Rais Samia, naomba unisaidie ajira mwanao

Shikamoo Mheshimiwa Raisi Mama Samia!

Mimi ni kijana muhitimu wa Elimu ya chuo Kikuu nikiwa na Degree ya Uchumi pamoja na Diploma ya Uchumi. Nimehitimu chuo mwaka 2012 hapa hapa Tanzania ila kwa bahati mbaya sikupata ajira sehemu yeyote hadi leo hii.

Nilikuwa na biashara yangu ya duka ambayo ilikuwa ni tegemezi kwa familia yangu ila kwa sasa biashara hiyo imekata mtaji kabisa baada ya wezi kuvunja na kuchukua vitu vyote na kubaki nikiwa mtupu. Naomba nisaidie mama nipate ajira yeyote nakuaahidi kutokukuangusha Mama yangu nisaidie mwanao ambae kwa kweli maisha magumu sana kwangu.

Okoa Familia yangu ambayo ambayo ipo mbioni kubomoka kutokana na ugumu wa maisha yangu kwa kukosa ajira na kutokuwa na mtaji wowote kwa sasa. Natanguliza shukrani za dhati upatapo ujumbe huu.
Polesana kamamchumi unalia ivyo cjui
 
Wakati unasoma hio degree ya uchimi ulikuwa una malengo gani? Yani hio degree ulipoteza muda. Hata haijakusaidia kimaisha na duka la familia umeliua. Kwa kazi... hakuna ajira kwa degree hio. Jiandae kupiga tu zege sasa au fungua kibanda cha chipsi kuku na tumia akili sasa utoboe.
 
Shikamoo Mheshimiwa Raisi Mama Samia!

Mimi ni kijana muhitimu wa Elimu ya chuo Kikuu nikiwa na Degree ya Uchumi pamoja na Diploma ya Uchumi. Nimehitimu chuo mwaka 2012 hapa hapa Tanzania ila kwa bahati mbaya sikupata ajira sehemu yeyote hadi leo hii.

Nilikuwa na biashara yangu ya duka ambayo ilikuwa ni tegemezi kwa familia yangu ila kwa sasa biashara hiyo imekata mtaji kabisa baada ya wezi kuvunja na kuchukua vitu vyote na kubaki nikiwa mtupu. Naomba nisaidie mama nipate ajira yeyote nakuaahidi kutokukuangusha Mama yangu nisaidie mwanao ambae kwa kweli maisha magumu sana kwangu.

Okoa Familia yangu ambayo ambayo ipo mbioni kubomoka kutokana na ugumu wa maisha yangu kwa kukosa ajira na kutokuwa na mtaji wowote kwa sasa. Natanguliza shukrani za dhati upatapo ujumbe huu.
Ulichukua hatua gani kuzuia wezi? Umesoma uchumi na unajua umuhimu wa kufanya "protection of your investments." Au ndio vyeti feki?

Unaambiwa siku zote PROTECT YOUR INVESTMENTS. Kama hautafanya hivyo, basi mtu USILIE SIKI YAKIKUKUTA KAMA HAYA SABABU ULIFANYA CHOICES MBAYA NA NDIO ZIMEKUFIKISHA HAPO.
 
Shikamoo Mheshimiwa Raisi Mama Samia!

Mimi ni kijana muhitimu wa Elimu ya chuo Kikuu nikiwa na Degree ya Uchumi pamoja na Diploma ya Uchumi. Nimehitimu chuo mwaka 2012 hapa hapa Tanzania ila kwa bahati mbaya sikupata ajira sehemu yeyote hadi leo hii.

Nilikuwa na biashara yangu ya duka ambayo ilikuwa ni tegemezi kwa familia yangu ila kwa sasa biashara hiyo imekata mtaji kabisa baada ya wezi kuvunja na kuchukua vitu vyote na kubaki nikiwa mtupu. Naomba nisaidie mama nipate ajira yeyote nakuaahidi kutokukuangusha Mama yangu nisaidie mwanao ambae kwa kweli maisha magumu sana kwangu.

Okoa Familia yangu ambayo ambayo ipo mbioni kubomoka kutokana na ugumu wa maisha yangu kwa kukosa ajira na kutokuwa na mtaji wowote kwa sasa. Natanguliza shukrani za dhati upatapo ujumbe huu.
Njoo tupambane ajira portal mkuu
 
Picha
 
Mnafahamu hata capital yake ipoje? Vijana wengi business ni hand to mouth.
Point ni kwamba alikuwa na duka lililokuwa linalisha familia. That means alikuwa anagain kama alikuwa anagain basi principle ya tiba saba za pochi tupu according to the richest man in Babylon, ilitakiwa aiaplai akiwa kama msomi wa uchumi.
 
Duka niliokuwa nalo ni duka la kawaida sana la mtaani tu.
 
Mkuu bado hujaweka picha yako halisi tu?!?!
Msaidie kijana. Siyo lazima aweke jina na picha halisi. Ni moyo wa huruma na kusaidiana tu.
Mkuu picha nitaweka tu ila naona hoja yangu imepingwa sana humu
 
Mkuu Mama Samia hapatikani humu jukwaani

Ushauri wangu, nenda kaweke kambi pale geti la kuingilia Ikulu ya Dar es Salaam au Dodoma

Hakikisha hautoki pale getini hata upigwe vipi na chaguzi yako iwe ni kufa au kuonana na Mama samia

Cc:ushauri wa hovyo kutoka kwa kijana wa hovyo
 
Back
Top Bottom