Rais Samia ni mponya nchi muungeni mkono tusonge mbele

Nikikumbuka tulikotoka,ugumu wa maisha kisiasa na uhalisia wa maisha ya mtu mmoja mmoja,nashawishika kumkubali Samia hadharani bila hata haya wala soni.
Watanzania tuna mengi ya kuridhika kupitia huyu mama kwa kuangalia rekodi za hapo nyuma,ambapo watu wengine waliishi kwa hofu, kutokana pengine na itikadi zao, misimamo tofauti na pengine hata chuki binafsi.
Aidha nakubaliana nae juu ya mabadiliko kadhaa ya sheria zetu zinazohusu namna bora ya uendeshaji siasa zetu,na kwa kweli huu ni mwanzo mzuri kwa demokrasia yetu.Hongera Rais,ni mwanzo mzuri.

UNA LAANA WEWE.
 
Kumbe hapa naongea na chawa pro Max..!
Watanzania hatutaki hiko ulichokitaja
Tunahitaji uhakika wa bima ya afya nzuri, Utawala bora usio na Ufisadi wala rushwa
Miundombinu bora sio kila siku barabara zinatifuliwa bila mpango maalum kutuletea vumbi tuumwe TB
Sera nzuri za biashara ikiwemo kodi kusaidia biashara na uchumi kukuu

Hatutaki habari za mama anaupiga mwingi, pesa kuwapa Simba na Yanga huku Wakulima wanalia kila siku
Chawa?Mbona walikufa kwenye maji ya moto?Bima ya afya unayoitaka umechangia kiasi gani?Miundombinu bora?Ulipata ajali ya guta lini?Sera nzuri za biashara kuizidi USA au hutaki kulipa ushuru,kodi,tozo nk?Unataka uishi Glasgow ukiwa Kazuramimba?Maisha ni hatua.Unataka kumi haujafika tatu?Ooohooo!
 
Nikikumbuka tulikotoka,ugumu wa maisha kisiasa na uhalisia wa maisha ya mtu mmoja mmoja,nashawishika kumkubali Samia hadharani bila hata haya wala soni.
Watanzania tuna mengi ya kuridhika kupitia huyu mama kwa kuangalia rekodi za hapo nyuma,ambapo watu wengine waliishi kwa hofu, kutokana pengine na itikadi zao, misimamo tofauti na pengine hata chuki binafsi.
Aidha nakubaliana nae juu ya mabadiliko kadhaa ya sheria zetu zinazohusu namna bora ya uendeshaji siasa zetu,na kwa kweli huu ni mwanzo mzuri kwa demokrasia yetu.Hongera Rais,ni mwanzo mzuri.
Nchi imefilisika ndo katuponya? Watu wamevuruga mfumo wa ukusanyaji kodi hadi TRA wamebaki hawana kazi.

Unasema usiyoyajua. Nchi imeuzwa hii. Tutamkumbuka Ndugai.
 
Viashiria vya nchi kufilisika hadi mimi niliye hapa Suruti Namtumbo nielewe ni vingapi na vikoje?
 
Ukikuwa utaelewa watu walewale waliokuwa wakiongoza vita ya kumtukana Magufuli ndio hao hao wanaomtukana Samia.

Shida yao kwasasa ni moja tu Makonda atolewe serikalini, hayo matusi yameanza baada ya ugomvi unaodaiwa wa GSM na Makonda.

Walitegemea Makonda atemwe, kaishia kupewa ukuu mkoa, sio rocket science kujua ni hakina nani wapo nyuma ya hayo matusi.

Halafu ‘bi-tozo’ siku ya baraza la Eid alirusha kijembe cha kukwepa kodi kutumia mfano wa kiongozi wa serikali ya Zanzibar aliekuwa anasaidia kutorosha karafuu kimagendo. Ile story ya Zanzibar ni ‘euphemism’ mlengwa pale ni mstaafu ambae biashara zake zinaendeshwa na watu wengine ambao ni maarufu kwa kukwepa kodi.

Huu ni mtihani wa ‘bi-tozo’ anataka kubaki kuwa remote yao watu wasioridhika; au ni muda wa kuendesha nchi kwa kichwa chake kupitia ushauri wa wataalamu wa serikali.

Kazi kwake, uzuri ni kwamba Nchimbi akiwaamulia wakorofi anawamudu ndani ya chama (mama nae technical), ni kama mtu ambae aliejiandaa kwa vita muda wowote.
 
Ukikuwa utaelewa watu walewale waliokuwa wakiongoza vita ya kumtukana Magufuli ndio hao hao wanaomtukana Samia.

Shida yao kwasasa ni moja tu Makonda atolewe serikalini, hayo matusi yameanza baada ya ugomvi unaodaiwa wa GSM na Makonda.

Walitegemea Makonda atemwe, kaishia kupewa ukuu mkoa sio rocket science kujua ni hakina nani wapo nyuma ya hayo matusi.

Halafu ‘bi-tozo’ siku ya baraza la Eid alirusha kijembe cha kukwepa kodi kutumia mfano wa kiongozi wa serikali Zanzibar kusaidia kutorosha karafuu kimagendo. Mlengwa ni mstaafu ambae biashara zake zinaendeshwa na watu wengine ambao ni maarufu kwa kukwepa kodi.

Huu ni mtihani wa ‘bi-tozo’ anataka kubaki kuwa remote yao watu wasioridhika; au ni muda wa kuendesha nchi kwa kichwa chake kupitia ushauri wa wataalamu wa serikali.

Kazi kwake, uzuri ni kwamba Nchimbi akiwaamulia wa korofi anawamudu (mama nae technical), ni kama mtu alishajiandaa kwa vita.
Hivi wewe ni meya kweli au mkusanyaji wa michango ya misiba mtaani?
 
Nikikumbuka tulikotoka,ugumu wa maisha kisiasa na uhalisia wa maisha ya mtu mmoja mmoja,nashawishika kumkubali Samia hadharani bila hata haya wala soni.
Watanzania tuna mengi ya kuridhika kupitia huyu mama kwa kuangalia rekodi za hapo nyuma,ambapo watu wengine waliishi kwa hofu, kutokana pengine na itikadi zao, misimamo tofauti na pengine hata chuki binafsi.
Aidha nakubaliana nae juu ya mabadiliko kadhaa ya sheria zetu zinazohusu namna bora ya uendeshaji siasa zetu,na kwa kweli huu ni mwanzo mzuri kwa demokrasia yetu.Hongera Rais,ni mwanzo mzuri.
Unamwambia nani?
 
Inawezekana unafamilia na unaitwa Baba!!!!!!
 
Mwanzoni kila mtu alikua na imani nae
Watu walimpenda na kumpa support
Tulimpa nafasi aonyeshe uwezo wake lakini kazingua...!
Kila sekta kairudisha nyuma mara 10
Binafsi nilikuwa na matumaini makubwa sana kwake.

Akamteua Makonda.
Akamteua Happy
Akashinda kesi Sabaya

Hapo Imani yangu kwake ikayeyuka
 
Nikikumbuka tulikotoka,ugumu wa maisha kisiasa na uhalisia wa maisha ya mtu mmoja mmoja,nashawishika kumkubali Samia hadharani bila hata haya wala soni.
Watanzania tuna mengi ya kuridhika kupitia huyu mama kwa kuangalia rekodi za hapo nyuma,ambapo watu wengine waliishi kwa hofu, kutokana pengine na itikadi zao, misimamo tofauti na pengine hata chuki binafsi.
Aidha nakubaliana nae juu ya mabadiliko kadhaa ya sheria zetu zinazohusu namna bora ya uendeshaji siasa zetu,na kwa kweli huu ni mwanzo mzuri kwa demokrasia yetu.Hongera Rais,ni mwanzo mzuri.
Anaharibu nchi.
 
Back
Top Bottom