Rais Samia ni kama Lamine Yamal pale Barcelona

WANAFIKI na wenye husda Wanamchukia na kumkaba kwa Nia ya kumuumiza kabisa lakini mama anawapiga vyenga na matobo ya hatari mpaka Kuna wakati wanagongana wenyewe. Lamine Yamal anafanya hivyo hivyo pale Barcelona

WANAFIKI na wenye husda wanapambana kuhakikisha hapatani na yeyote. Mama anawalamba vyenga bila kelele. Na Sasa afcon, vikao vya bunge la Dunia n.k hivyooo tunavishuhudia Kila siku. Dogo Yamal haters hawatamani ashinde tuzo yoyote, achilia mbali kupendekezwa........dogo anaupiga mwingi na Kila siku yupo kwenye wapendekezwa wa tuzo.

Mashetani yaliyojificha nyuma ya dini yanamchukia mama kutokana na anakotoka na dini yake lakini mwanamke huyu ujasiri hajali na haondoki katika 'focus', anaendelea kuupinga mwingi kwenye mabarabara, mashule, afya, ajira n.k. Dogo Yamal ni hivyo hivyo; oooh, mweusi anayetokea Africa hivyo hafiti kwenye timu ya Hispania, lakini mavituz yake yanawaumbua haters.

Mahaters yanamchukia mama na hivyo yanajitahidi yenyewe kuwataja na kuwasifu waliopita Ili kumuondolea kujiamini. Mama huyu, alivyo vema, anawapotezea tu na yeye anaupiga mwingi mpaka kimya kimya mihaters yenyewe inakubali. Kule ulaya wanajitahidi mno kumtaja messi na viungo wengine pale Ili kumvunja moyo dogo. Dogo hajali, anazungusha na kupiga magoli kama kayatengeneza yeye.

Hiyo ni kwa uchache tu.

Hakika Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, ni Lamine Yamal kabisa wa bongo.
Aiseee
 
Screenshot_20251217-065939~2.png
 
Unadhani ni kwa nini achukizwe?

Yaani itokee tu achukizwe bila sababu?

Kwani huyo mtu ni kipi Cha maana kafanya zaidi ya kueneza CHUKI zake tu mtaani
 
Samia atachukiwa kwa lipi sasa.Form failure,air hostess dream job,president by chance.Hivi mtu si atakuwa kichaa kumuonea husda mtu wa hivi.

Hivi Uislam huwa unabariki mauaji sio?maana unadai anakataliwa na watu wasiokuwa wa upande wake.

Muda utaeleza tu
 
Hahahahahaaa! Naona kamanda unajitahidi kujificha kwenye mkaranga ukitegemea usionekane🤣🤣🤣

Enhe, wewe msomi wa kiwango Cha ph d kutoka Harvard university uko wapi?!!!! Hayo ni maneno tu yanaonyesha ni namna gani Haina elimu
 
Umejuaje kama na Phd asee.Sio Harvard lakini hii ni ya kutoka the university of West London.Pole sana kama itakuwa imekuletea shida lakini mama yenu shule hana
 
Hivi Yuko wapi vile mama yetu na wewe uko wapi vileee?!! Nini kiniletee shida ndg kutoka kwako?!!!! Kwa lipi?!!!! Mbona wewe ndo uliye na shida na uraisi wa Samia na unateseka kwelikweli. Pole, vumilia tu hadi 2030. Kwa Sasa hauna jinsi Bali kuvumilia vipigo vya mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania.

Ila kamanda inauma ee kupatwa na huyu mama, uongo?!!! Mnaumia kishenzi na mna hasira🤣🤣🤣
 
Unadhani ni kwa nini achukizwe?

Yaani itokee tu achukizwe bila sababu?

Kwani huyo mtu ni kipi Cha maana kafanya zaidi ya kueneza CHUKI zake tu mtaani
Wivu na chuki ya kikanda na dini ndo sababu kuu
 
Hivi Yuko wapi vile mama yetu na wewe uko wapi vileee?!! Nini kiniletee shida ndg kutoka kwako?!!!! Kwa lipi?!!!! Mbona wewe ndo uliye na shida na uraisi wa Samia na unateseka kwelikweli. Pole, vumilia tu hadi 2030. Kwa Sasa hauna jinsi Bali kuvumilia vipigo vya mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania.

Ila kamanda inauma ee kupatwa na huyu mama, uongo?!!! Mnaumia kishenzi na mna hasira🤣🤣🤣
Sasa mimi ni mtawala na yeye ni kiongozi huoni tofauti. Hivi nyie wafuasi wa Samia hamjui kama huyu mtu wenu ni pazia kafunika wakubwa nyuma yake?

Kama unabisha kamuulize anajua mimi nani kama hata ikulu unaweza kufika wewe
 
Back
Top Bottom