Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,296
- 26,046
Huyu ndio Rais atakayeacha alama kwenye maisha ya watu wengi hapa Tanzania..Ndugu zangu Jana katika ziara ya mh Rais wetu inayo endelea huko mkoani mbeya tumemsikia Rais wetu akisema kuwa serikari unakwenda kujenga vyumba vya madarasa Zaid ya elfu nane, kwa ajiri ya wanafunzi wa kidato Cha kwanza hapo mwakani mwezi wa kwanza, ndugu zangu huko nyuma tulizoea kuona maneno haya yakitamkwa mwezi wa kumi na mbili ndio hela heka za ujenzi wa madarasa ulikuwa unaanza ambapo Hadi watanzania wakijuwa wanashangaa iweje kazi ianze saiz ya kukimbizana na ujenzi wakati tulikuwa tunajuwa wanafunzi wangapi wanamaliza la Saba, tuliona namna ma Rc na DC wakishindana kushinda site ili kukamilisha Madara huku mvua nazo zikinyesha, wakati mwingine hata ubora wa madarasa ulikuwa unatoa Shaka kutokanaa na uharaka wa kukimbizana na muda, lakini kwa kuwa Mh Rais Ni kiongozi mwenye maono na dira tayari ameshaliona Hilo na kuliwekea mikakati na Wala hatutaona wanafunzi wakikaa majumbani kusubiri madarasa, maana tayari Rais wetu ameshaweka mikakati ya ujenzi wa madarasa mapema kabisa, Rai yangu Ni kwa wasaidizi wake hasa ma Rc, DC, Ras,Das, Ded na madiwani kusimamia ipasavyo kazi hii na kushirikiana vyema katika maeneo yao bila mivutano na migogoro itakayorudisha nyuma juhudi za mh Rais wetu kipenzi Cha watanzania,Asante mh Rais, Kazi iendeleee
Hakika mh Samia suluhu Hassan Ni mchapa kazi Sanaa, itafika muda watanzania wote watakubali utendaji wake wa kazi, Ni Rais mtilivu,mwenye busara na hekima, Atoaye faraja na matumaini katika uongozi wake, Jana mihemuko Wala ukakasi katika kauli zake, Mama samiaa Ni kiongozi muongoza njia, Ni kiongozi mwenye muelekeo, Ni kiongozi mwenye ushawishii, Ni kiongozi asiye na makuu, Ni kiongozi mwenye kuheshimu mchango wa kila mtu katika ujenzi wa Taifa, Ni kiongozi mwenye dhamira ya dhati katika kuona watanzania tunainuka kiuchumi na kusonga mbelee,Namkaribisha Sana mkoani songwe wilayani mbozi katika kata ya mlowoHuyu ndio Rais atakayeacha alama kwenye maisha ya watu wengi hapa Tanzania..
Na Mungu hajamuweka hapo kwa bahati mbaya..
Nasubiria kwa hamu Sana kuona mapinduzi ya kijani na Utalii wa Tanzania..
Achana na mambo ya kuona mapinduzi ya Elimu na kufuta shida ya Maji Tanzania hayo naona ni mambo madogo kwangu..
Takwimu huwa hazidanganyi 👇
Ni wenge tuu linawasumbua.Hakuna sekta hata moja ambayo imesimama kama huko nyuma kwa waliokuwa wanaleta visingizio vya kijinga..Hakika mh Samia suluhu Hassan Ni mchapa kazi Sanaa, itafika muda watanzania wote watakubali utendaji wake wa kazi, Ni Rais mtilivu,mwenye busara na hekima, Atoaye faraja na matumaini katika uongozi wake, Jana mihemuko Wala ukakasi katika kauli zake, Mama samiaa Ni kiongozi muongoza njia, Ni kiongozi mwenye muelekeo, Ni kiongozi mwenye ushawishii, Ni kiongozi asiye na makuu, Ni kiongozi mwenye kuheshimu mchango wa kila mtu katika ujenzi wa Taifa, Ni kiongozi mwenye dhamira ya dhati katika kuona watanzania tunainuka kiuchumi na kusonga mbelee,Namkaribisha Sana mkoani songwe wilayani mbozi katika kata ya mlowo
Hakika mh Samia suluhu Hassan Ni mchapa kazi Sanaa, itafika muda watanzania wote watakubali utendaji wake wa kazi, Ni Rais mtilivu,mwenye busara na hekima, Atoaye faraja na matumaini katika uongozi wake, Jana mihemuko Wala ukakasi katika kauli zake, Mama samiaa Ni kiongozi muongoza njia, Ni kiongozi mwenye muelekeo, Ni kiongozi mwenye ushawishii, Ni kiongozi asiye na makuu, Ni kiongozi mwenye kuheshimu mchango wa kila mtu katika ujenzi wa Taifa, Ni kiongozi mwenye dhamira ya dhati katika kuona watanzania tunainuka kiuchumi na kusonga mbelee,Namkaribisha Sana mkoani songwe wilayani mbozi katika kata ya mlowo
Simpambi Ila kazi zake zinampamba Sana pasipo hata kukupa watu wakumpamba, nisipompongeza Mimi bado watanzania wengi watasimamia kumpongeza, wanafunzi wanaokwenda kupata elimu bure kidato Cha sita watasimamia kumpongeza, wazazi watampongeza tu kwa kupunguziwa adha ya kukupa Ada kidato Cha tano na sita watampongeza tu hata kana tutasema tukae kimya, wakulima ambao Sasa wanauza mazao yao kwa Bei nzuri watampongeza tu, wafanya biashara za mahotel ya kutalii watampongeza tu kwa mafuriko ya watalii wanaendelea kufurika hapa nchiniWw ndio umepewa hela jana ya kumpamba mama nini? Yaani hujaongea jipya kabisa. Hata Iddy Amini alikuwa na watu wake wa kumpamba kama ww unavyompamba huyu mama.
Sizani Kama unaweza ukathibitisha hizi tuhuma zako hapa ukiambiwa utoe ushahidiYeye kama yeye Rais Samia ana maono ila tatizo kubwa yupo compromised by 100%. Na hili tatizo lilianzia mwa Mwinyi, Mkapa akalikwepa, alivyokuja Kikwete akawa compromised by 200% na alivyokuja Dkt Magufuli akaepuka, ila ndiyo hivyo kikundi kilichomcompromise Kikwete kikaona kimepoteza na kikatafuta mbinu na kikajua kabida akifa Dkt Magufuli basi anayefuata ni Rais Samia hivyo kikaanza kumuandaa mapema kabisa kwa ku compromise (inasemekana ndiye alikuwa anapeleka habari kwa kigogo, na mangi zile za ikulu), na baada ya kumuua Dkt Magufuli, basi kawa rais ila wanajua alivyomfitini Dkt Magufuli na serikali ambapo ni kinyume na kiapo na maadili na lazima hicho kikundi kumtumie kitakavyo. Hivyo Rais Samia hana jinsi hat kidogo, na hii mbinu inatumika sana nchi zetu za ki africa. Suluhisho huwa ni kuhakikisha wale ambao wapo compromised hawapewi nafasi kubwa serikalini, lakini hapa nchi zetu ni tofauti, unakuta mtu kama Makamba eti waziri wakati yupo compromised kinoma au Nape ambaye alikula rushwa na mil 800 sakata la cloud halafu eti waziri wa habari, na hiyo ndiyo serikali ya Mama Samia.
Ukiwa na potential ya kuwa kiongozi magenge ya uharifu lazima yakutafute ili kuku compromise ili utumike baadaye. Ukikuta kiongozi hatatui shida za wananchi walio wengi huyo yupo compromised na hayo mambo yapoSizani Kama unaweza ukathibitisha hizi tuhuma zako hapa ukiambiwa utoe ushahidi
unatumia kilevi?Ndugu zangu Jana katika ziara ya mh Rais wetu inayo endelea huko mkoani mbeya tumemsikia Rais wetu akisema kuwa serikari unakwenda kujenga vyumba vya madarasa Zaid ya elfu nane, kwa ajiri ya wanafunzi wa kidato Cha kwanza hapo mwakani mwezi wa kwanza, ndugu zangu huko nyuma tulizoea kuona maneno haya yakitamkwa mwezi wa kumi na mbili ndio hela heka za ujenzi wa madarasa ulikuwa unaanza ambapo Hadi watanzania wakijuwa wanashangaa iweje kazi ianze saiz ya kukimbizana na ujenzi wakati tulikuwa tunajuwa wanafunzi wangapi wanamaliza la Saba, tuliona namna ma Rc na DC wakishindana kushinda site ili kukamilisha Madara huku mvua nazo zikinyesha, wakati mwingine hata ubora wa madarasa ulikuwa unatoa Shaka kutokanaa na uharaka wa kukimbizana na muda, lakini kwa kuwa Mh Rais Ni kiongozi mwenye maono na dira tayari ameshaliona Hilo na kuliwekea mikakati na Wala hatutaona wanafunzi wakikaa majumbani kusubiri madarasa, maana tayari Rais wetu ameshaweka mikakati ya ujenzi wa madarasa mapema kabisa, Rai yangu Ni kwa wasaidizi wake hasa ma Rc, DC, Ras,Das, Ded na madiwani kusimamia ipasavyo kazi hii na kushirikiana vyema katika maeneo yao bila mivutano na migogoro itakayorudisha nyuma juhudi za mh Rais wetu kipenzi Cha watanzania,Asante mh Rais, Kazi iendeleee
Watu kama nyinyi huwa hamkosekani. Ndo maana hata mw/kiti wenu kuna kipindi alijitokeza kuwafunga speed gavana. Ila ndo hivyo akili na mawazo vimeshachakalia ufipa kwa hiyo ni ngumu kurudia katika upya wake wa kuelewa kile kinachofanyika nje ya chama chenu pendwa.Ww ndio umepewa hela jana ya kumpamba mama nini? Yaani hujaongea jipya kabisa. Hata Iddy Amini alikuwa na watu wake wa kumpamba kama ww unavyompamba huyu mama.
Tayari ukweli ushaelezwa hata na mwenyekiti. Au na yeye haumuamini?Mkisifu msisahau kueleza ukweli.
Ndugu zangu Jana katika ziara ya mh Rais wetu inayo endelea huko mkoani mbeya tumemsikia Rais wetu akisema kuwa serikari unakwenda kujenga vyumba vya madarasa Zaid ya elfu nane, kwa ajiri ya wanafunzi wa kidato Cha kwanza hapo mwakani mwezi wa kwanza, ndugu zangu huko nyuma tulizoea kuona maneno haya yakitamkwa mwezi wa kumi na mbili ndio hela heka za ujenzi wa madarasa ulikuwa unaanza ambapo Hadi watanzania wakijuwa wanashangaa iweje kazi ianze saiz ya kukimbizana na ujenzi wakati tulikuwa tunajuwa wanafunzi wangapi wanamaliza la Saba, tuliona namna ma Rc na DC wakishindana kushinda site ili kukamilisha Madara huku mvua nazo zikinyesha, wakati mwingine hata ubora wa madarasa ulikuwa unatoa Shaka kutokanaa na uharaka wa kukimbizana na muda, lakini kwa kuwa Mh Rais Ni kiongozi mwenye maono na dira tayari ameshaliona Hilo na kuliwekea mikakati na Wala hatutaona wanafunzi wakikaa majumbani kusubiri madarasa, maana tayari Rais wetu ameshaweka mikakati ya ujenzi wa madarasa mapema kabisa, Rai yangu Ni kwa wasaidizi wake hasa ma Rc, DC, Ras,Das, Ded na madiwani kusimamia ipasavyo kazi hii na kushirikiana vyema katika maeneo yao bila mivutano na migogoro itakayorudisha nyuma juhudi za mh Rais wetu kipenzi Cha watanzania,Asante mh Rais, Kazi iendeleee