PreGE2025 Rais Samia ndani ya SGR Dar-Dodoma, kuboresha taarifa zake za Mpiga Kura

PreGE2025 Rais Samia ndani ya SGR Dar-Dodoma, kuboresha taarifa zake za Mpiga Kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisafiri kwa treni ya kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma ambapo pamoja na majukumu mengine pia atashiriki shughuli ya uboreshaji wa taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura leo Jumamosi Mei 17, 2025 katika ofisi ya serikali ya kijiji, Chamwino mkoani Dodoma.

1747474596453.png

1747474611116.png
 
Ndugu zangu Watanzania,

Huyu hapa Mama yetu kipenzi ndani ya SGR kutokea Dar kwenda Dodoma Kuboresha Taarifa zake Kwenye Daftari la Mpiga kura.

Screenshot_20250517-131456_1.jpg
Screenshot_20250517-131432_1.jpg
 
Mmh!
Hakuna uchaguzi mwaka huu aache kujiangaisha..
 
Hongera zake, tunamwombea amalize muhula wake salama. 2025 hii tupate rais mpya.
 
Huku ndio unalipia sh. ngapi wadau,au huku ni special coach kwa viongozi...
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisafiri kwa treni ya kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma ambapo pamoja na majukumu mengine pia atashiriki shughuli ya uboreshaji wa taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura leo Jumamosi Mei 17, 2025 katika ofisi ya serikali ya kijiji, Chamwino mkoani Dodoma.

Safi kabisa, Mama la Mamama ametuliaaaa.....anapiga kazi kwa Raha zake!

KAMA NAIONA MINYUMBU YA CHADEMA CHAKAVU ILIVYOFURA KWA HASIRA
 
Anakaaje mbele na dude linavyokimbia vile?

Kwani na kwenye viii eite anakaaga siti ya mbele?

Wanausalama nini hiki.
 
Back
Top Bottom