Rais Samia mbona hakubali tatizo nini?

kijana ni vizuri uwe na lugha nzuri hata kama hukubali mawazo ya mtu unaweza kucomment "crap" au "nosense' maana usisahau na wao hawakubali mawazo yako pia nao wanakuona wewe ni ng'ombe maksai kabisa anaelima huku akipigwa mijeledi!!
 
Nakuambia SSH amefanya vzr kumzidi jiwe mie sio mshabiki mandaz, Samia kamzid JPM parefu sana, ninachoshangaa Kitaani kwangu hakubaliki
Nabii hakubaliki kwao...Hata Magufuli kipindi cha urais wako kitaani alikuwa hakubaliki....Baada ya kufa watu wa kitaa wakaanza kumkubali.
 
Pamoja sina Chama chochote ila mimi simlaumu Mama hata kidogo ,Mama amendoshewa Jumba bovu ,ingawa CCM hajiawahi kujenga uchumi mzuri lakini kila awamu uchumi ulikuwa unakuwa kwa kiasi fulani mpaka Kikwete anaondoka uchumi ulikuwa umekuza 6.7 awamu ya tano iliuppromosha mpaka 3.5. zikawa zinapikwa Takwimu za uongo at list mama ameanza kuinyanyua mpaka 5na point hivi. Kwa hiyo Mama bado anaanakibarua cha ziada sana ila yote kwa yote CCM haifai kuendelea kukaa madarakani hata kidogo
Sababu kubwa Fedha nyingi zinawekezwa kwenye Maswala ya kisiasa kuliko maendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…