Rais Samia, naomba ajira

Rais Samia, naomba ajira

Tatizo hata kazi unayoiomba hujui inahusu nini inasimamiwa na sheria gani ,eti unaongelea mambo ya kuiba ,mkuu TISS ni kazi ya uzalendo na uadilifu sio ya kihuni .Hao kina makonda na sabaya nadhani ndo waliokuwa wanawadanganya vijana kuwa kazi ya tiss ni kupambana na maadui wa rais na kulinda maslahi ya nchi hata kwa kuvunja sheria .
Umeongea ukweli mkuu!! Kula like yangu!!
 
Rais wangu Samia,naomba ajira ,uniteue niwe Mkurugenzi mkuu wa TISS, hii kazi naipenda kuliko kazi zote Duniani.

Naipenda hii kazi kwa sababu naipenda sana nchi yangu Tanzania.

Sina chama chochote cha kiasiasa ninachokifia, Chama changu ni Tanzania.

Ukiniteua kwenye hii nafasi ,nitafanya maajabu kwa muda mfupi tu.

Kwanini nasema nitafanya maajabu kwa muda mfupi tu?

Rais wangu, Idara ya Usalama wa Taifa ktk Taifa lolote lile Duniani ndo Roho ya nchi, Idara ikiwa Dhaifu na Taifa linakuwa Dhaifu.

Uimara wa China kiuchumi kwa muda mfupi tu umetokana na Uimara Intelligence yao.

Hatuwezi kufika popote Kama Taifa bila kuwa na Idara imara.

Kila baada ya miezi miwili au mitatu Idara ya Usalama wa Taifa la Kenya kitengo cha Uchumi hukutana ili kuboresha mbinu za kuhakikisha Tanzania, Uganda, Burundi na Rwanda zinaendelea kununua Bidhaa nyingi za Kenya kuliko zenyewe kuuza Kenya, mambo ni mazito na magumu yanafanyika, na bado mipango mizito inafanywa ili tuendelee kununua zaidi Kenya kuliko kuuza.

Ukiniteua kwenye hii nafasi, nitaunda kikosi kazi maalumu ambacho kazi yake ni kwenda kuiba Technology ya kutengeneza Bidhaa muhimu kiuchumi.

Itahitaji maandalizi ya miaka mitatu au miwili kuandaa hiki kikosi.

Intelligence imara haina muda na Siasa uchwara na wala haitumiki kwa maslahi ya Watawala wasio na Hekima.

Rais wangu Samia, naomba ajira.
Ramli 😡
 
Mama mpe kazi huyu. Hivi hawa watu wetu huwa wanafanya ujasusi wa kiuchumi? mfano walishawahi kumu-outsmart nani, na ni vipi huwa tunaingia mikataba ya hovyo miaka na miaka.

Mama hata usipompa kazi huyu, kuna kitu kunatakiwa kufanyika idarani, Hii idara haitakiwi kuwa sehemu ya watu kwenda kupokea mishahara. Agggrrrrh its 2021... tuamke.

Idara imekuwa failure ya hii nchi.
Tatizo moja tu kuna kawimbo katamu kanaitwa Mfumo unaweza ukawa na mawazo mazuri sana na bi mkubwa akakubaliana na wewe mia kwa mia, tatizo likaja kuwa mfumo utaubadilisha vipi?
 
Kuna mtu anaajiriwa na Experience kutoka Tumboni mwa mama yake mkuu?
ndio experience zenyewe hizo sasa. lazima uwe na background flani.
sasa ww kama ji fresh from school tutakuaminije?

soma historia za ma DG waloipita kwenye hizo nafasi. back ground zao kabla ya kuteuliwa kuwa wakuu wa idara zilikuwaje.

linganisha na zako. halaf tafakari
 
Mkuu hujaweka mawasiliano yako,,, tukitaka tukuite interview tutumie njia ipi..!!???

Thanks
 
Rais wangu Samia, naomba ajira, uniteue niwe Mkurugenzi mkuu wa TISS, hii kazi naipenda kuliko kazi zote Duniani.

Naipenda hii kazi kwa sababu naipenda sana nchi yangu Tanzania.

Sina chama chochote cha kiasiasa ninachokifia, Chama changu ni Tanzania.

Ukiniteua kwenye hii nafasi ,nitafanya maajabu kwa muda mfupi tu.

Kwanini nasema nitafanya maajabu kwa muda mfupi tu?

Rais wangu, Idara ya Usalama wa Taifa ktk Taifa lolote lile Duniani ndo Roho ya nchi, Idara ikiwa Dhaifu na Taifa linakuwa Dhaifu.

Uimara wa China kiuchumi kwa muda mfupi tu umetokana na Uimara Intelligence yao.

Hatuwezi kufika popote Kama Taifa bila kuwa na Idara imara.

Kila baada ya miezi miwili au mitatu Idara ya Usalama wa Taifa la Kenya kitengo cha Uchumi hukutana ili kuboresha mbinu za kuhakikisha Tanzania, Uganda, Burundi na Rwanda zinaendelea kununua Bidhaa nyingi za Kenya kuliko zenyewe kuuza Kenya, mambo ni mazito na magumu yanafanyika, na bado mipango mizito inafanywa ili tuendelee kununua zaidi Kenya kuliko kuuza.

Ukiniteua kwenye hii nafasi, nitaunda kikosi kazi maalumu ambacho kazi yake ni kwenda kuiba Technology ya kutengeneza Bidhaa muhimu kiuchumi.

Itahitaji maandalizi ya miaka mitatu au miwili kuandaa hiki kikosi.

Intelligence imara haina muda na Siasa uchwara na wala haitumiki kwa maslahi ya Watawala wasio na Hekima.

Rais wangu Samia, naomba ajira.

Rais wangu Samia, naomba ajira, uniteue niwe Mkurugenzi mkuu wa TISS, hii kazi naipenda kuliko kazi zote Duniani.

Naipenda hii kazi kwa sababu naipenda sana nchi yangu Tanzania.

Sina chama chochote cha kiasiasa ninachokifia, Chama changu ni Tanzania.

Ukiniteua kwenye hii nafasi ,nitafanya maajabu kwa muda mfupi tu.

Kwanini nasema nitafanya maajabu kwa muda mfupi tu?

Rais wangu, Idara ya Usalama wa Taifa ktk Taifa lolote lile Duniani ndo Roho ya nchi, Idara ikiwa Dhaifu na Taifa linakuwa Dhaifu.

Uimara wa China kiuchumi kwa muda mfupi tu umetokana na Uimara Intelligence yao.

Hatuwezi kufika popote Kama Taifa bila kuwa na Idara imara.

Kila baada ya miezi miwili au mitatu Idara ya Usalama wa Taifa la Kenya kitengo cha Uchumi hukutana ili kuboresha mbinu za kuhakikisha Tanzania, Uganda, Burundi na Rwanda zinaendelea kununua Bidhaa nyingi za Kenya kuliko zenyewe kuuza Kenya, mambo ni mazito na magumu yanafanyika, na bado mipango mizito inafanywa ili tuendelee kununua zaidi Kenya kuliko kuuza.

Ukiniteua kwenye hii nafasi, nitaunda kikosi kazi maalumu ambacho kazi yake ni kwenda kuiba Technology ya kutengeneza Bidhaa muhimu kiuchumi.

Itahitaji maandalizi ya miaka mitatu au miwili kuandaa hiki kikosi.

Intelligence imara haina muda na Siasa uchwara na wala haitumiki kwa maslahi ya Watawala wasio na Hekima.

Rais wangu Samia, naomba ajira.
Ungekuwa unajua ujasusi kweli ungeandika waraka wa nakala ngumu na kupeleka kunakohusika moja kwa moja. Kuna emails na posta. Unaandika humu ambako kila mtu anasoma wakiwepo hao wakenya unaowasengenya?
 
Si mmoja Wao Mkuu, ila 'ninawajibia' tu.
Mkuu nafuatiliaga sana mada zako
Za michezo(hasa za simba na yanga,siasa na mengineyo,nikagundua una kitu cha ziada na
Unajiamini, na mara nyingi unakuwa mbele ya habari.
Hata kama siyo mmoja wao naamini upo katika nafasi nzuri ya kuwashauri
 
Hilo la Kushauri sawa, ila siyo Mwenzao.
 
Probably the word you are looking for is "subversion".

"KGB used 25% of time and other resources for spying and counter-intelligence. The remaining 75% was dedicated for subversion."
~ A KGB Defector
It had to do that to survive. Marx preached that, Communism can only advance against the bourgeoisie not by competing with it Economically, but through subversion and sabotage. Soviet Communism had no market forces and sophisticated super-structures to economically compete with capitalism.

By the way enlighten me. How was it possible for Leon Panetta who was never a CIA officer to be appointed as Executive Director of the CIA for almost 3 years ??? Commentators argue that he delivered beyond expectations. During his incumbency, USA (CIA) went berserk on Libya, Syria, Egypt and Yemen. He also pioneered the talks for Iran Nuclear Deal......

NB: FOOD FOR THOUGHT REGARDING ESPIONAGE
- General George Washington secretly asked the US Congress to pass a budget that would slash almost 12% of USA GDP and dedicate it to foreign espionage. This hefty espionage budget has never had an equal to date.......
 
Sijui ni nani anawadanganya ( amewadanganya ) kuwa kwa Ukanda wetu huu wa Maziwa Makuu Kenya wako vizuri sana Kiujasusi kuliko Tanzania.

Nashukuru Mungu na nashukuru pia kwa angalau kuweza Kuzitembelea nchi kadhaa za Afrika na kubahatika kukutana na Watu wa hii Kada Nyeti wa nchi hizo huku nikiwa ni Raia wa kawaida tu.

Ninachojua likija Suala zima la Ujasusi ( Espionage ) kwa hapa Afrika ( tena kwa Kujiamini kabisa 100% ) Tanzania huenda ikazidiwa tu na nchi Tatu za Egypt, South Africa na Ethiopia ila siyo zingine.

Hawa Wakenya wako unaowasifia Kutwa wao Wenyewe tokea kutokee Mashambulizi ya Kigaidi huko Kwao wamekuwa wakija Kuomba Msaada wa Watu wetu ( Watanzania kutoka Idarani ) waweze Kuwasaidia na hata Kuwafunza zaidi Watu wao ( Wakenya )

Ungeniambia ( ungekuja na Hoja ) kwamba Wakenya wameamua Kuwekeza na ' Kujikita ' zaidi katika Ujasusi pekee wa Kiuchumi kidogo ningekuelewa ila Tanzania kwa miaka mingi ' imejikita ' katika ' Ujasusi ' wa jumla ambao hata ' Kimedani ' ndiyo una faida Kubwa kama waufanyao Israel ( Wayahudi )

Namalizia kwa Kusisitiza tena kuwa kwa hapa Afrika na hata Ukanda wetu huu sijaona nchi ya Kushindana ' Kiujasusi ' na Tanzania na hakuna Taifa ' linaloogopeka ' kwa Unjagu ( Ujasusi ) Barani Afrika na hata baadhi ya nchi Kubwa ( Mataifa Makubwa ) yanaiogopa kama Tanzania.

Popote mlipo TISS Agents tembeeni Vifua mbele, tunajivunia Uimara na Utendaji wenu ulioandaliwa vyema ' Kimisingi ' Imara ya ' Kiujasusi ' tokea enzi ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere hadi hivi Sasa. Watanzania leo tuna huu Ustawi, Amani na Uhuru kutokana na Kufanya Kwenu Kazi ya Kutulinda ' Kiusalama ' ndani na nje ya mipaka huku mkishirikiana vyema tu na Idara Nyeti za Jeshi ( CMI )

Nchi pekee kwa Ukanda huu ambayo kidogo inakuja kwa Kasi ' Kiujasusi ' japo bado ina Safari ndefu ya Kuikuta Tanzania ni Rwanda ( ila nao wana Mapungufu ya Kimsingi ambayo yanawagharimu ) na kwa Uganda ndiyo kabisa hawatutishi kwa Ukanda huu kwani Idara zao zote za ' Kiusalama ' hasa hasa zile za Polisi na Jeshini ' wamepikwa ' na bado mara kwa mara Rais Museveni anawaleta Watendaji wake hao ' Kupikwa ' huku Tanzania au ' Trainers ' wetu wanaenda huko Uganda.

Tanzania 'Kiusalama' ni habari nyingine.
Naunga mkono hoja
 
It had to do that to survive. Marx preached that, Communism can only advance against the bourgeoisie not by competing with it Economically, but through subversion and sabotage. Soviet Communism had no market forces and sophisticated super-structures to economically compete with capitalism.

By the way enlighten me. How was it possible for Leon Panetta who was never a CIA officer to be appointed as Executive Director of the CIA for almost 3 years ??? Commentators argue that he delivered beyond expectations. During his incumbency, USA (CIA) went berserk on Libya, Syria, Egypt and Yemen. He also pioneered the talks for Iran Nuclear Deal......

NB: FOOD FOR THOUGHT REGARDING ESPIONAGE
- General George Washington secretly asked the US Congress to pass a budget that would slash almost 12% of USA GDP and dedicate it to foreign espionage. This hefty espionage budget has never had an equal to date.......
KGB subversion was a roaring success. In my humble opinion, it made the Russians win the Cold War, having subverted the United States and its Western allies beyond the Russians wildest imaginations.
 
Is that sarcasm or do you indeed subscribe to the notion? [Poe's Law]
Up until early 70's the Soviet Union was wining the Cold-War. Americans even believed that the only way forward was co-existence with the Soviets through Détente. The Mitrokhin Archives reveal that Soviet Union had already surpassed the Western Influence in places like Africa.
 
Back
Top Bottom