Rais Samia Suluhu Hassan na hekima ya Mstaafu Ali Hassan Mwinyi huko mbele kwenye maisha ya baadae

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,612
8,746
Na mpongeza sana Rais Samia Suluhu kama isingekuwa wewe kijiti kukudondokea kutoka kwa yule mwendazake basi tungelikuwa Wikipedia tukijaza database ya historia ilibaki kidogo kukamilika.

Maono ya Rais Samia ni makubwa kwa maisha yake binafsi huko mbele, ukilinganisha na wale kuwa na cheo wakajiona wao ndio wao kisha wamefanya mabaya wanajificha kwenye jamii,wengine wapo mahakamani, wengine wanajipendekeza kujiita chawa wakati chawa ni uchafu.

Kama ni kweli malengo yako basi kuna busara na hekima utakuwa unafata toka kwa mzee mstaafu Ali Hassan Mwinyi kiufupi utaki kuishi ukiwa unazungumzwa vibaya wala chuki ambazo zilipandikizwa na aliyetoka.

Kitu kilicho nifurahisha kwa sisi watanzania "watu waeleze na wakosoe' hili lipo wazi na ukiangalia asilimia kubwa inamuangukia mwendazake madukuduku yote.

Maisha ya Mstaafu Mwinyi kama mtu asiyemfahamu anaweza kusema ajawai kuwa Rais lakini anavoishi ni amani na furaha ukilinganisha wale waliobeba mavyeo hata kidogo tu.

ILA TUNAKUKUMBUSHA KATIBA HIPO PALE PALE
 
Joseph Makamba unakumbuka alisema nini?
 
Back
Top Bottom