Rais Samia, naomba ajira

Rais Samia, naomba ajira

Up until early 70's the Soviet Union was wining the Cold-War. Americans even believed that the only way forward was co-existence with the Soviets through Détente. The Mitrokhin Archives reveal that Soviet Union had already won in strategic points like Africa, Europe and South-East Asia.
Cultural Marxism is ruling the United States and its allies. China and Russia are two of few nations that are averse to Cultural Marxism. In these bases, the Russians were successful. Now Cultural Marxism is rolled out to the rest of the World, to unimaginable success, again.

Hii kazi haiombwi kama kuomba chumvi,
Una Elimu gani,umefanya nini mpaka sasa hv kwenye nyanja za usalama,hii kazi wanapewa watu waliopo kwenye kada za usalama,jeshini,polisi,kitendo Cha wewe kuiomba tu,umethibitisha kwamba hufai
Huyu jamaa siokama kweli anaomba kazi ila alikia anafikasha ujumbe
 
Rais wangu Samia, naomba ajira, uniteue niwe Mkurugenzi mkuu wa TISS, hii kazi naipenda kuliko kazi zote Duniani.

Naipenda hii kazi kwa sababu naipenda sana nchi yangu Tanzania.

Sina chama chochote cha kiasiasa ninachokifia, Chama changu ni Tanzania.

Ukiniteua kwenye hii nafasi ,nitafanya maajabu kwa muda mfupi tu.

Kwanini nasema nitafanya maajabu kwa muda mfupi tu?

Rais wangu, Idara ya Usalama wa Taifa ktk Taifa lolote lile Duniani ndo Roho ya nchi, Idara ikiwa Dhaifu na Taifa linakuwa Dhaifu.

Uimara wa China kiuchumi kwa muda mfupi tu umetokana na Uimara Intelligence yao.

Hatuwezi kufika popote Kama Taifa bila kuwa na Idara imara.

Kila baada ya miezi miwili au mitatu Idara ya Usalama wa Taifa la Kenya kitengo cha Uchumi hukutana ili kuboresha mbinu za kuhakikisha Tanzania, Uganda, Burundi na Rwanda zinaendelea kununua Bidhaa nyingi za Kenya kuliko zenyewe kuuza Kenya, mambo ni mazito na magumu yanafanyika, na bado mipango mizito inafanywa ili tuendelee kununua zaidi Kenya kuliko kuuza.

Ukiniteua kwenye hii nafasi, nitaunda kikosi kazi maalumu ambacho kazi yake ni kwenda kuiba Technology ya kutengeneza Bidhaa muhimu kiuchumi.

Itahitaji maandalizi ya miaka mitatu au miwili kuandaa hiki kikosi.

Intelligence imara haina muda na Siasa uchwara na wala haitumiki kwa maslahi ya Watawala wasio na Hekima.

Rais wangu Samia, naomba ajira.
Tiss Wako bize kulinda legacy ya mwendazake
 
Tutakupa interview kama:
Una kadi ya CCM,
Unaweza kuiba kura,
Unaweza kuteka, kutesa na kuua,
Unaweza kusikiliza mazungumzo ya Kinana na Nape kwenye simu,
Unaweza kuingia mitandaoni na kutukana na kutishia wote wenye mawazo tofauti na serikali.
Jiandae.
 
Baada ya kusoma makala mbili tatu za mkuu Habib Hanga ( The Bold) naona kichwa kimevimba unataka Ukurugenzi
 
Rais wangu Samia, naomba ajira, uniteue niwe Mkurugenzi mkuu wa TISS, hii kazi naipenda kuliko kazi zote Duniani.

Naipenda hii kazi kwa sababu naipenda sana nchi yangu Tanzania.

Sina chama chochote cha kiasiasa ninachokifia, Chama changu ni Tanzania.

Ukiniteua kwenye hii nafasi ,nitafanya maajabu kwa muda mfupi tu.

Kwanini nasema nitafanya maajabu kwa muda mfupi tu?

Rais wangu, Idara ya Usalama wa Taifa ktk Taifa lolote lile Duniani ndo Roho ya nchi, Idara ikiwa Dhaifu na Taifa linakuwa Dhaifu.

Uimara wa China kiuchumi kwa muda mfupi tu umetokana na Uimara Intelligence yao.

Hatuwezi kufika popote Kama Taifa bila kuwa na Idara imara.

Kila baada ya miezi miwili au mitatu Idara ya Usalama wa Taifa la Kenya kitengo cha Uchumi hukutana ili kuboresha mbinu za kuhakikisha Tanzania, Uganda, Burundi na Rwanda zinaendelea kununua Bidhaa nyingi za Kenya kuliko zenyewe kuuza Kenya, mambo ni mazito na magumu yanafanyika, na bado mipango mizito inafanywa ili tuendelee kununua zaidi Kenya kuliko kuuza.

Ukiniteua kwenye hii nafasi, nitaunda kikosi kazi maalumu ambacho kazi yake ni kwenda kuiba Technology ya kutengeneza Bidhaa muhimu kiuchumi.

Itahitaji maandalizi ya miaka mitatu au miwili kuandaa hiki kikosi.

Intelligence imara haina muda na Siasa uchwara na wala haitumiki kwa maslahi ya Watawala wasio na Hekima.

Rais wangu Samia, naomba ajira.
Huu uzi uunganishwe na WA kula tunda kimasihara
 
Back
Top Bottom