PostGE2025 Rais Samia: Majaji simamieni Haki kwa kuzingatia Katiba bila upendeleo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Tena naona bora hata majaji walikudhulumu haki utatupwa jela au kupoteza mali lakini uhai utabaki nao angalau kuna siku unaweza kukumbukwa Je yeye anayedhulumu watu haki ya kuishi?
Kadhulumu maelfu ya maisha ya watu,leo ndo anakumbuka kuna haki
 
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/17wF4ppfeF/
 
Chawa Paskali Mayalla ataleta uzi sasa hivi kuonyesha hayo maigizo ya mama kuwa taratibu anaanza kuomba msamaha!
 
Huyu Mama ni Mbwamwitu aliyevaa ngozi ya Kondoo!
Anahubiri Haki ipi wakati ameingia madarakani kwa kuvunja Haki za raia?
 
Aache kejeli Kwa watanzania

Wakisimamia haki yeye mwenyewe alitakiwa awe kwenye Kuta za magereza akisubiri hukumu ya kifo
 
Katiba ipi, ile ya ccm uliyoikanyaga wakati wa kumpata mgombea urais au kile kijitabu kilichokupa usais 2021?
 


Tatizo ukiwa na Raisi ambaye yeye mwenyewe kaingia kinyemela halafu ndiye aseme mfuate sheria ni unafiki mkubwa sana
 
Unawanunua, halafu unageuka nyuma na kuwaambia watende HAKI ambayo wewe mwenyewe hutendi.

Polisi wanateka waTanzania na kuwaua; hawafuati sheria yoyote ile kwa amri zako, sasa unakwenda mbele za watu bila aibu na kuhimiza ambacho hao majaji hawawezi kukifanya?

Unataka waTanzania waelewe kitu gani hapa!

What a waste of time!
 
Mhimili wa Mahakama upo huru kweli?..
Pascal Mayalla
 
Wanatuhutubia wanatuona kama vile vipofu hatuoni na viziwi atusikii wanayoyatenda
 
Namwona lisu huyoo anaachiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…