Rais Samia Suluhu afanya uteuzi wa viongozi mbalimbali

Prof Ole Sante Ole Gabrieli sio tu kapanda bali pia kapewa heshima kubwa ya kuusimamia Muhimili wa Mahakama.
Prof; Ole ni kiongozi shapu sana na ni mbunifu.
hakika ataubadilisha sana huu Muhimili wa haki.
Nazani amekuelewa


Muhimili ni kitu kikubwa mno
 
Ole Gabriel anaonekana kuwa ni kichwa fulani ambaye watu wa mfumo wanamuwekea fitina.

Anaongea points za maana siku zote.
 
Hivi huwa hamna wasomi wengine wanaoweza kushika nyadhifa hizo?. Hadi wateuane wao kwa wao hata Kama walishastaafu. Mbona wasomi ni wengi tu wastaafu wa nini, serikali ya ccm bwana.
 
..nina ndugu yangu amesoma na Lt.Gen.Yakubu Mohamed amestaafu tangu mwaka juzi.

..kwa hiyo bila shaka CoS Yakubu Mohamed amefikia umri wa kustaafu.

..CoS Mwakalindile aliteuliwa balozi Msumbiji. Cos Kiwelu aliteuliwa balozi Ufaransa. CoS Abdulrahman Shimbo aliteuliwa balozi China.

Mabeyo kapewa kamisheni mwaka 1980 ,huyo COS kapewa kamisheni mwaka 1982 halafu Mabeyo kazaliwa mwaka 1956 which means lazima huyu COS atakuwa umri wa kustaafu ulishafika muda mrefu tu
 
Elsie Sia Kanza hapo Tanzania imepata balozi anayefaa kabisa kuiwakilisha nchi yetu .
Tanzania Embassy in the USA
@tzembassyus

H.E. Joseph R. Biden, Jr., President of the United States of America and H.E. Dr. Elsie S. Kanza, Ambassador of the United Republic of Tanzania to the United States of America at the White House, Washington, D.C. Udumu Uhusiano kati ya Tanzania na Marekani! #Miaka61Pamoja


1656180131074-png.2272061
 
Back
Top Bottom