backbenchers
Member
- May 9, 2024
- 59
- 30
Rais Samia Suluhu amesema maridhiano ni ishara ya ukomavu wa kisiasa unaojenga umoja na kuheshimiana, akisisitiza kuwa siasa zinapaswa kuongozwa na hekima, utu na maslahi ya taifa badala ya mivutano isiyoisha.
Amesema wananchi wanahitaji amani, usalama na utulivu, akizungumza Julai 9, 2026, wakati wa kushuhudia Tamko la Pamoja la Maridhiano ya Kisiasa kati ya CCM na ACT-Wazalendo katika Viwanja vya Ikulu, Zanzibar.
Nayaelewa sana ila nazungumzia kwa ujumla wake kwani hata huku bara kila siku wanataka maridhia ilhali kabla ya uchaguzi tuliwaambia turidhiane kwanza kabla ya uchaguzi wakakataa, hata leo hapo kwenye hadhara ya kusaini hayo maridhiano walikuwepo Watanganyika wengi tu kuliko hata hata Wazanzibari wenyewe.Usichanganye mambo,mambo ya wazanzibari wewe huyajui,mara baada ya uchaguzi act wazalendo walisusia kuushiriki kwenye serikali ya umoja wa kitaifa kwa mujibu wa katiba yao.Baada ya hapo iliundwa kamati ya kutafuta maridhiano baina ya ccm na act wazalendo,kamati hiyo imefanya majadiliano kwa zaidi ya miezi 5 na sasa wamekubaliano ndio wametoka hadharani kutiliana saini maridhiano hayo.
Inahitaji uwe taahira kumuamini huyu bimsumi, ni mlaghai mnoNever trust this woman
Wapumbavu ni nyinyi ambao badala ya kwenda kupuga kura mliingia mitaani kuvuruga uchaguzi, kuchoma miundombinu ya Serikali na kuiba mali za watuNonsense. Unaua watu harafu unatafuta maridhiano.
Unajua kabisa umeingia madarakani bila ridhaa ya wananchi. Je huo ndio uungwana na ustaharabu. Pumbavu
Naked truthHuwezi kuogoza watu ambao hawakuungi mkono. Raisi Samia haungwi mkono.
Hata kidogo. Kila kona. Siku hizi hata wazee hawamtakiHuyu sijui aongee nini watu wamwelewe......anachukiwa sana......angeachana tu na uo uongozi kiroho safi.....watu hawamkubali.
Yupo sahihi sana Mama yetu ila haya maneno angeyasema kabla ya uchaguzi yangekuwa na maana sana.Rais Samia Suluhu amesema maridhiano ni ishara ya ukomavu wa kisiasa unaojenga umoja na kuheshimiana, akisisitiza kuwa siasa zinapaswa kuongozwa na hekima, utu na maslahi ya taifa badala ya mivutano isiyoisha.
Amesema wananchi wanahitaji amani, usalama na utulivu, akizungumza Julai 9, 2026, wakati wa kushuhudia Tamko la Pamoja la Maridhiano ya Kisiasa kati ya CCM na ACT-Wazalendo katika Viwanja vya Ikulu, Zanzibar.
Rais Samia Suluhu amesema maridhiano ni ishara ya ukomavu wa kisiasa unaojenga umoja na kuheshimiana, akisisitiza kuwa siasa zinapaswa kuongozwa na hekima, utu na maslahi ya taifa badala ya mivutano isiyoisha.
Amesema wananchi wanahitaji amani, usalama na utulivu, akizungumza Julai 9, 2026, wakati wa kushuhudia Tamko la Pamoja la Maridhiano ya Kisiasa kati ya CCM na ACT-Wazalendo katika Viwanja vya Ikulu, Zanzibar.
Bado kuna mtu anamsikiliza huyu mama!Rais Samia Suluhu amesema maridhiano ni ishara ya ukomavu wa kisiasa unaojenga umoja na kuheshimiana, akisisitiza kuwa siasa zinapaswa kuongozwa na hekima, utu na maslahi ya taifa badala ya mivutano isiyoisha.
Amesema wananchi wanahitaji amani, usalama na utulivu, akizungumza Julai 9, 2026, wakati wa kushuhudia Tamko la Pamoja la Maridhiano ya Kisiasa kati ya CCM na ACT-Wazalendo katika Viwanja vya Ikulu, Zanzibar.
Watanzania wengi bado wana maswali ambayo hayajajibiwa.Rais Samia Suluhu amesema maridhiano ni ishara ya ukomavu wa kisiasa unaojenga umoja na kuheshimiana, akisisitiza kuwa siasa zinapaswa kuongozwa na hekima, utu na maslahi ya taifa badala ya mivutano isiyoisha.
Amesema wananchi wanahitaji amani, usalama na utulivu, akizungumza Julai 9, 2026, wakati wa kushuhudia Tamko la Pamoja la Maridhiano ya Kisiasa kati ya CCM na ACT-Wazalendo katika Viwanja vya Ikulu, Zanzibar.
dini ndo chanzo cha haya yote kiongozi. Kama sio utapeli kwanini wasiingilie kati ili huyo wanayemuabudu asaidie nchiDini ni utapeli mkubwa uliowahi kutokea kwa binadamu.