kuajiri Mkurugenzi na Idara hewa chini yake? Nini kazi ya Msemaji Mkuu wa Serikali?

Sasa tunaona Msigwa ndiye Msemaji wa Serikali na wakati huo ndiye Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu (Serikali). Huku ni kuchanganya Mawasiliano ndio maana tulishuhudia JPM akikana uwepo wa Covid-19 na Dk. Abbas akikiri kuwepo Corona. Ikulu vs Idara ya Habari MAELEZO.

Fedha za kugharamia Kurugenzi hii zielekezwe kwenye matumizi mengine. Nawasilisha!

#FreedomIsBack
Posho USD6700/= kwa siku? duuh, au ni typing error.
anyway, sidhani kama ni sahihi sana kufuta hiyo kurugenzi, kwanza watu wamepata Ajira hapo, ni jambo jema kwa watanzania kupata ajira kadha wa kadha. lakini pia haouliowataja katibu wa Rais, waandish wake wa habari wana majukumu yao ambayo ni tofauti na ya Kurugenzi ya mawasiliano, hivyo si sahihi kuifuta. lakini kwa kua et kurugenzi hiyo haikuwepo kabla ilianzishwa na JK ndo sasa ifutwe, kwahyo ndio ksema vitu vinavyostahili kuwepo ni vile vilivyokuwepo tangu enzi za Nyerere tu? haifai kuboresha?
lakini ningekubaliana na ww kuwa Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu ifanye zaidi ya inavyofanya sasa. mfano imuandalie Rais kuwa anaongea na wananchi mfano kwa hotuba za kila mwisho wa mwez kama wkt wa BWM, iwe pia inakutana na wanahabari na kutoa taarifa mbali mbali na kujibu maswali lakini pia mitandaoni (mfano twitter) wanakua wanaandaa siku na masaa kadhaa Rais anakua anajb tweets za wananchi papo kwa papo n.k ila sio kuifuta Kurugenzi, iendelee ila tuiboreshe
 
hiyo ni ya kusafiri nje ya nchi, sasa uliza ya ndani ya nchi lazima itakiwa zaidi ya m 2 kwa siku wakati watumishi wengine ni 100,000 mpaka 150,000 kwa siku. kinachotakiwa ni kutafuta connection na wewe ubunje mahela hayo.
Humu kwenye mitandao kumbe kumejaa kundi la watu wajinga sana na wasiolewa lolote. Kila uhalo kwao ni habari. Hizo dolla 6,700 kwa siku labda kama ni dola ya Zimbambwe. Hali halisi kwa Posho ya juu kwa afisa yeyote wa juu wa serikali anaposafiri nchi daraja A kama uingereza ni usd 420 tu. Na kwa ndani ya nchi ni 120,000 (manispaa na majiji) na hii ni kwa afisa wa juu including waziri. Hata hivyo kuna baadhi ya taasisi kama BOT wanaweza kuwa na rate tofauti na za serikali kuu japokuwa si kwa kiasi cha usd 6,700 @ siku. Kwa hivyo hata hiyo sijui ofisi ya kurugenzi ya ikulu hakuna mwenye posho zaidi ya usd 420 kwa siku kwa nje na tsh 120,000 kwa ndani.
 
Wanabodi Shaloom!

Ninakuomba kama itakupendeza futilia mbali Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu ili fedha za umma zinazoteketea kuligharamia zitumike kwingine. Ni kitengo cha upigaji.

Nikukumbushe: mwaka 2005 baada ya Jakaya kuingia madarakani ndipo kitengo hiki kiliundwa mahsusi kumpa Salvatory Rweyemamu ulaji kwa kazi kubwa aliyoifanya kumpamba Jakaya na kuwachafua wapinzani wake kupitia gazeti la RAI Nguvu ya Hoja.

Nafasi za Ubunge, Uwaziri, U-DC au RC hazikuonekana "kumtosha" Salva ndipo alipopendekeza kuwepo na Kurugenzi hiyo ili asafiri na Rais popote duniani na posho ya dola 6700 kwa siku kwa kila safari nje ya nchi.

Rais Magufuli alipoingia naye akaridhi kitengo hiki cha upigaji hela za umma akimweka Gerson Msigwa ambaye naye akawaalika "washikaji" wake kujazana hapo bila kazi maalum zaidi ya kupiga hela. Ofisi ina watu 13 lakini uliza kazi ya kila mmoja ni nini?

Magufuli alisambaratisha kitengo cha Jikoni-Ikulu iliyokuwa na watu zaidi ya 100 akisema, "nitapikiwa na mke wangu". Kilikuwa cha upigaji sawa na hii Kurugenzi.

Unajiuliza Rais anaye Katibu wake, Mwandishi wake wa Habari, Mpigapicha, nini kazi ya Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu? Hivi kuandika barua za teuzi na tenguzi ni za kuajiri Mkurugenzi na Idara hewa chini yake? Nini kazi ya Msemaji Mkuu wa Serikali?

Sasa tunaona Msigwa ndiye Msemaji wa Serikali na wakati huo ndiye Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu (Serikali). Huku ni kuchanganya Mawasiliano ndio maana tulishuhudia JPM akikana uwepo wa Covid-19 na Dk. Abbas akikiri kuwepo Corona. Ikulu vs Idara ya Habari MAELEZO.

Fedha za kugharamia Kurugenzi hii zielekezwe kwenye matumizi mengine. Nawasilisha!

#FreedomIsBack
Hoja zako zinashawishi! Ngoja tuone hoja mbadala kama zipo!
 
Huo ni wivu na majungu. Mkurugenzi hiyo ina majukumu mazito ndomaana kikaanzishwa na tunaona uwajibikaji katika utoaji habari, uendeshaji hafla na shughuli zingine za ikulu.

Tumeona juzi Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiteua wasaidizi kadhaa ktk masuala mbalimbali. Ikulu ni taasisi hivyo inapaswa kuwa na Mkurugenzi.

Yawezekana nawe ni miongoni mwa waliopunguzwa Ktk Jiko LA Ikulu hivyo unaoenda mkose wote.

Kwamba Msigwa kajaza washkaji wake, sio jambo LA kweli, Ikulu hawawezi kuwa kama N. G.O, kutoa ajira kiholera namna hiyo.

Acha Msigwa apige kazi, kijana hodari sana na mchapa kazi. Kazi Iendeleee

Huyo kweli atakuwa alikuwa jikoni kaziyake kuonja chumvi tu

Ana mwambia mama eti kitengo kiliwekwa kwaajili ya kuuwa upinzani as if mama anatoka ufipa.
Wanabodi Shaloom!

Ninakuomba kama itakupendeza futilia mbali Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu ili fedha za umma zinazoteketea kuligharamia zitumike kwingine. Ni kitengo cha upigaji.

Nikukumbushe: mwaka 2005 baada ya Jakaya kuingia madarakani ndipo kitengo hiki kiliundwa mahsusi kumpa Salvatory Rweyemamu ulaji kwa kazi kubwa aliyoifanya kumpamba Jakaya na kuwachafua wapinzani wake kupitia gazeti la RAI Nguvu ya Hoja.

Nafasi za Ubunge, Uwaziri, U-DC au RC hazikuonekana "kumtosha" Salva ndipo alipopendekeza kuwepo na Kurugenzi hiyo ili asafiri na Rais popote duniani na posho ya dola 6700 kwa siku kwa kila safari nje ya nchi.

Rais Magufuli alipoingia naye akaridhi kitengo hiki cha upigaji hela za umma akimweka Gerson Msigwa ambaye naye akawaalika "washikaji" wake kujazana hapo bila kazi maalum zaidi ya kupiga hela. Ofisi ina watu 13 lakini uliza kazi ya kila mmoja ni nini?

Magufuli alisambaratisha kitengo cha Jikoni-Ikulu iliyokuwa na watu zaidi ya 100 akisema, "nitapikiwa na mke wangu". Kilikuwa cha upigaji sawa na hii Kurugenzi.

Unajiuliza Rais anaye Katibu wake, Mwandishi wake wa Habari, Mpigapicha, nini kazi ya Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu? Hivi kuandika barua za teuzi na tenguzi ni za kuajiri Mkurugenzi na Idara hewa chini yake? Nini kazi ya Msemaji Mkuu wa Serikali?

Sasa tunaona Msigwa ndiye Msemaji wa Serikali na wakati huo ndiye Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu (Serikali). Huku ni kuchanganya Mawasiliano ndio maana tulishuhudia JPM akikana uwepo wa Covid-19 na Dk. Abbas akikiri kuwepo Corona. Ikulu vs Idara ya Habari MAELEZO.

Fedha za kugharamia Kurugenzi hii zielekezwe kwenye matumizi mengine. Nawasilisha!

#FreedomIsBack

Unasema kitengo kiliwekwa na JK ili kuwachafua wapinzani, kwaiyo unataka Mama akivunje ili upinzani ung'ae, ivi nani amewashikia alikilizenu sikuhizi.

Yani mnamuona Mama kama mnatokanae ufipa vile.

Kama sivyo basi namwamini mtu moja aliekuambia unawivutu labda kwasababu ulikuwa kati ya watu 100 wa jikoni mlio pigwa chini na Magu.
 
Posho ya dola 6700 kwa siku nje ya nchi ni UONGO/UWONGO na UPOTOSHAJI. Viwango vya posho kwa watumishi wa umma vinajulikana
 
Back
Top Bottom