Wewe ni moja kati ya watu wapuuzi humu. Nyerere alikikubali kizanaki na kukiongea hadharani. Maghufuli jukwaani alikuwa akihutubia live kisukuma . Hatukuwahi kukuona wala kukusikia ukihoji
.
Bora hata huyo Samia kasema ukweli. Licha ya kuwa mZanzibari hapendi ukanda. Tuondolee usukumagang hapa