kujenga uchumi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hatuna budi kujenga uwezo wetu wa ndani kwa kuimarisha ukusanyaji wa mapato ili kujenga uchumi unaojitegemea

    Akizungumza katika maadhimisho ya miaka 30 ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Rais Samia amesema Tunaishi katika zama za mataifa kukubaliana katika biashara na kwa kiasi kikubwa kupungua kwa misaada. "Tunaishi katika zama za mataifa kukubaliana katika biashara na kwa kiasi kikubwa kupungua...
  2. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Wazungu Wana-support Anarchy politics Africa ili nchi zishindwe kujenga uchumi wao Kuna vyama vya siasa vinapewa hela nyingi kuharibu amani za Nchi

    Kwa Tanzania chama ambacho kinapewa Hela nyingi na wazungu kwa lengo la kuvuruga Amani na uchumi ni CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA ) kipo Tanzania Vyama vingine ni New Patriotic Party kipo Ghana, chama cha Democratic Alliance kipo South Africa, Citizens coalition for change party...
  3. Mwanga wa Jua

    JamiiForums Tanzania Kenya Vs Tanzania: Wenzetu Kenya baada ya kuzidiwa na madeni hii ndio njia mpya walioichagua kujenga uchumi wao.

    SASA KENYA INAJIELEKEZA KWENYE SEKTA BINAFSI ZAIDI KATIKA UJENZI WA TAIFA LAO, Mfano, Katika bajeti ya Kenya ya mwaka wa fedha 2026/27, serikali imeweka mkazo mkubwa wa kimkakati kwenye Ushirikiano wa Sekta ya Umma na Binafsi (PPP). Hali hii inatokana na kubana kwa nafasi ya kifedha kutokana na...
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Russia: Kujenga Uchumi

    Leo Rais Samia ana ratiba kuu mbili kubwa na muhimu sana kwa mustakabali wa Tanzania. 1. Tanzania- Russia Business Forum. 2. St. Petersburg International Economic Forum (SPIEF) Lengo la kuhudhuria majukwaa hayo mawili ni kuzitangaza Dira ya Taifa 2050 kwa lengo la kuvutia uwekezaji zaidi...
  5. Y

    JamiiForums Tanzania PICHA: Ushirika wa PPPC na TPSF ni game changer kwenye kujenga Uchumi mkubwa na wa kisasa | Watanzania tuchangamkie fursa huko huko tunakoishi

    Shirikisho la Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) kwa kushirikiana na Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPPC) wamesaini makubaliano muhimu ya ushirikiano yanayolenga kuimarisha nafasi ya sekta binafsi katika miradi ya ubia (PPP). Hatua hii inatajwa kuwa ni mwendelezo wa jitihada za...
  6. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Mmeshuhudia siku tatu zile. Hakukuwa na harusi, kitchen party wala mikusanyiko kwenye mabaa. Zilikuwa siku tatu nzito

    Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Aprili 21, 2026, wakati akifungua Kongamano la Kitaifa la Mamalishe na Babalishe, Rais Samia wafanyabiashara wadogo wa chakula, maarufu kama Mamalishe na Babalishe, kutambua na kulinda amani ya nchi kama nguzo kuu ya kukuza uchumi na ustawi wa shughuli zao...
  7. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania SADC: Sekta ya nishati iwe kichocheo cha kuiunganisha afrika kujenga uchumi

    SADC: SEKTA YA NISHATI IWE KICHOCHEO CHA KUIUNGANISHA AFRIKA KUJENGA UCHUMI 📌 Yasisitiza utekelezaji wa miradi ya kipaumbele ya Nishati 📌 Kapinga ataka SADC kuweka dhamira thabiti na mikakati madhubuti ya utekelezaji wa Ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia Mawaziri wanaoshughulikia masuala ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Kwa Utafiti uliopo ndani ya miaka 25 ijayo Tanzania italazimika kujenga uchumi sawa au zaidi ya Afrika ya Kusini ya leo

    === Akihojiwa na kituo cha runinga cha Clouds Media Group Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPP -Centre David Zacharia Kafulila alikuwa na haya ya kusema ;- "Tafiti zilizofanyika zilionesha kwamba mwaka 2015 mahitaji ya miundombinu yaliyokuwepo yalijitosheleza kwa...
Back
Top Bottom